Duh!! nifanyeje niwe sawa i hali inanitesa najalibu kuiepuka nashidwa yani wasiwasi mwingi
@yusuphabdushakitilah7817Ай бұрын
Aisee hii hali inasumbua watu wengi sana dr. Tunaomba namba yako tupate msaada zaid wa binafsi maana solution ya hili tatizo hatujui ni nn tufanyaje
@khadijaabdallah30743 ай бұрын
Doctor tusaidie namba yako mimi unanitesa huu ugonjwa
@thebmcblackmiccatcher39494 ай бұрын
🤝🤝🤝👏👏 all the way from MWANZA
@ddfatma42814 ай бұрын
Dokta naomba kuuliza mwanangu anamiaka miwili anaugonjwa wakudondoka nikaambiwa ni dalili za kifafa jee kunauwezekano wa kupona
@KazernMaster4 ай бұрын
Naomba namba zenu tafadhali
@emmyanold93064 ай бұрын
Jamani semenu kama kuna dawa ,mme wangu anapata shida 😅
@IlhamAlii-e3w3 ай бұрын
Piga
@beathakilunguu7652Ай бұрын
@@IlhamAlii-e3wdawa
@neemaally91955 ай бұрын
Jamani naomba msaada huu ugojwa ninao ss ni miaka 20 bado cjapona nasikia masikio yanavuma nasikia kama vitu vinafunjika kichwani cna usingizi
@ClaudiaSembuta5 ай бұрын
Inanitesa mnoo Toka nifanyiwe op mtoto wa kwanza ni miaka4 sasa
@beathakilunguu7652Ай бұрын
Pole sana dada yangu inshaalah mungu muweza atakuponya
@gatichristopher645722 күн бұрын
Mm pia miaka. Miwil ss
@AishaThabit-yr4mn5 ай бұрын
Tunaomba namba mtusaidie jaman tunateseka
@AshaIddy-pz1qz6 ай бұрын
Dokta nateseka sana unanisaidiaje yaan mimi ninahof kama nakufa kuna muda nakosa hata ham yakula sipati usingiz naomba msaada
@TimaMudimuya4 ай бұрын
Duu ww ndo mm kabisa Yan hofu ya kifo inanitawala mpaka najisemea mwenyewe leo mwisho wangu lakin asubui naamka nikiwa mzima kumbe ni roho tu za hofu na akuna dawa nyengine zaid ya maombi
Dr Mimi hiyo hali hiyo inanitesa sana. Na pia kichwa kinaniuma sana, upande wa kulia wa kichwa Karibu na utosini, nasikia kuumwa utazani ni sindano inanichoma Kwa maumivu makalinayoyapata
@JasminJafar-sd4wk3 ай бұрын
hata mm pia
@Octavinaelisa-fn6js8 ай бұрын
Mimi naumwa naomba namba yenu
@IklimaSuleiman-l7l8 ай бұрын
Namba ya docter plz
@FrankLubili-g3y8 ай бұрын
Duuuuh
@Sameena-x9c8 ай бұрын
I have my daughter here same problem but we continue with medicine
@Sameena-x9c8 ай бұрын
Ahsante tunashukuru umetusaidia sana
@halimaabdallah87758 ай бұрын
Dah namba zenu jamankm mnasaidia hili tatizo mm nahisi nina afya ya akili naogopa hata kwenda hospital nipo katika hali mbaya mno
@haythamabdallah1588 ай бұрын
Nmm hvhv
@IreneShalon5 ай бұрын
Halima naomba unitafte ninashda sana endapo utaona sms hii
@MamisaHamisiАй бұрын
Na Mimi pia
@halimaabdallah87758 ай бұрын
Uwiiii toka nijifunguwe kwa operation ni miezin9 sssa nateseka naona km sio binadamu wa kawaida msaada naogopa kila kitu hospital ndo staki ht kupaona
@haythamabdallah1588 ай бұрын
Nmm jvjv
@haythamabdallah1587 ай бұрын
Ndo mm nkdhan pkyng n miez8
@SelemaNdulabi7 ай бұрын
Tutaftane jaman inatesa sana
@gatichristopher645722 күн бұрын
@@haythamabdallah158my dear mm pia nlijfungua kwa operation baada ya miez mi3 ndo nkaanza hyo hal had ss mtoto ana miaka 4 na bado nateseka nayo
@haythamabdallah15822 күн бұрын
@@gatichristopher6457 ww upoj dalil zako
@JasmineMushi-bs8pm8 ай бұрын
Sisi waswahili tuma maliza mb zetu bure maana hatelewi kusoma raha sana
@SelemaNdulabi9 ай бұрын
Instead sana jmn km mtu hajui unachopitia haez kuelewa
@datiuskamugisha54759 ай бұрын
Mawasiliano hakuna alafu eti mnatoa dawa!!!
@AnethMartin-q5s10 ай бұрын
Jamani me nataka dawa nasumbuliwa na huu ugonjwa sana
@Catherinemassau10 ай бұрын
Hali hii ndo nipo nayo
@ponciandaniel8 ай бұрын
Tupo wengi
@gloriamakundi612410 ай бұрын
Wasiwasi unanitesa Sana unapopata wasiwasi unahis kuchoka kutetemeka moyo kwenda kas unahis unakufa unakisa hamu ya kula Kila vipimo Haina ugonjwa huku ndio unaumwa unachanganyokiwa
@SelemaNdulabi8 ай бұрын
Napitia hali kama hiyo nateseka sana
@FatinaKiondo-ke9tq5 ай бұрын
Mimi pia nashindwa hata kutoka nje moyo unaenda mbio was was mwingi Yani
@ZainabubakariZainabubaka-ye1ho10 ай бұрын
kwel kabsa na mm ninashda hyo nisaidie tafadhal nifanyaje Ili niepukane na hlo
@AnethMartin-q5s10 ай бұрын
Wekeni namba jamani
@dericktouch572311 ай бұрын
Hii hali inanitesa kila nimienda osipitalini wananielezeq kwa hali ya kawaida kuonesha kua ni hali ya kawaida ila mfano saivi nimefika kipindi ambacho saivi naumwa na kifua kila muda mbaka nahisi kua na tatzo la moyo nisaidieni nifanyeje maana kama nakufa mimi
@beathakilunguu7652Ай бұрын
Pole sana me najitahid kupotezea 😢
@gatichristopher645722 күн бұрын
Ukwel n kwamba hii hql inatuumiza mno mm pia nliwah kuhc nna tatzo la moyo nkaenda kupma nkaambiwa cna tatzo, ila mateso yake ss ila kinachosababisha hyo hal kuongezeka n kuliwaza hlo tatzo zaid yaan akil kuhamia hapo bas inazd kukua....mm najtahd kupotezea ila kuna wakat nashndwa@@beathakilunguu7652
@AnethMartin-q5s11 ай бұрын
Tunaomba namba jamani
@AnethMartin-q5s11 ай бұрын
Tunaomba namba jamani
@anneokoth34666 ай бұрын
Jmn tusaidien number tutakufa na wasisi jmn tunajiisia magonjwa ambayo pengn hatunayo maan me ap kidgo kufa.lkn nishukuru mungu nimeingia yutub nimepata amani lzm nilishinde jrb ili
@aloycebabene623911 ай бұрын
Hongereni sana kwa ufafanuzi huu.
@RojahKamalza-lw3ls Жыл бұрын
Dawa yake nini sasa jamn
@RojahKamalza-lw3ls Жыл бұрын
Naumia sana jamn
@chikuterra6625 Жыл бұрын
Huu ugonjwa unanitesa sana Kuna wakati nashindwa hata kukaa nyumbani. Namba please
@Haulat-yc9gz Жыл бұрын
Dokta ningeomba namba yako tafadhali
@JUSTINGEORGE-tn8fj Жыл бұрын
Naomb nsaidie tiba ake mama ( woga na wasiwasi)
@EmanuelallenTashi-vn2uj Жыл бұрын
Duu mm mtupu vp ushapona
@JUSTINGEORGE-tn8fj Жыл бұрын
@@EmanuelallenTashi-vn2uj yeah hakikaaa nshapona japo in other way
@pililikombola1469 Жыл бұрын
@@JUSTINGEORGE-tn8fj Naomba unisaidie jaman 🥺
@FarajaMadege8 ай бұрын
Mliopona mtusaidieee
@cutesalma4340 Жыл бұрын
Doctor naomba uongelee kuhusu maumivu ya kinena
@BahatiEmmanuel-ec7fk Жыл бұрын
Samahani kaka tunaomba namba za huyo daktari
@yakobolusasu1821 Жыл бұрын
Kwani kinena ni nn maana naona hauongelei hicho uloandika
@xgangtz2023 Жыл бұрын
Doctor tusaidie nambazenu tufike ofsini kwenu
@hemedhajikiumba Жыл бұрын
Naomba namba yako doctor
@naimahassan8093 Жыл бұрын
Mimi nilienda hossy nikaambiwa sina shida
@naimahassan8093 Жыл бұрын
Sasa ukiwa waona damu kila mwezi huwezi pata mimba ama mtu aweza kukuita tasa kweli