Пікірлер
@frankjohn8706
@frankjohn8706 27 күн бұрын
Hakuna NABII za ukweli hapo wengi wanatafuta kiki .haijawahi tokea NABII atabiri KINYUME na mwenye mamlaka labda yule NABII alietumwa na Mungu pekee.
@JOHNNKAYAMBA
@JOHNNKAYAMBA 26 күн бұрын
@@frankjohn8706.Kaka njoo unikosoe baada ya uchaguzi 2025.pia nakuombea ufike
@nurumwita9034
@nurumwita9034 9 күн бұрын
​@@JOHNNKAYAMBAkweli kaka hata Mimi nimeona hayo maono raisi hatakuwa yeye nimeonyeoshwa pia nachoomba mapenzi ya Mungu yatimie
@ramadhaniathumani1025
@ramadhaniathumani1025 Ай бұрын
Vita vya uongozi vinaendelea kupitia nabii za kweli na uongo
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 Ай бұрын
Ebu uwe uapunguza maelezo mengi nenda kwenye kiini Moja kwa moja
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 Ай бұрын
Mimi ktk ulimwengu wa roho simwoni huyu mama awamu inayokuja so unabii wako umetoka kwa Mungu aliye juu.
@MasterPetro-oj1fd
@MasterPetro-oj1fd Ай бұрын
Mama yako mwenyewe
@muharamijuma1569
@muharamijuma1569 Ай бұрын
ACHA UTAPERI JITABILIE MWENYEWE MAMA MITANO TENA UDINI UINAKUSUMBUA FUNGUA KANISA UWABIE WATU KÀMA WANAVYO FANYA WEÑZIO
@asungushepatrick5414
@asungushepatrick5414 Ай бұрын
Uko sahihi na Mimi nimeona hivyo Tena atakuwa mcha Mungu
@user-qy4gb1kn4z
@user-qy4gb1kn4z Ай бұрын
vunguza maelezo unatuchosha
@kalistamlomba
@kalistamlomba Ай бұрын
Amina
@PascalPascual-rn6fx
@PascalPascual-rn6fx Ай бұрын
Na iwe hivyo.