Iv unaakili wew kweli umesha lud sasa mbn kama unasapot ujinga malaya wew utaowa Lin usimfananishe Alie owa nawew unae danga 9vyooo
@kassidpandu8662 күн бұрын
supper Ben
@KassimhamadMakwawa2 күн бұрын
Huyu jamaa amepoteza nuru kabisa 😅
@ChristopherAgrey3 күн бұрын
Wataelewa tu usiwalazimishe yanga inacheza mpila wenye hazi respect 🎉🎉
@ChristinaLissu-e4e3 күн бұрын
Mpaka sasa hivi Tabora wameshakula 2 safi
@GraceNyagawa-v7r3 күн бұрын
Kwel
@MalaikaBright-rv6yb3 күн бұрын
Hongera max wetu kwa tuzo...ila kiukweli Aucho anasahaulika sana kwenye tuzo jamani Mechi nyingi mimi naona huwa anastahili ila tuz zinampitaga kushoto... Mashabiki tutafute namna ya sis kwa sisi kumtunza pale anapostahiki na hajapata Dah😮😮😮😮..nn shida...ni maoni yangu mimi...Daima mbele nyuma mwiko💚💛💚💛💚💚💛💚💛💚💛💚💚💚💛
@uswegemwakalobo62203 күн бұрын
@@MalaikaBright-rv6yb sijui Aucho kawakosea nini bodi ya ligi.
@MalaikaBright-rv6yb3 күн бұрын
@@uswegemwakalobo6220 am also use to ask myself the same question....ila hakuna!!! Ibaki ni mchezaji Bora sanaaa...
@uswegemwakalobo62203 күн бұрын
Alistahili Aucho
@nurdinmfamau34933 күн бұрын
Is True.
@IddyGhasto4 күн бұрын
Hana akili hata kidogo😂
@AbdallahJanja-e4f4 күн бұрын
Good bro
@ShafiiAbdala-t9x4 күн бұрын
Wewe ndie msemaj sio ao wengine
@f.a60434 күн бұрын
😂😂🐸🤣😂🐸🐸🤣😂😂🐸🐸🤣
@AbibSaidy4 күн бұрын
Semaji la nguvu moja inayo watesa na kuwakimbiza majirani 😂😂❤
@alexanderstephen16895 күн бұрын
Huyo kum wa yanga mwambie ntamfira
@DaudiNasari-o9r6 күн бұрын
Walijitamba San aoooooo yumbani kusa achia rundi hom
@MadukaClement6 күн бұрын
Tabora ni timu nzuri lakini siyo kwa Simba hapo nisawa nakusubiria Basi uwanja was ndege✈️subiria Yanga Tena umunyweshe magoli na Azamu kwa Simba hoi Dada yangu umechemka tu
@f.a60436 күн бұрын
Hassan Delunga 🤝🏽🤝🏽🤝🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽👍🏽👍🏽🦁🦁🦁🦁💪🏽💪🏽💪🏽
@YahayaBakari-e5y6 күн бұрын
Ww ni familia ya simba ujage kwenye tamasha
@HeriethMakule7 күн бұрын
Amesoma na anachezea nafas vzr
@williamsilwimba27567 күн бұрын
Mjinga mama yako aliye kuzaa hata wewe
@kakanya847 күн бұрын
Ubaya ubwege mlilambwa kimoja
@SwadakatYusuph8 күн бұрын
Kazi gani sasa
@JohnnyJapheth8 күн бұрын
Wakome walishazoea ubondia
@FatumaIbrahim-u5k8 күн бұрын
Alifukuzwa KMC huku nako hana muda mrefu kamdomo katamponza
Dada wa kinyamwezi uko vizuri, shida sio kuifunga YANGA. Twataka timu yako ligi ikiisha iwe top four . Hapo tutakupenda
@abdala.sefhu.machemba38359 күн бұрын
Auna.kazi.wivu uo
@ANZURUNAMAN9 күн бұрын
Ubaya ubwela
@ANZURUNAMAN9 күн бұрын
Ubaya ubwela
@vicentnyanda8289 күн бұрын
Kuna wakati nilikuona kama una Akili kumbe empty😂
@MustafaNamkaka9 күн бұрын
Yeah really kisugu😊😊
@AllyHussein-qc3vm9 күн бұрын
Uko sahihi dada piga kazi
@chrismkolomi69129 күн бұрын
Ishi Sana mwamba HD Pas yako ya mwisho Kwa chama zid ya Nkana tunaikumbuka sanaaa
@EmanuelMuna-w2q10 күн бұрын
Very good job Mr. Mwakitalima, Huyo Bi. Christina Muhagala wa Tabora United anatakiwa ajiandae na vazi lake la kinyamwezi, tayari kuolewa siku hiyo na kuchukuliwa na Mwanasimba kuelekea honey moon yake, ambayo haitamgarimu yeye binafsi fedha zozote na wazazi wake hawatapata bugudha zozote. Kama wananchi wa Tabora wana fedha nyingi kuliko Mo Dewji, basi wangetakiwa kuchanga fedha za ukarabati wa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, uwanja ambao kwa miaka ya sasa umeonyesha mchakao mkubwa sana, kisa hata kwa wao wana Tabora kugoma kwenda uwanjani kuiona na kuishabikia timu yao hiyo, ambayo kwa mujibu wa wanahabari nguli toka Tabora kuwa wangependa kuiona Simba SC Tanzania ikishinda mechi yote Tabora, hivyo kutwaa taji la ubingwa wa Tanzania na hivyo kuendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindano ya kombe la shirikisho barani Afrika, ambapo gusa aichia na twende robo fainali waliishia kunywa supu ya wachawi toka jangwani, mbapo imesadikiwa kuwa chama tawala waliishirikiana na wezi toka nyuma mwiko kuiba ngómbe na mbuzi toka Singida ili waendeleee kuitajirisha timu yako yenye uamini wa ushirikina mkubwa. Kama mkuu wa mkoa wa Tabora ana fedha nyingi sana za kuwalipa wachezaji wa Tabora United ili waweze kuikomoa Simba na kupoteza pointi tatu muhimu za ligi, tunamwambia kuwa huo ni ujinga wa mwafrika na waache haraka sana kufanya upumbavu huo. TSh 100 million ingetosha kabisa kufanya ukarabati mdogo wa pitch na maeneo machache ya watazamaji, bila kutegemea fedha toka serekali kuu, jambo ambalo hadi leo hii linaleta utata mkubwa sana katika utawala wa manispaa ya Tabora na wenza wao hao wa chama tawala cha CCM, ambao wengi wao wamekuwa wakitumia feha nyingi sana za serikali za mitaa kufanya maboresho hafifu ya uwanja, ambapo kwa mujibu wa wanahabari wetu toka Tabora kuwa fedha nyingi sana zimekuwa zikitumika katika ukarabati wa vyoo vya uwanja kwa kupaka rangi tu. Kama wana Tabora wana Tsh 50 million, basi ni bora wangetoa fedha hizo kutoa vifusi vilivyopo uwanjani na kuwajengea njia za wanariadha (athlets tartan), ili nao siku moja watuletee medali za dhahabu na fedha kwa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ingawa tayari Mheshiiwa Rais Hayati Ally Mwinyi ameishatangulia mbele za haki, kama wengi wa waswahili toka Zanzibari wanavyosema. Kama wana Tabora wana fedha nyingi sana za kuwalipa wachezaji wa Tabora United ili washinde mechi dhidi ya Simba, hivyo tunawaomba sana wangechanga fedha hizo ili kufanya ukarabati wa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi, na kuendelea kumuenzi Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Rais wa awamu ya pili, Mwalimu Ally Hassan Mwinyi. Jambo la Tabora United kupewa fedha na huyo mmiliki wa timu pinzani ili washinde mechi dhidi ya Simba SC Tanzania utachunguzwa kisheria (will be investigated by Tanzania police accordingly and all responsible individuals will be brought to the justice to face criminal charges)