Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani amina
@PolycarpSarita23 сағат бұрын
Namwanga wa milele umwangazie
@DonatusSilasi23 сағат бұрын
mhashau hasikofu jovitusi mwijange kutoka jimbo ra bukoba
@CalisterMushi-y9wКүн бұрын
Pumzika kwa Amani mtoto wetu🙏🙏
@scolastikanjau1891Күн бұрын
R.I.P bro, poleni familia
@JOELYSTANLEYКүн бұрын
Vizuri saana hongereni sana watoto wa Mungu
@beathagabriel8438Күн бұрын
Ee Mungu tusaidie kutunza vijana wetu.watuzike sisi wazee wao. Pole kwetu sote.
@MsomaliEnterprisesКүн бұрын
Ameen
@JescaShayo-o7eКүн бұрын
Apumzike kwa amani
@JuliethMindeКүн бұрын
Pumzk kwa amani kaka
@VincentKomu-u7fКүн бұрын
Apumzike kwa aman
@MichaelaPhilip-q9kКүн бұрын
Asante sana kwa taarifa hizi na picha makumbusho Ila hujatuonyesha mawe yaliyopo ndani kwenye jengo jamani
@andrewmushi8274Күн бұрын
Tuwe na Imani na tuamin safar yetu n moja
@andrewmushi8274Күн бұрын
Polen sana ndugu zangu Apumzike kaka yetu
@AmedeusSaiyeКүн бұрын
Pumnzika kwa amani ndg yetu😢
@fredrickurioh8563Күн бұрын
Rip Brother
@Dionisfred2 күн бұрын
😭😭😭
@adrianswai27842 күн бұрын
Roho ya Marehemu Colman Sabas Njau ipate rehema kwa Mungu ipumzike kwa Amani Amina
@rosekiwale83022 күн бұрын
Eee Yesu wa Ekaristi ninakuomba uwabariki watoto wangu uwakinge na nguvu za maadiui wakaao gizani wafanikiwe katika kazi zao .
@rosekiwale83022 күн бұрын
Mungu wangu ninakushukuru sana kwa kunipa Kimbali cha kuhudhuria kwenye Ibada Takatifu ya Misa . Eee Yesu wa Ekaristi ninakuomba uwabariki Mapadre wote na waumini wa kariwa st stephano.
@AkibaYaMsomi3 күн бұрын
Kilimamswaki iko wapi jamani???
@AkibaYaMsomi3 күн бұрын
Baba kiondo Hongera sana Eti ni Baba mpole sana😆😆😆😆
@giftysumay3 күн бұрын
Pumzika kwa aman baba mkubwa nitakukumbuka daima
@agnesmsangi46353 күн бұрын
❤❤
@ZenobiaShirima-m8s3 күн бұрын
Hongereni sana kilimamswaki kwa kumpata padre Kiondo Jembe lakanisa tumwombee Afya njema ili aweze kutuhudumia vyema
@lukastarimo97593 күн бұрын
Naalikua mkali kwelikweli Kama ukali umepungua hapo mmepata jembe Ila ukali ungekua vilevile miezi mitatu tu mngemkataa.
@victoriamatete8223 күн бұрын
❤
@MaryMassawe-z5b3 күн бұрын
Congratulations vijana wa maua seminar
@catherineMrosso-zp9be3 күн бұрын
Waooh.!!!
@theclamarealle60523 күн бұрын
Ni wapi huku kilimamswaki
@HansJulius-e1g4 күн бұрын
Hakika kilima mswaki mmepata jembe padre kiondo apolinaris ni jembe