Пікірлер
@HassanUrry
@HassanUrry 3 ай бұрын
ust hafidh smhn kuna kasda naitak nakuomb mm ni kama mshabik wako naomb unifanyie mpng kuna kasda umeisoma tangu ap kadiria kasda YAILAH
@MpagamaMatei-rs5er
@MpagamaMatei-rs5er 5 ай бұрын
Mashaallah ujumbee mzur allah azid kukuwekaa kaka angu❤
@khadijaomar8742
@khadijaomar8742 6 ай бұрын
Mashaaahhh❤❤❤
@JamilaJafari-he7ko
@JamilaJafari-he7ko 6 ай бұрын
Twakup🎉 yako huna baya
@NasmaMohammed-px4qs
@NasmaMohammed-px4qs 6 ай бұрын
Mashall
@MuhamadMoss
@MuhamadMoss 7 ай бұрын
Masha allah
@adamali701
@adamali701 7 ай бұрын
Pia swala ya edi NI Sunna au Fardhi kifaya
@adamali701
@adamali701 7 ай бұрын
Kwani EDI ina kablia au tahiyatu masjid
@khafidhally7503
@khafidhally7503 7 ай бұрын
Kwan tahiyyatul masjid ni nn sheikh
@adamali701
@adamali701 7 ай бұрын
Nisunna inaswaliwa kwa ajili ya ma amkizi ya mskiti na sio kablia au baadia kwa swala yoyote
@khafidhally7503
@khafidhally7503 7 ай бұрын
Kwan kablia hua ni ya swala2
@khafidhally7503
@khafidhally7503 7 ай бұрын
Tahiyyatul masjid inaswaliwa kabla ya kufanya nn
@adamali701
@adamali701 7 ай бұрын
@@khafidhally7503 Nadhani sheikh wangu hujafahamu tahiyatu masjid inaswaliwa ukiingia Tu mskitini muda wowote hata kama ukiwa umeingia kwa ajili ya kusoma qur an na inakuwa haina sifa ya kablia au baadia niyenye kujitegemea
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 7 ай бұрын
Hongera san ust nakupenda kwaajili ya allah nlikuw naisubil kwa ham san hii video atimae imetoka allah awafanyie wepes inshallah
@fatmahamad1880
@fatmahamad1880 7 ай бұрын
Hongera
@EdwardCamavinga
@EdwardCamavinga 7 ай бұрын
Mimi nitowe hogera kama ustazi hamadi kutoka kahafi kswaida ustazi hafizi wastahiki upewe mauwa yako kama zawadi kazi muzuri ina mazigatyo kwamweye utu mashaaha mola akupe kila lenye kheri na wewe ndani yamaisha yako amin❤❤❤❤
@GSMFAMILY1
@GSMFAMILY1 7 ай бұрын
unajua
@HajjiSalim-ms3ky
@HajjiSalim-ms3ky 7 ай бұрын
Kaz imetulia
@MrAbal-mg6jq
@MrAbal-mg6jq 7 ай бұрын
Naomba namba zako shekh hafidh
@shamsilmunnirislamic5005
@shamsilmunnirislamic5005 7 ай бұрын
MashaAllah good
@HsHd-l9c
@HsHd-l9c 7 ай бұрын
Mashallh 🎉🎉
@ShuuMazuruy
@ShuuMazuruy 7 ай бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@sergiobosco8120
@sergiobosco8120 7 ай бұрын
🎉
@MapembeProduction86
@MapembeProduction86 7 ай бұрын
Safi sana mwamba
@KhalifaKhamis-mm2xy
@KhalifaKhamis-mm2xy 7 ай бұрын
Asante maalim
@ShuuMazuruy
@ShuuMazuruy 7 ай бұрын
Mashaallah .mashaallah
@shamsilmunnirislamic5005
@shamsilmunnirislamic5005 7 ай бұрын
Shekhe Hafidhi tunahitaji na ile ya Zaka vdeo yke
@GSMFAMILY1
@GSMFAMILY1 7 ай бұрын
MUNA TUCHANGANYA KUWENI NA ACCOUNT MOJA SASA APO KZbin WANAKULIPENI VIPI AMKENI WAPEMBA
@khafidhally7503
@khafidhally7503 7 ай бұрын
Sw mmarekani
@GSMFAMILY1
@GSMFAMILY1 7 ай бұрын
@@khafidhally7503 sasa g video anapo na wewe unapost tu subscribe wapi
@suleshalliy8039
@suleshalliy8039 7 ай бұрын
Km huna idea za mitandao ni vyema kukaa kimya
@shamsilmunnirislamic5005
@shamsilmunnirislamic5005 7 ай бұрын
​​@@suleshalliy8039ni vyema kutumia maneno ya busara bc
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 7 ай бұрын
​@@khafidhally7503ust tuweke qaswida uliomsomea dad zubeda
@MrVicRamSeen
@MrVicRamSeen 7 ай бұрын
Masha Allah Nasheed nzuri Sana inaujumbe Mzito Sana❤
@EdwardCamavinga
@EdwardCamavinga 7 ай бұрын
Hapa kweli yote unayo sema shekhe hafizi
@mrshajj
@mrshajj 8 ай бұрын
Masha Allah pambe
@Mrlover8435
@Mrlover8435 8 ай бұрын
Sh hafidh nataka qaswida ya eid mbili video yake
@salimomar3186
@salimomar3186 8 ай бұрын
Mashallah kazi mzuri brooo huna mbaya kwakweli wewe nifundi kwenye hizi kazi
@fatmahamad1880
@fatmahamad1880 8 ай бұрын
Hongera teacher wangu mie ❤
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 8 ай бұрын
Ahlul madina mpo vizur san nawapenda Kwaajir ya Allah ila naomba moja kwenu mnapo toa qaswida jaribuni kupunguza midundo
@AnswarKhamis-si6qv
@AnswarKhamis-si6qv 8 ай бұрын
sheikh hafidhi naomba ile Qaswda yako Wasio na shukrani watizame usoni
@HassanIssaOmar
@HassanIssaOmar 8 ай бұрын
Mashallah mungu atuweke na afya njema Ili tuendelee kupata kazi nzuri na yenye ubora wa Hali ya juu
@yasserahmed9420
@yasserahmed9420 8 ай бұрын
Sasa kusema viwanjani haifai ndio vip 😂😂 masalafi typing ...............bidaaaah
@SalumKarzai
@SalumKarzai 8 ай бұрын
Kazi nzuri Mashallah ninachoona pengo la Chidi zungu huyu anaesoma sauti ya juu mtamuua pengo lipo hapa
@feyking2393
@feyking2393 8 ай бұрын
Vitu km hivi tuleteeni mapema ustadh
@HassanUrry
@HassanUrry 8 ай бұрын
shk hafdh wew noma sana hakn km wew mp mikoba mdog wako khalifa mungu akulindeni amiin
@nassramohd2510
@nassramohd2510 8 ай бұрын
Kaz Nzur
@ahmedkombo4314
@ahmedkombo4314 8 ай бұрын
Kazi mzuri
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 8 ай бұрын
Dah chidi zungu angefanya balaa ila mwache aende kwani yeye nani❤🎉
@AhmedAli-jj5rg
@AhmedAli-jj5rg 8 ай бұрын
Kali na nusu kijana wangu
@sergiobosco8120
@sergiobosco8120 8 ай бұрын
🎉
@dihamejr-bh6np
@dihamejr-bh6np 8 ай бұрын
Hamna mpizani kiukweli daima
@dihamejr-bh6np
@dihamejr-bh6np 8 ай бұрын
Mashaallah mashaallah bigup kwenu ahlul madiynah
@DulaRama
@DulaRama 8 ай бұрын
@saidmzee7338
@saidmzee7338 8 ай бұрын
Iko vizuri mbona Ile video nyengine bado
@khafidhally7503
@khafidhally7503 8 ай бұрын
Bado kdg2
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 8 ай бұрын
Ust unabaya jamn Allah akupe kher
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 8 ай бұрын
​@@khafidhally7503ust umepotea sana ila nashukur kw kuludi natumain tutapat vitu vitam kama iv inshallah Allah akupe wepesi ila tu qaswida zote ulizo toa mwak2024zipo safi ispokuwa imekosekan saut ya chidi zungu na ilo n pengo kubwa san kw ahlul Madina ila mungu awape wepesi inshallah
@IbrahimIbrahim-r2x
@IbrahimIbrahim-r2x 8 ай бұрын
​@@khafidhally7503ust tunaomba utupe qaswida yako ya Dad Zubeda jamani nmezitafuta sana lakin Bado sjafankiwa kuipata
@shamsilmunnirislamic5005
@shamsilmunnirislamic5005 8 ай бұрын
MashaAllah, imetulia kabsa huna mbya broo, yni hatukutegemea km utarud tna kipindi cha nyuma, lkn ALHAMDULILLAH, Allah akujalie uzid kutuletea ladha tamu Inshaallah akujalie uzid kukuw katik kipaji chako 🤲🤲
@Farhanmaqboulmaqboul
@Farhanmaqboulmaqboul 8 ай бұрын
Patooooooo mkaali mtaalam 😅😅
@abdullahnahwand9303
@abdullahnahwand9303 8 ай бұрын
mashaa ALLAH
@lukmansaid2680
@lukmansaid2680 8 ай бұрын
🔥🔥🔥
@hashirmohdy8980
@hashirmohdy8980 8 ай бұрын
Dooh vita kubwa sna mashaallah❤❤❤❤❤