A hrtbreak bringing me back here in 2024😭😭😭💔Nipe stara YARABBY🤲🏽❤️
@ashuranjoka244720 сағат бұрын
Tareh 5/6/2024❤
@ashuranjoka244720 сағат бұрын
tarehe 5.6.2024❤
@user-sq6tn7vo3h22 сағат бұрын
5/6/2024 tujuane
@user-bx9bp5dr5gКүн бұрын
Tamu sanaaa
@user-bx9bp5dr5gКүн бұрын
Waooo
@user-bx9bp5dr5gКүн бұрын
Wapi laylaaaa
@user-bx9bp5dr5gКүн бұрын
Uko fire sanaaaaa
@SaidiRashid-wm8mbКүн бұрын
Hii Raha a good day to
@missfetty4173Күн бұрын
Jimbo langu ili apa❤❤❤❤❤
@neophitalukiringi87012 күн бұрын
Piga kazi Mzee Yusuph . Mungu anajua watu wake . Dhambi sio kuimba .Kama unaimba na unatenda mema Kuna shida Gani hapo. Kuna watu hawaimbi na wanamkosea Mola kupita kiasi. Asikuhukumu mtu . Mungu pekee ndo anamamlaka ya kuhukumu watu wake.
@JennyAndrea-fo4lm2 күн бұрын
Tuwatafute
@NasmaMndeme2 күн бұрын
Makasiliko yann
@neophitalukiringi82602 күн бұрын
Mzee Yusuph, umeua kubwa na huu wimbo ni mzuri sana. Ninaupenda sana na ninaucheza mara nyingi sana
@leenakalomo80783 күн бұрын
A
@user-gc3ec9wx6z3 күн бұрын
Wangap tupo 2/6/2024
@ZainabuWilla3 күн бұрын
Huwa nakuelewa kwenye huu wimbo
@perucebuhomaosward85123 күн бұрын
My favourite taarab song❤❤❤
@Sarah-tq2vc4 күн бұрын
Weweeee......❤❤❤
@MariamRiziki-so1ic4 күн бұрын
Nampataje plz nataka aje kwa harusi yangu
@hadijamshimbula76164 күн бұрын
Kwnn hai download 😢😢😢
@JumaAmanVuai4 күн бұрын
Hahaaeee dada Fatma kiukweli uko pambe 💯💯💯💯
@KemmyPrince4 күн бұрын
Naipenda hii nyimboo
@saggitariusmamichy-el8re6 күн бұрын
Rip mom nimekukumbuka sana 😭😭😭hamna wa kuniombea kheri
@ChalambaMrisho6 күн бұрын
Mambo ya hija ndio basi, njaa kiboko
@SalumuLwinde6 күн бұрын
29/5/2024 Acha nyie nakumbuka mbali
@SalumuLwinde6 күн бұрын
Daaa watt wa 2000 watuache daaa nataman kulia inanikumbusha mbali
@SalumuLwinde6 күн бұрын
Co powa wa zee wa vigodoro watt wa 2000 watuache na wakishua uswailini kuna laha yake bhn
@JohalMagola-vx1zj6 күн бұрын
Nasikilizia 30/5/2024
@RosseMimi6 күн бұрын
Kazi zuri, Kila siku mpya30/5/2024
@dottoathanas63827 күн бұрын
Daaaah nakumbuka live 2012 uzinduzi wa ukumbi santiago social Hall msongola daaaaaaaaah miaka irudi byuma jaman
@mariamhamady18347 күн бұрын
Mbona ni download hiijii nyimbo hiii inakuja nyengine
@fatumamayungi95967 күн бұрын
29/05/24
@RodahAnyanga7 күн бұрын
❤❤❤❤
@ModhatJumanne-xj3px8 күн бұрын
Watoto wa 2000 awajazifaidi hiz
@BIGBOSS-hl3bu8 күн бұрын
Wanaume wadaa wanajua kucheza taarab hatareeee
@nicksonkoech14748 күн бұрын
I really love this song
@user-rp8lx8th7y8 күн бұрын
📌📌📌✔️
@ashaali71548 күн бұрын
Mdomo unaponza kichwa sasa umerudi na bleach kichwani hata hukumbuki uliyoyasema huko nyuma kwamba hata mtu akiusikiliza wimbo wako tu atapata dhambi leo umerudi zaidi ya ulivyosema ama kweili fikiri kabla ya kusema. 🤔 .
@aishamussamussa21849 күн бұрын
Naipenda htr
@nassurdineabdoulkarim9 күн бұрын
mimi mcomoro yo nyimbo ah hamu hakuna
@user-zj8ul2tp4t9 күн бұрын
❤❤❤❤❤🎉
@mayanikwetu74019 күн бұрын
Taarabu Itadumu sana
@pendoshabani75889 күн бұрын
Kabisa
@pendoshabani75889 күн бұрын
❤❤❤
@jumakinonono-jj4zy10 күн бұрын
Uyu mbaba Sasa alivyomshika uyo mdada dou!
@annaliliansangali433910 күн бұрын
2024 listeners🎉
@EddyBoy-pi6rg10 күн бұрын
Jamn moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ShadidaShaibu10 күн бұрын
Mama nakupend bure kwa wimbo wako aisee umenikosha