Umeme wa Majumbani
0:23
Жыл бұрын
Catering
0:45
Жыл бұрын
Ujasiriamali
0:39
Жыл бұрын
Entrepreneurship
0:26
Жыл бұрын
Tiba ya Nywele na Urembo
0:21
Жыл бұрын
Cosmetology Course Intro
0:36
Жыл бұрын
Phone Repair Course Inro
0:26
Жыл бұрын
Ufundi Simu za Mkononi
0:27
Жыл бұрын
Kozi ya Mapishi - Utangulizi
0:45
UFUNDI UMEME VETA   VSOMO
0:29
6 жыл бұрын
UMEME VIWANDANI 1- VETA
5:02
6 жыл бұрын
UFUNDI UMEME 1- VETA
1:19
6 жыл бұрын
UFUNDI SIMU ZA MKONONI- VETA
1:13
6 жыл бұрын
VSOMO
2:35
6 жыл бұрын
Ufundi Umeme wa Majumbani II
7:07
6 жыл бұрын
Ufundi Umeme wa Majumbani
2:39
6 жыл бұрын
Пікірлер
@naserasdfghjkl6508
@naserasdfghjkl6508 6 ай бұрын
Thanks you Somuch, me umeme wa mayumbani
@kingfire7874
@kingfire7874 8 ай бұрын
Mnapatkana mkoa gan
@PatrickNgugi-xu1yb
@PatrickNgugi-xu1yb 11 ай бұрын
Katie safi
@masungangussa772
@masungangussa772 11 ай бұрын
Huo mfumo unaitwaje
@ElizaberthMaguzu-or3do
@ElizaberthMaguzu-or3do Жыл бұрын
Beta shinyanga
@alaihilimilla-zt4se
@alaihilimilla-zt4se Жыл бұрын
Nice
@saidmtiro6321
@saidmtiro6321 Жыл бұрын
Munapatikana wap
@chachawambura4030
@chachawambura4030 Жыл бұрын
Naona anapima Continuity
@Chrisdstvinstaller
@Chrisdstvinstaller Жыл бұрын
Nimedownload app ila inagoma kufungua shida nini
@alexnyagawa4217
@alexnyagawa4217 Жыл бұрын
Mawasiliano tunaomba
@bembeymanyika6670
@bembeymanyika6670 2 жыл бұрын
Hi sakiti ni Aina gani naomba kuuliza
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Naomb mawasiliano yenu
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Naomba namba
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 2 жыл бұрын
Namba zenu plz nataka kujiunga
@dax4matochitz380
@dax4matochitz380 3 жыл бұрын
I need to help me please 🙏 call me my number 0747528267
@edwardlongishu9426
@edwardlongishu9426 3 жыл бұрын
Unasoma kwa mda gani?
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
Npeni mawasiliano yenu mnaptikana wapi
@emmanuelwankururyoba2635
@emmanuelwankururyoba2635 3 жыл бұрын
Nawapataje nataka kujiunga nanyie
@tz1564
@tz1564 3 жыл бұрын
Kwenye mcb taa utafunga 6A mara nyingi 32A kwa sockets demand ni kubwa design current yako iwe less au sawa na mcb rating.wafundisheni kufuata wiring regulations
@sasyasalum4036
@sasyasalum4036 3 жыл бұрын
Asanteni kwa kutufunza
@wamtafraniwamtafrani9099
@wamtafraniwamtafrani9099 3 жыл бұрын
Kwani ivideo ungekuwa wewe mwanafunzi ungekuwa umejifunza kwamana aileweki inaelezea nini
@johnmanase7461
@johnmanase7461 3 жыл бұрын
Niungeni group....la,,,, what asap no angu 0620298751
@johnmanase7461
@johnmanase7461 3 жыл бұрын
capacity.... y..... 10...kana kwamba... kiwango cha kubeba mzigo...isizid 8taa.... Jee taa za voltage? Hizo aan
@mwakisukuli2124
@mwakisukuli2124 4 жыл бұрын
Mko vizuri sana
@andanesalimoandanesalimo1785
@andanesalimoandanesalimo1785 4 жыл бұрын
Asalam aleykum munapatikana wp?
@haidaryomari8176
@haidaryomari8176 4 жыл бұрын
Kwa mfano unataka kusoma unasoma kwa mda gani
@hildaephraim8347
@hildaephraim8347 4 жыл бұрын
Jaman kama mita yako ya umeme inaandika Error - 77 unafanyeje Jaman naomba mnisaidie
@billionairesmind182
@billionairesmind182 4 жыл бұрын
Sauti haijakaa sawa
@ibrahimmzee6252
@ibrahimmzee6252 4 жыл бұрын
Hakuna kigeni kwangu ufundi uo aah cha mtoto tu
@ezirapetro8733
@ezirapetro8733 4 жыл бұрын
Mawasiliano pleas
@patrickjacob7066
@patrickjacob7066 4 жыл бұрын
Naomben namba zenu nataka hii kitu
@cathychristian1082
@cathychristian1082 4 жыл бұрын
good
@cathychristian1082
@cathychristian1082 4 жыл бұрын
komaa kakaa utajuwa tuu ondoa hofu
@maigagoodluck1481
@maigagoodluck1481 4 жыл бұрын
yaan we gembe unavyombana huyo jamaa maswali afu upo serious ha ha ha haaa...
@eufranciamushi4077
@eufranciamushi4077 5 жыл бұрын
Mm pianasomea hiyoo
@princepaul4594
@princepaul4594 5 жыл бұрын
Natak namb za chuo unacho soma
@paschalmaghembe1451
@paschalmaghembe1451 4 жыл бұрын
naomba kufaham chuo kiki ni cha serikali au binafsi
@nicolauslukindo9320
@nicolauslukindo9320 5 жыл бұрын
naombeni namba zenu uwasiliane Nataka kujiunga
@andreamlwafu3844
@andreamlwafu3844 5 жыл бұрын
0765565082Anatamani niwe FUNDI kwa gharama yoyote ile
@andreamlwafu3844
@andreamlwafu3844 5 жыл бұрын
Naomba mawasiliano yako fundi
@andreamlwafu3844
@andreamlwafu3844 5 жыл бұрын
NAOMBA mawasiliano
@andreamlwafu3844
@andreamlwafu3844 5 жыл бұрын
Mko vzr lete namba tutaftane
@jumamandwa2039
@jumamandwa2039 5 жыл бұрын
Nahitaji nijekuwa electican enginering
@asmaabdallah4740
@asmaabdallah4740 5 жыл бұрын
nc
@asmaabdallah4740
@asmaabdallah4740 5 жыл бұрын
nice na mm ndo najfunz
@ajajomedia1220
@ajajomedia1220 2 жыл бұрын
Oi badooo ipo mpaka asaiv
@sadamzm8518
@sadamzm8518 6 жыл бұрын
Iyo veta iko mkoa gani naomba mnijulishe jamani 0718433444
@vsomoveta823
@vsomoveta823 6 жыл бұрын
Habari yako! Namba yako tumeipata, tunawasiliana na wewe kwa maelekezo zaidi! karibu!
@babalao9429
@babalao9429 5 жыл бұрын
sawa ndugu
@seifalkan_tanzania3986
@seifalkan_tanzania3986 4 жыл бұрын
V somo nyie ni wababaishaji baada ya kuiona video hii nilihamasika sana nikajaribu kulipa ile pesa ya ada 120,000 lo., mwaka wa pili sasa mnanipiga sound namlisema ni mafunzo ya wiki mbili tu mpaka sasa hela yangu imekwenda na hapo hakuna kesi sababu ni ujanja ujanja kwa njia ya mtandao kiukweli mpaka sasa Mimi sio balozi mzuri kwenu. Sababu pesa yangu mmeipiga nawashauri watu wasithubutu kulipa pesa kwa hawa jamaa wa V somo ni wapigaji tu bora waende pale pale vyuoni. Mwnyekutaka kuniuliza swali kuhusu hawa jamaa wa Airtel V somo anicheki nimpe muongozo kuhusu hawa jamaa ni noma jombaa 0685 59 11 54/ 0713 77 68 67.
@wzk2558
@wzk2558 6 жыл бұрын
hivi magari hakuna kujifunza kuendesha
@vsomoveta823
@vsomoveta823 6 жыл бұрын
Habari, kwa sasa ufundi wa Magari haujaingizwa kwenye VSOMO ila tunaelekea kufanya hivyo mapema iwezekanavyo. Karibu kudownload VSOMO App yetu
@tuacaremkodo2295
@tuacaremkodo2295 6 жыл бұрын
0744961163 kama kuna group watsap niunge mhandic
@vsomoveta823
@vsomoveta823 6 жыл бұрын
karibu kutembelea facebook page yetu kwa taarifa zaidi, kwa sasa bado hatuna grop la whatsap
@husseinmuslimfundiumeme1439
@husseinmuslimfundiumeme1439 6 жыл бұрын
saf San wazeee 0716391256 whasupp
@mrkaisi4531
@mrkaisi4531 6 жыл бұрын
icho kitu nakielewa sana
@vsomoveta823
@vsomoveta823 6 жыл бұрын
Karibu sana kujiunga masomo haya kwa njia ya simu ya mkononi, unasoma kwa gharama nafuu sana, kwa wakati wako binafsi kutumia simu yako, na kwa muda mfupi kwenye chuo cha VETA kilicho karibu nawe.
@anodjohanes5921
@anodjohanes5921 5 жыл бұрын
VSOMO VETA naomba mnielekeze namna yakujiunga maana app tiar nimesha ipakua ila nimeshindwa kujiunga sana sana kwenye neno la sili ndo nimeshindwa kujua naweka tarakim ngap plees nielekeze
@johnleo4716
@johnleo4716 6 жыл бұрын
Safi sana
@vsomoveta823
@vsomoveta823 6 жыл бұрын
Karibu sana kujiunga masomo haya kwa njia ya simu ya mkononi, unasoma kwa gharama nafuu sana, kwa wakati wako binafsi kutumia simu yako, na kwa muda mfupi kwenye chuo cha VETA kilicho karibu nawe.
@charlesmyamba8531
@charlesmyamba8531 3 жыл бұрын
@@vsomoveta823 so ndajifunzaje