Nani mwenye upendo kama Mungu baba hatuna cha kumlipa ❤
@joycekaganga692419 күн бұрын
Very nice song ❤
@joycekaganga692419 күн бұрын
Naupenda sana huu wimbo ❤🎉
@user-ij9nx3ky3tАй бұрын
Mbalikiww
@emmanuelmatowo24342 ай бұрын
Amina
@jonathan_loved74332 ай бұрын
Nimerudi tena nakushukuru
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Karibu sana Nyumban
@joycekaganga69242 ай бұрын
Ubarikiwe Jeshi kubwa tunabarikiwa ❤ very nice powerful message
@joycekaganga69242 ай бұрын
Yesu ni yeye yule jana leo na hata milele
@joycekaganga69242 ай бұрын
Halleluyah!🎉
@joycekaganga69242 ай бұрын
Mbarikiwe watoto wazuri ❤ mnamtykusa Mungu vzuri sana🎉
@joycekaganga69242 ай бұрын
Safi sana waimbishaji ❤ mpo vzur mmeutendea haki wimbo Yesu ni wakushukuriwa siku zote wema wake ni mkuu mno 🎉
@user-jr8wv9hn1v2 ай бұрын
UTUKUFU kwa MUNGU aliye juuu 🙌
@joycekaganga69242 ай бұрын
Nice interview praise team hata mim wananibariki mno Mungu anawatumia vema❤
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Amina Mtumishi 🙏
@joycekaganga69242 ай бұрын
Huyu mama safi sana yupo vzur hazeeki kila siku anakua kijana ❤🎉
@johnkingalami23212 ай бұрын
Glory to God napenda sana kazi zenu za kutupatia habari kuhusu ibada zinavyoendelea
@AronUrioh2 ай бұрын
Napenda sana nakosa tu pa kumfanyia ibada nzur kama hii..
@joycekaganga69242 ай бұрын
Hadi raha yaan naangalia mara tatutatu wimbo umebeba ujumbe mzito hakika Yesu rafiki Mwema mtoto mwimbishaji aliyesuka rasta amejua kuchangamka hadi raha yaan
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Amina 🙏
@joycekaganga69242 ай бұрын
Ningekuepo ningewatunza ❤🎉
@joycekaganga69242 ай бұрын
Yesu rafiki mwema na wa kweli ❤🎉
@johnkingalami23212 ай бұрын
Waooo kitengo cha habari chukueni maua yenu huku🙏
@joycekaganga69242 ай бұрын
Media wapo vizuri mno
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Barikiwa sana 🙏
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Barikiwa sana sister 🙏
@joycekaganga69242 ай бұрын
❤🎉 Yesu awatunze kipaji kikue
@joycekaganga69242 ай бұрын
Wimbo mzuri mwishoni umechangamka vzur shangwe mkombozi Yesu amezaliwa
@joycekaganga69242 ай бұрын
❤🎉❤🎉🎉🎉
@joycekaganga69242 ай бұрын
Safi sana watoto wazuri taifa la kesho Yesu awatunze
@joycekaganga69243 ай бұрын
Napokea kwa Imani
@joycekaganga69243 ай бұрын
Yesu aiponye nchi yetu
@joycekaganga69243 ай бұрын
Aminaaa ❤ Yesu iponye Tanzania na majanga ya kila namna kupitia watumishi wako
@jonadalex97373 ай бұрын
Utukufu Kwa Mungu
@LeoniaBasso-nj7xi3 ай бұрын
Daaaaah be blessed watumishi wa mungu kuanzia mwez wa 11 tutakuwa pamojaaaa
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER2 ай бұрын
Karibu sana Mtumishi 🙏
@joycekaganga69243 ай бұрын
Mzidi kustawi ❤🎉 kwa Yesu kunalipa
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Aminaaa❤️
@joycekaganga69243 ай бұрын
Glory to God sifa zimrudie yeye atendae mambo makuu ❤ nabarikiwa sana ninapowaona mnasonga mbele
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Amina Mungu akubariki sana Mtumishi
@joycekaganga69243 ай бұрын
Kaka wa Chuga yupo vzur ananibariki mno lafudhi ya chuga tu najikuta nacheka nafurahi
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Amina ujumbe wako umefika Mtumishi 😂
@joycekaganga69243 ай бұрын
Tuna sababu ya kutabasamu no one like Jesus 🎉❤
@joycekaganga69243 ай бұрын
😂❤🎉 mpaka nimecheka imebidi mtazamaji na mimi nifurahi
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Aminaaa 😂😂😂😂
@joycekaganga69243 ай бұрын
Kiongozi upo vzur unajua kuhamasisha
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Amina Mtumishi Barikiwa sana 🙏
@joycekaganga69243 ай бұрын
Glory to God ❤
@joycekaganga69243 ай бұрын
Be blessed ❤
@tungaraza77943 ай бұрын
The man of God BBM be blessed chair
@HappypaulHappypaul3 ай бұрын
Hakika tulimwona bwana na nguvu zakee 🤲👏
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Aminaa Mtumishi 🙏
@SarahIssa-hj9vf3 ай бұрын
Hakika ni yer 3: 33 MUNGU azidi kukuinua mtumishi wa Bwana
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Amina
@joycekaganga69243 ай бұрын
Mungu ni yuleyule jana hata leo milele habadiliki yeye ni yuleyule hajatuacha 🎉❤
@joycekaganga69243 ай бұрын
Haikua rahisi inataka moyo kama hujaitwa unaweza kukimbia na kuacha huduma Mungu awabariki wote mliochangia kuleta mafanikio ya huduma hii mpaka imekua tunawakumbuka mno
@joycekaganga69243 ай бұрын
Mungu akubariki sana muandaaji na msimuliaji wa historia na kumbukumbu hii
@TAGTUAMOYOJESUSMIRACLECENTER3 ай бұрын
Aminaaa 🙏
@joycekaganga69243 ай бұрын
Tunatoka mbali jamani hizo picha zimenikumbusha mbali mno baba anajua kutunza kumbukumbu
@joycekaganga69243 ай бұрын
Ukiona nyani mzee amekwepa mishale mingi acheni Mumgu aitwe Mungu ni neema ya Yesu imetubeba ❤
@januarykaganga42123 ай бұрын
Asanteni sana, hata sasa Bwana ni mwema
@joycekaganga69243 ай бұрын
Nafurahi kuwaona wapendwa tunabarikiwa mno ni Yesu tu ❤