Kila nikifanya marejeo ya clips za sheikh za zamani nagundua zaidi kuwa hawa wanaojiita salafiiy wanafanya marudio tu sheikh alishayaongea kabla, na kawapita wengi wao kielimu bhaas tu hawalijui hilo. Wallahu musta'an
@SelemaniMbaruti13 күн бұрын
Mashallah ❤
@HusenimpareKazari-hu8dx17 күн бұрын
Mashaallah Allah akuhifadhi
@shabantelack571617 күн бұрын
150 times naangalia
@ZairoSenga-t6n19 күн бұрын
I Zairo
@amesaosman990720 күн бұрын
Allah akurehemu ya sheikh
@nurumohammed131022 күн бұрын
Shekhe wangu mungu Akuandalie pepo yakawe ndio makazi yako inshaallah 🤲
@Abdulyfaki24 күн бұрын
Allah awafanyie wepes nda kabri
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Allah amlipe shekh jannatul firdous,shekh aliwazindua wenge katika dini ya Allah
@MuaminiDadaАй бұрын
Shehe mwrim wadunia unatuongza mema sana napendaswaiza yako napenda
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Ya Allah kama kuna mahala shekhe wetu alikosea au aliteleza msamehe na ulipe jannatul firdaus
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Allah amlipe jannatul firdaus
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Ukweli kabisa Allah amlipe jannatul firdaus
@jamilashamte2304Ай бұрын
Saw maulid si ibada na katika quran hayajatajwa.Lakini pia tunataka tutolew iy ay inayosema kuw maulid ni haramu katik quran
@Indonesia-gp3jxАй бұрын
❤🎉
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Allah amrehemu shekh amlipe jannatul firdaus
@hamzajuma1439Ай бұрын
Al marhuum , Allah akupe jannatul fir daus
@AbuuMussa-op1viАй бұрын
𝐚𝐥𝐥𝐚𝐡 𝐚𝐥𝐚𝐳𝐞 𝐦𝐚𝐡𝐚𝐥𝐚𝐩𝐞𝐦𝐚 𝐩𝐞𝐩𝐨𝐧𝐢 𝐬𝐡𝐞𝐤𝐡𝐞𝐰𝐞𝐭 𝐦.𝐛𝐨𝐫𝐚
@aminaabdulghanim8256Ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh elimu muhimu
@aminaabdulghanim8256Ай бұрын
Jazakallahu kheir sheikh
@HaseenaSaid-qv1ykАй бұрын
Allah akulipe kwa wema na kwa mawaidha mazuri sheikh Aamin
@HusseinNuru-zd3bfАй бұрын
Allah akulipe jannatul firdous
@hassanmaoАй бұрын
Allahu yarhamhum nassor bachu
@abdullahmenrasse2 ай бұрын
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناته وجعل قبره روضة من رياض الجنة 😥
@FrancisAkwesa2 ай бұрын
Takbir 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@FrancisAkwesa2 ай бұрын
Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MoMohamed-i6h2 ай бұрын
Amin nakubal unachokifanyaaah
@farsaabdallah22102 ай бұрын
Nakuomba Allah umuingize shekh nasor bachu Jannat firdaus bila ya khesab amiin
@hamzajuma1439Ай бұрын
Ameen
@AhmedHersi-c8l2 ай бұрын
Ishi miaka mingi sheikh wetu
@HbSadcBoxingPromotion2 ай бұрын
Mashalla
@Moses-w7v2 ай бұрын
Allah akujaliye pepo ndugu yangu inshaallah
@NuurulHudaa2 ай бұрын
Bahero hata hadithi wazisoma makosa maskini Ati ٱتَّبِعُوْا وَلَا تَتَّبِعُوْا Hadithi hii haisomwi hivo bali yasomwa hivi ٱتَّبِعُوْا وَلَا تَبْتَدِعُوْا
@isihakasimbira1762 ай бұрын
Mimi ni mwanadamu lakini mtu mwenye makazi mema anajulikana.
@isihakasimbira1762 ай бұрын
Katika wema waliyo tangulia na yeye ni mojawapo.
@isihakasimbira1762 ай бұрын
Mwenyezimungu amujaaliye huko alipo malipo mema kwa kile alicho tuachia.
@ImanSaid-ox3po2 ай бұрын
Hakika wema unaishi
@alimwawema99322 ай бұрын
Haya ndio madhara ya mjadala watu bidaa yutowa shubha الله المستعان
@sanukyt56152 ай бұрын
Mi ntaka nkuulize wewe bahero mpumbavu, we lengo lako la kutaka kuthutubu masjid taqwaa kipini ni nini kama si kutukana watu na kugawanya waislamu kwa sababu ulikuwa wataka kutoa khutbah kilazima lakini alhamdulillah watu wa twariiqa wakafanya juu chini lisiwe, wewe kwa ulanisi wako ndo kukatokea fujo ungekuwa si ww kusingetokea fujo wala si kipini tu wewe hata bakarani pia ushatia fujo mara kwa mara kisha wadai ya kuwa mawahabi wapenda amani mjinga wewe!!! We kutukana watu kwako ni kama kumeza mate kila uzungumzapo hutukana tu
@issamakau58412 ай бұрын
Mtihani sana kuona mtu anaitolea hoja elimu ya Mjukuu wa Mtume Muhammad swalla llaahu alaihi wa aalihii wa sallam, na Babu ya walimu wa Imam Abu Hanifah na Imam Malik,waliotosheka na kushiba elimu yake... Allaah atuongoze kwenye khair Aamiin
@firasjawjad4362 ай бұрын
19:40
@SalmaKikoko3 ай бұрын
Shekhe bachu mungu akulipe kheri zote umeacha sadaka kubwa
@allyrashidi98753 ай бұрын
Allah akulipe Pepo sheikh wangu,akuondolee adhabu za kaburi
@NassoroJuma-kw1ud3 ай бұрын
Mashaalah
@Veronicahcharles61comAsia3 ай бұрын
MashaAllah sheikh wetu unatujenga NamuuombaArahmani ,akujalie afya na maisha malefu yenye kheri njema duniani na peponi MashaAllah
@SbsBts-g3v3 ай бұрын
SubhanaAllah AllAh atujalie mwisho mwema Inshaa AllAh
@mussakatawila94083 ай бұрын
Allahu Akbar! Ya Allah ninakuomba umuangazie Nuru Sheikh Nassoro Bachu ktk kaburi yake na ujaalie kaburi yake viwanja miongoni mwa viwanja vya peponi.Aamin.