MAKUBWA  MBOSSO AMTOLEA UVIVU YAMMY /AIBU
6:04
Пікірлер
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 7 сағат бұрын
Mayele ni mwanafamilia
@OrpaMartin.Lukumay
@OrpaMartin.Lukumay 13 сағат бұрын
Sasa wapi ambapo wamesema kwamba yeye ni mmiliki wa crown
@salimmwakaribu942
@salimmwakaribu942 13 сағат бұрын
Somo
@donlinechanell4760
@donlinechanell4760 14 сағат бұрын
Hata mimi nina hisi hivo . Maana sio rahis ali et amuajiri huyu jamaa bana
@Senetalkim
@Senetalkim 14 сағат бұрын
Hivi tuongee tu ukweli Alikiba anamlipa mshahara salim kikeke 😂😂😂😂
@rosepaul7901
@rosepaul7901 14 сағат бұрын
Mh..naamini kabisaa mama faiza amelelewa kwny maadili ya dini na kijamii, sasa kama ndivyo lzm ndoa ilikua ya muhimu sana maana ni agizo la MUNGU japo hkn sehemu pamesema lzm kila mtu ataoa na kuolewa ila ndoa ni ya MUNGU na tunapoishi ktk matakwa MUNGU inapendeza zaidi ya sana
@rosepaul7901
@rosepaul7901 14 сағат бұрын
Hili neno mipango ya MUNGU lipoje jamani? Maana mimi najua MUNGU hafungamani na zinaa wala dhambi yoyote, sasa MUNGU anahusishwaje na zinaa kwamba anaweza panga zinaa ifaulu kwa mtu? Maana huu msemo ni mipango ya MUNGU watu wanaipenda sana
@rosepaul7901
@rosepaul7901 15 сағат бұрын
Hili tangazaji jinga kwl, baba analea mtoto wake na siyo anasaidia mtoto wake, baba ana jukumu la kulea watoto wake kwa huduma zoote
@rehemadaudi4390
@rehemadaudi4390 15 сағат бұрын
Hongera sana. Kaka nakukuballi Sana sana , sasa nitakuwa nakuona. Tena ,karibu nyumbani
@MartinCosmas-u1k
@MartinCosmas-u1k 16 сағат бұрын
Nimeumia sana kukukosa BBC napenda pozi ambalo ulikuwa una kaa na kuitzama camera
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 17 сағат бұрын
Mmmmmm yuko na Waziri........ nae na Alikiba kama Vile Kusaga na Diamond zote hizo ni siri nyuma ya pazia
@ryobanchagwa2499
@ryobanchagwa2499 19 сағат бұрын
Amekueje huyu
@AmaniJeanPierre-m9b
@AmaniJeanPierre-m9b Күн бұрын
Mungu Yuko nawewe usiogope
@damianae6207
@damianae6207 Күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/e3y1iWuXf9d9qNksi=dXiZZBlach0GFBcz #chadema
@BoraCishugi-b9i
@BoraCishugi-b9i Күн бұрын
Vraiment mungu asifiwe kabisa kk, pamoja na mungu yanawezekana
@PetitLokeseMadandi
@PetitLokeseMadandi Күн бұрын
TID arudi ku bonjour momie, anaweza pima kuziba pengo ya Kanumba
@HamissHamiss-h8r
@HamissHamiss-h8r Күн бұрын
Iko hivo
@HamissHamiss-h8r
@HamissHamiss-h8r Күн бұрын
TULIJUA MDA TU MBONA ALISEMA KIPENDI YUKO RANDAN KUWA AKILUDI BONGO ATAFUNGUA REDIO KUBWA ANATUMIA JINA LA ALI ILA KILA KITU NI CHAKE TUNAJUA MBONA
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 Күн бұрын
Polisi anavyomkokota sheikh Ponda sijawahi ona wanawakokota hivyo makasisi, mashemasi na mapadre wanapotoa maneno au matamko na zile waraka!!!
@nobiffb
@nobiffb Күн бұрын
Arikua amefanya ngoma na p Diddy ameona akiachia watasema nae aliliwa
@DavidMbwilo-qk1bz
@DavidMbwilo-qk1bz 2 күн бұрын
Kumbe mfalme naye ni kolo tu kama mwambino
@KaburaAbediKapangaAbdulRahmans
@KaburaAbediKapangaAbdulRahmans 2 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5eommiurZmIoqMsi=H5Dc2oEdiXl_gFoU *KANISA KUA MSKITI*
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka 2 күн бұрын
Kikeke pamoja wabadilishe madogo wengi wenye midia wanapangiwa vyakuongea ert tu atakosa ulaji halafu na machawa wengi sana wamidia Kikeke naona utawabadilisha sana wajifunze kutoka kwako nakufatilia
@MalifezaMajidi
@MalifezaMajidi 2 күн бұрын
Tukomawewe kikeke
@julieluziga4773
@julieluziga4773 2 күн бұрын
Nilikuaga naangalia dira ya dunia kwa ajili ya Kikeke 🔥🔥🔥 zile bashasha zake kwenye utangazaji! Kikeke atabaki kuwa mtangazaji bora kabisa kuwahi kutolea ktk tasnia ya utangazaji
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 2 күн бұрын
Mimi binafsi nakukuba mwamba kwamaelezo mkuu
@filexkivuyo8383
@filexkivuyo8383 2 күн бұрын
Salim mtuu mzuri sana anaga shida namtuu
@jadenkabalaza-cq2jj
@jadenkabalaza-cq2jj 3 күн бұрын
Hivi stand za camera hamna?...sa mbn macho yanaumia
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 3 күн бұрын
Imeshavuja bado wasafi yupo msauzi mbaka selekali lmewekezwa akuna shhida
@amissehilarioamido
@amissehilarioamido 3 күн бұрын
Pole sana na Mungu akuponhe
@lilianseni8387
@lilianseni8387 3 күн бұрын
Hongera dia Allah akutunze
@makatym6151
@makatym6151 3 күн бұрын
Nagojea ya dudubaya na pimbi😅😅😅
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 күн бұрын
Salim🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@khadjamhozya
@khadjamhozya 3 күн бұрын
Mond haana mpinzani🔥🔥🔥
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 3 күн бұрын
Huyu msenge sana ety where is her arudishwe shule akasome tena kunguru huyu
@cosmascastory9193
@cosmascastory9193 3 күн бұрын
Where is her daaaah jaman hawa waandishi wa habari jaman duuuh kiingereza kigumu sana ety where is her badala ya where is she!!!???
@LatifasaidyTiffany
@LatifasaidyTiffany 3 күн бұрын
Dah mungu mkubwa utapona inshaallah
@NahimanaAisatah
@NahimanaAisatah 3 күн бұрын
I love you somchiii sister faiza❤❤
@BalyaKimenye
@BalyaKimenye 3 күн бұрын
Mzeee acha ujinga hakuna kitu maandamano kwenye dini ya kiislamu
@lovirinaa
@lovirinaa 4 күн бұрын
Menina mzuri ouwiiii twashukuru kwa kutupa free series twaipenda 🥰
@meryamreally2768
@meryamreally2768 4 күн бұрын
Aaaah we Yammi kahaba 2 Na ukome mbosso Na bado 😂😂😛👇👇🇰🇪✈️
@aloismakata5952
@aloismakata5952 4 күн бұрын
Kikeke namwelewa sana 😂😂 Nipo hpa uholanzi Lakin akili ipo bongo😂
@prospermpangala1828
@prospermpangala1828 4 күн бұрын
8🎉😮❤
@meryamreally2768
@meryamreally2768 4 күн бұрын
Hya Aaaah Sawa daa 😂😂😂😂
@EsterKimario-s9l
@EsterKimario-s9l 4 күн бұрын
Maswali ya kijinga mno
@arafaally2895
@arafaally2895 4 күн бұрын
Anaeleweka sana huyu kaka
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 күн бұрын
❤❤❤❤NAKUPENDA
@rehemadaudi550
@rehemadaudi550 4 күн бұрын
Uko vizuri, lkn kwa suala la kumchora mtu kwenye mwili wako umezingua sana, wengi watakusapoti,, lkn umeyatimba hata wema hawez kufurahi ila hatakuambia
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 4 күн бұрын
Dah sikio hilo ka la zari😂😂😂
@fatumamkuzi8051
@fatumamkuzi8051 4 күн бұрын
Kwani movie iliisha ama mm sijamaliza kuangalia