Amene Amene kubwa hallelujah MUNGU awabariki Sana watumishi kwakazi zuri jamani natamani namimi ningekuwa pamoja na nyi MUNGU azidi kuwabariki
@ComfortFaraja-oq6oj17 күн бұрын
Ubarikiwe sana
@ShantaleMatu20 күн бұрын
Amene Baba MUNGU akubariki Sana sema kweli mtumishi kemeya kweli sababu akuna mtu ataseme eti awakuambiwa
@user-kc7vo4tg6u21 күн бұрын
Na Mimi munipenimero ni kuyekuwatembereya na adress
@titojb470322 күн бұрын
Uko sahihi! Anaonesha ushabiki shabiki wa Yesu akumbuke yote ni utendaji kazi wake MUNGU. Mapenzi yake yalitimizwa. Hakukurupuka bali MUNGU alitenda ndani ya Yohana kama anavyotaka yeye sio kama nyie kina Benson mnavyotaka.
@amisaselemani125 күн бұрын
Sema kweli yote kbs
@neemakweli461Ай бұрын
Ubarikiwe na BWANA
@davidfaith3358Ай бұрын
Amen 🙏
@pasiwabala8970Ай бұрын
Uruma sana ubarikiwe 🙏🤦♀️
@ShukuruDaudi-ue6inАй бұрын
Amen 🙏🏼 🙏🏼 Asante MUNGU atusaidie na akubariki sana 🙏🏼
@ChanceBahati-se1ddАй бұрын
Ubarikiwe sana kaka 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@UkweliTopicАй бұрын
Hubiri baba!
@yusufuassani2032Ай бұрын
Asante sana mtumishi wa Yesu kristo wa nazeth,maombi langu sauti hiyo ya melodi sio Sawa wakati wa maubiri
@elelwanamkabo8712Ай бұрын
Amen sana
@Spark8TechnooАй бұрын
Munapendeza kumtumikia Mungu ila acheni kuhiga acheni kuhiga mambo ya kidunia izo coiffe azikunibariki kabisa
@Spark8TechnooАй бұрын
Wanyoa viduku nao kwenye kanzu za Wana wamanabii 😢