DONDOO PISHI LA  PILAU KUKU
3:50
3 жыл бұрын
DONDOO - MAHITAJI YA KUPIKA UBUYU
1:23
PILAU KUKU
23:27
3 жыл бұрын
JIFUNZE KUPIKA TAMBI ZEGE TAMU
28:32
3 жыл бұрын
JIFUNZE KUPIKA KARANGA ZA MAYAI
25:14
Пікірлер
@SaidiMsigwa
@SaidiMsigwa 12 күн бұрын
Dada saf naomba mafunzo zaid
@LatifaHussein-v1u
@LatifaHussein-v1u 12 күн бұрын
Je zile za pilipil unafanyaje
@VailethSinkala-bc3ld
@VailethSinkala-bc3ld Ай бұрын
Ivi icho chakukwangulia unaweza ukakatia nacilpus za viazi?
@MagrethKihaga-k4m
@MagrethKihaga-k4m Ай бұрын
Bar code inapatikanaje
@ElizabethFinias
@ElizabethFinias 2 ай бұрын
Asante kwa elimu hii dada
@shivermuindi1864
@shivermuindi1864 2 ай бұрын
Hongera sana, nimeipenda
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@shivermuindi1864 Asante dear
@AzizaShabani-j4b
@AzizaShabani-j4b Ай бұрын
Kunauzwa bei gan icho kimashine
@monicajoachim9901
@monicajoachim9901 3 ай бұрын
kama sina icho chakukwangulia nitumie nini ili zitoke vzr
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@monicajoachim9901 unaweza kukata na kisu ila hicho ndo kinatoa vizuri, vipo vikwangulio vya aina nyingi nyingi
@lulukamwela-on4rl
@lulukamwela-on4rl 3 ай бұрын
Asante nmeelewa
@sadamohamed7264
@sadamohamed7264 Ай бұрын
Wooow i try it so sweet wallah
@macupafro
@macupafro 4 ай бұрын
Ni nzuri sana Zinaweza kukaa kwa muda gani bila kuharibika?
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@macupafro zinakaa zaidi ya mwezi ila usiziweke wazi
@ChristopherShayo-xh9fk
@ChristopherShayo-xh9fk 4 ай бұрын
Ndizi yoyot inafaa?
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@ChristopherShayo-xh9fk ndio dear ila mzuzu ndo zinakua tamu zaidi
@martinhillary3414
@martinhillary3414 4 ай бұрын
Hallow nimependa Sana inafaa hata Kwa biashara.
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@martinhillary3414 kabisa kabisa
@RehemaThomas-h6y
@RehemaThomas-h6y 4 ай бұрын
hongera sana @ godaya
@ummohammed8380
@ummohammed8380 4 ай бұрын
Masha allah Nimependa Ndizi ikiwa zimeiva sana zinafaa au ziwe nusu nusu
@godaya2-1.3
@godaya2-1.3 2 ай бұрын
@@ummohammed8380 inafaa dear
@RehemaThomas-h6y
@RehemaThomas-h6y 5 ай бұрын
hongera wiii
@irenemsumari6426
@irenemsumari6426 5 ай бұрын
Hongera my
@ImeldahHenerco
@ImeldahHenerco 5 ай бұрын
Asante sana nimeelewa vizuri saba
@elishapole7192
@elishapole7192 7 ай бұрын
Na mm kwasiku yaleo nime kaang tumeinjoi na family ni tamu kwakeli
@neemamabula
@neemamabula 8 ай бұрын
Nimeelewa vilivyo asanteni sana
@PreciouscareenPromise
@PreciouscareenPromise 8 ай бұрын
Karanga kilo mbili inatakiwa niweke mayai mangapi na unga kiasi Gani na sukari kiasi Gani?
@MaryMushi-ru3dd
@MaryMushi-ru3dd 8 ай бұрын
Asante sanaaa nimeelewa sanaaaaa
@glorrineshoo2444
@glorrineshoo2444 10 ай бұрын
Mbarikiwe sana ... Mnajua kufundisha well and good... Na nyie ni warembo😊😊so marvelous
@irenechrisestom6915
@irenechrisestom6915 Жыл бұрын
My baby on this one❤
@urselynanacreth6886
@urselynanacreth6886 Жыл бұрын
@PriskaMallya-wk5wm
@PriskaMallya-wk5wm Жыл бұрын
Je unaweza tumia karanga nyekundu
@dicksonkajeti133
@dicksonkajeti133 Жыл бұрын
😊
@kuluthummmetisha4630
@kuluthummmetisha4630 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/eqCwmZ-YhNpoldU
@leticiamagunila573
@leticiamagunila573 2 жыл бұрын
Dada mayai ya kanga naweza kutumia?
@glorrineshoo2444
@glorrineshoo2444 10 ай бұрын
Ndio
@madamrebecakitchen7846
@madamrebecakitchen7846 3 жыл бұрын
Nice
@jenifafadhili9164
@jenifafadhili9164 2 жыл бұрын
Napata wap stika za kuweka kwenye pakti
@teychriss3248
@teychriss3248 3 жыл бұрын
Good teachers
@nashynana104
@nashynana104 3 жыл бұрын
Karanga nusu unawez kupika na matatu etu
@magrethkabanza9184
@magrethkabanza9184 3 жыл бұрын
Nimekuelewa vizuri na nimejaribu kukaanga yaani ni tamu sana ubarikiwe sana
@winfridakamuabwa964
@winfridakamuabwa964 3 жыл бұрын
Nimeelewa sana
@obadiaanangisye
@obadiaanangisye 3 жыл бұрын
Nice