Wakulima bado bei za mbore shida kwa wakulima 83000/mbegu shida
@eduulowassa434716 күн бұрын
😂
@saraooko98016 күн бұрын
🔥
@redeemer06Newsalerttz17 күн бұрын
Kudos TFRA 🎉tukutane Manyara, tukutane Dodoma 😊
@mussatagalile502218 күн бұрын
Hongereni sana kwa ubunifu
@FestoMnonga18 күн бұрын
Dodoma
@sesh-d4i20 күн бұрын
❤❤❤
@anafisuleimani708323 күн бұрын
Mbona Mtwara hatuna kituo cha matrekta ya serikali nasi tunaomba jamani
@KaseleKasele2 ай бұрын
kazi nzuli lakini kwabaazi ya maeneo hatukupata baazi ya mbolea . kwamfano nachingwea tulipata ainamoja tu urea tunaomba mwakahuu zije na mbolea zingine kama can. dap. npk .sa zingine nyingi
@anafisuleimani70832 ай бұрын
Tunaomba na huku Mtwara nako muje kutupatia hamasi wanachi wengi wapo nyuma sana kwa matumizi ya mbolea
@mtunguja16352 ай бұрын
Hii ni aina gani ya Parachichi?
@goldenneyma71502 ай бұрын
SHAU To the Top
@Budgernista19942 ай бұрын
Hongeleni TFRA
@avinashkamble3183 ай бұрын
👍 👍 👍
@mwashabanirashidimitumba77883 ай бұрын
Habari Ninashida na mawasiliano ya namba za huyu mkaka tafadhali 🙏
@redeemer06Newsalerttz4 ай бұрын
TFRA Kazi iendelee😊
@Ledawemsafari5 ай бұрын
Nahitaji mbolea za kuuza
@Kevomadvd6 ай бұрын
Makofi matatu Kwa Samia 🎉🎉🎉
@TammyMaritin6 ай бұрын
Ahsante kwa ushauri mzuri Hongera kwa kilimo Bora
@fianeshoo54137 ай бұрын
Very well spoken mkurugenzi!
@PrudenceZoeGloriousPR7 ай бұрын
Super woman indeed ⭐️⭐️
@MteleShadia-lc6gi8 ай бұрын
Piaa mweshimiwaa ,,tunakuomba Kuna kampuni ambayo inatowa mbolea kama vile DAAP PLUS,,na CAAN PLUS,,mbolea zote jamii ya hzi ni fekii wakulma wa huku kigoma tunaliaa baada ya kununua mboleaaa hizii,,,mahindii baada ya kubadilka kuwa mazur ,,yamekuwaa yakihrbika kbsaa,,,Mana mbolea haijayeyuka hadii saiz ipoo alizin,, imeganda kwenye udongo ,,alafu mahindii ,,,hadii hayajakuwaa ,,mweshimiwaa tunakuomba ,,nass huku kigoma utusaidie ,,mbolea hzi za DAAP PLUS and CAAN PLUS,,NI MBOLEA FEKI ,,TUPOI TUNALIAA
@ceohasna994010 ай бұрын
Iyo ni mbinu ya kuua biashara super gro ni kwel sio mbolea ila ni nzur sana tunaitumia mashambani Haina shida yoyote.....na mashamba makubwa ya vigogo wanatumia sana ....sasa basi elezeni madhara yake tuone.....
@liliandonge931911 ай бұрын
Haina viwango au nini shida?
@maggie65811 ай бұрын
Elezeni ina kasoro gani
@petermwanguku8784 Жыл бұрын
kazi iendelee!!
@georgekamau9855 Жыл бұрын
T Praise the Lord. This is wonderful, now that we will soon have plenty of food, what will " wale wa sufuria " say next?.