Thankyou lord i trust in you always i know u are with all the time
@EleonorahMshilaКүн бұрын
Sauti zilizopangwa vyema, maneno ya kumtegemea Mungu, hakika yananigusa mno.
@NussulupilyaMabilikaКүн бұрын
Wimbo huu unagusa maisha yangu halisi, ni wimbo wangu bora wa muda wote. Ahsante YESU Kristo kwa kunikomboa kutoka utumwani, sasa ninaringia Dini yangu ya Catholic ❤
@Catholic_Lyrics12 күн бұрын
{Yanipasa kumshukuru Mungu Mungu wangu aliyeniumba na kunifanya jinsi nilivyo}*2 {Kaniumba mwili na roho, iya Kanipa uhai na nguvu, iya Lazima nimsifu yeye, iya Ingawa mimi ni mnyonge, iya Lazima nimsifu Mungu wangu (Nayakabidhi na maisha yangu yawe mikononi mwake*2)}*2 1.Nitamsifu kwa kila machungu, Ee-Ee Maa-na yeye kanifanya nilivyo, Ee-Ee Nitamsifu kwa upofu wangu, Ee-Ee Maa-na yeye kanifanya nilivyo, Ee-Ee 2.Nitamsifu kwa ukoma wangu, Ee- Ee, Maa-na yeye kaniumba nilivyo, Ee- Ee, Ingawa watu wananite-nga, Ee-Ee, Sitaacha kumsifu muumba, Wa-ngu. 3. Nitamsifu kwa ugumba wangu, Ee-Ee, Maa-na yeye kaniumba nilivyo, Ee- Ee, Ingawa watu wanicheka sana, Ee-Ee, Sitachoka kumsifu Muumba, Wa-ngu. 4. Nitamsifu kwa magonjwa yangu, Ee-Ee, Maa-na yeye anajua yote, Ee- Ee, Ingawa watu wananitenga, Ee-Ee, Yeye atanipokea kwake, Mbinguni
@EmmanuelEmmanuelmunuo3 күн бұрын
❤❤❤❤ I love Catholic
@petromtakati29753 күн бұрын
in God we trust.. almighty bless us all in Jesus name amen 🙏
@ladislausmushi18473 күн бұрын
Huu wimbo huwa nikiusikiliza najihisi kama utukufu wa Mungu upo juu yangu na malaika wake wananishukia kwa baraka...Hongereni sana wana kwaya mlio imba
@ThandizoChimwala3 күн бұрын
Catholic
@JudidhMushi4 күн бұрын
3:38
@JudidhMushi4 күн бұрын
Nimepata wimbo wakuingilia ukumbini bado mme nashela❤😂
@maryryoba61405 күн бұрын
ryoba
@InnocentKalisa5 күн бұрын
Mbarikiwe Sana hakika mnaimba vzuri ,barkiwa
@IreneMashallo-un8zy5 күн бұрын
❤❤❤
@MsomaoniElizabela5 күн бұрын
My dady always tell me wosia and play this music 🎶 for me ooh love u papaa ❤😂
@kasonsoromana54916 күн бұрын
Mubarikiwe sana 🙏
@EvalisteMashama-m2e6 күн бұрын
❤❤❤
@lukassimon-t7h8 күн бұрын
Kazi nzuri sana mbarikiwe sana
@VictorDomician8 күн бұрын
Hazina ya katoriki
@chachagabriel65518 күн бұрын
Very interesting I do listen it before bed.
@Eva-f4n8 күн бұрын
Amin sana nawapenda sana mungu awabariki sana
@RuthMutua-u2g8 күн бұрын
Be blessed nce and good song with teachings
@PaulLyombe8 күн бұрын
Thank you very much
@ZimpeGabriel10 күн бұрын
Kirs muda tuko pamoja tu
@aminaathuman3410 күн бұрын
❤ ilove this song iam proud catholic 🎉
@ErickOkothbr11 күн бұрын
Am happy because of God, whether in trials or temptation. .. I just rejoice and put all my trust in Him Like Job😇😇😇😇☺️☺️☺️
@michaeljacob991412 күн бұрын
Wimbo mtamu Sana naupenda, but sijawai pata mziki wake
@sebastiankinyundo906412 күн бұрын
Siku ya leo waimbaji wametubariki katika Dominika ya ubatizo wa bwana mbarikiwe sana, Kwaya iliyoimba Misa ya kwanza tarehe 12/01/2025 pale Mt Theresa Arusha 🙏
@XsaveriaLivigha13 күн бұрын
Amina hama kweli peke yangu siwezi
@bendettahnyerere379213 күн бұрын
Still here years later and still hitting the same...God bless these souls and let God reign in our lives😊😊
@Brainmutethia-s6l14 күн бұрын
heart touching ❤ am so blessed
@IlossMrscène114 күн бұрын
Mubarikiwe wapendwa Katika bwana
@thelilorganistrobbin630515 күн бұрын
Kazi Safi j. Mgandu
@thomaskasimo533115 күн бұрын
Good
@gabrielnyambu828716 күн бұрын
Nimekuwa nikiutafta huu wimbo sana ila naupata ukiimbwa live na KMK Makuburi finaly nmeupata. kwa hakika utunzi mzuri sana. Kazi safi yake mwalimu Limila, Organist Baraka Thomas yupo vizuri kabisa
@JanetShirima-s4h20 күн бұрын
Naupenda sana huu wimbo Mungu awabiriki muendelee na vipaji vyenu daima❤
@dannysontee848621 күн бұрын
Nakuhitaji Kila siku
@MARYTEMU-ri9dz22 күн бұрын
Mbarikiwe san
@BasaayaRockspeter23 күн бұрын
Men dress like Baganda
@vellamoraa241023 күн бұрын
Wale tunawatch 2025-1-1 weka likes ...
@beatusmushi878123 күн бұрын
Mwimbo mzuri sana, umenipambia Mwaka Mpya wangu leo
@lizariana325224 күн бұрын
Listening to this song for the first time at 1:14am date 1,2025🎉❤❤❤❤happy new year to you all...Mungu azidi kuhimidiwa Milele🙏🏾
@Benedict-s1s24 күн бұрын
Kama umevuka mwaka wa 2024 ukiskiza wimbo huu mtamu like hii post🎉
@VeronicaObonyo-x7u24 күн бұрын
My favourite song❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@VeronicaObonyo-x7u24 күн бұрын
My favourite song❤
@DennisderrickMesembi25 күн бұрын
Sauti tamu
@DMarrieth25 күн бұрын
2siwe wazembe wa ktoa elim zid ya ulimweng jis ulivyo na mipasuko wa maadil piah mung ndo Kila kit unachohitaj