Пікірлер
@FelistaDavid-qv6hr
@FelistaDavid-qv6hr 3 күн бұрын
Ni nzuri
@EM24TV
@EM24TV 2 күн бұрын
Asanteeee
@novatushaule7944
@novatushaule7944 16 күн бұрын
Mathayo 17 10 Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza? 11 Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote, 12 ila nawaambia, ya kwamba Eliya amekwisha kuja, wasimtambue, lakini wakamtenda yote waliyotaka. Vivyo hivyo Mwana wa Adamu naye yuaenda kuteswa kwao. 13 Ndipo wale wanafunzi walipofahamu ya kuwa amesema nao habari za Yohana Mbatizaji. Kulingana na maandiko hayo hapo juu. Eiya alikuja kabla Yesu. Roho ya Eliya ilikuwa ndani ya Yohana Mbatizaji nakufanya kazi yake kazi hapa Duniani. Watu waliona yakuwa ni Yohana mbatizaji na nikweli kabisa kimwili ni yohana mbatizaji lakini kiroho huyo alikuwa ni Eliya kwasababu alichukua roho ya Eliya
@VenillaEmmanuel
@VenillaEmmanuel 22 күн бұрын
Hakika wokovu ulipatkana kwa galama kubwa bx tuuthamin sana
@AlphonceKidyala
@AlphonceKidyala 26 күн бұрын
Mke wa kaini aliitwa nani?
@greysongasper3662
@greysongasper3662 Ай бұрын
Mnisaidie mke wa adamu alitoka wapi?
@EM24TV
@EM24TV Ай бұрын
Mke wa Adamu aliumbwa na Mungu my friend, aliitwa Hawa au Eva
@peterbangari4273
@peterbangari4273 Ай бұрын
Je, yuda kama aliingiwa na shetani Yesu hakujuwa? Na kwanini mungu kama alikuwa anajuwa yuda atakuja kuwa msaliti kwanini mungu alikubali yesu amchague yuda katika wanafunzi 12 hii si kweli wandishi wameongopa na Kuna kitu Cha ukweli walificha.
@peterbangari4273
@peterbangari4273 Ай бұрын
Inaonyesha hii hadidhi imetungwa kwa kuegemea upande mmoja TU wa yesu
@peterbangari4273
@peterbangari4273 Ай бұрын
Kwanini yesu alimchagua yuda katika wanafunzi 12 wakati akijuwa yuda Hana ujazo wa roho mtakatifu?
@fidelismomburi1284
@fidelismomburi1284 Ай бұрын
Mbona kuna sehem sauti inakatika
@dennislihepa2247
@dennislihepa2247 Ай бұрын
Inawezekana katika quani tukufu inasema kaini alioa mmoja dada zake
@ErickNzioka-o8v
@ErickNzioka-o8v Ай бұрын
Paulo alikua na bibi
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni Ай бұрын
@rachaelkahonzi41
@rachaelkahonzi41 Ай бұрын
Naukiwa umeolewa tayari WA pili ufanyeje
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Ahsaneni sana Ck moja mtupe na asili ya Ibrahimu
@ALukunda
@ALukunda Ай бұрын
Mwalimu hatuku fafanuliwa kutoku owa kwa paulo
@almasrluhagami1497
@almasrluhagami1497 2 ай бұрын
😂😂😂😂 ukiwa MwenyeziMungu alimfanya nabii Adam kuwa Muislamu wa kwanza vipi Ismail awe muanzilishi hiyo elim umetoa wapi?
@helenamwaipaja7749
@helenamwaipaja7749 2 ай бұрын
Asante kwa kutujulisha, Mungu akubariki sana.
@generosamahundi541
@generosamahundi541 2 ай бұрын
Asante Kwa somo zuri
@MeckitilidaTushabe-or9hu
@MeckitilidaTushabe-or9hu 2 ай бұрын
Eee Mungu nisaidie pia nipe moyo wa ibada
@ModesterMshama
@ModesterMshama 2 ай бұрын
Ni wakati wa kufungua fikra zetu,tusibaki kwenye mafundisho ya mapokeo yakobo alichukua baraka kwa hila na hajawahi kuambiwa amefanya dhambi Kwa Mujibu wa biblia na hata jina la Israel ukisoma Kwa tafakari ya kichwa chako mwenyewe utagundua ni hila na siyo ubarikio.....eti yakobo kashindana na Mungu na kamshinda ni jambo ambalo haliwezekani,na bado eti yakobo alikutana na Mungu uso Kwa uso..Huyo ni Mungu wa aina gani ambaye unakutana nae uso kwa uso..Fungua kichwa AFRICAN tunapigwa bila kujijua na hii yote ni agenda ya kuweka nguvu kuu kwenye taifa la makatili na wadanganyifu ambalo ni Israel.SOMA BIBLE VIZURI
@sarahamri1620
@sarahamri1620 2 ай бұрын
Mngelala tu nyumbani kuliko hayo mnayoyafanya
@sarahamri1620
@sarahamri1620 2 ай бұрын
Kwenye biblia kuna kitu kama hicho mnachofanya kila tendo lisilotokana na imani ni zambi
@sarahamri1620
@sarahamri1620 2 ай бұрын
Nyie nanyi mmepagawa kabisa yaani mmekwisha kabisaa
@MissDecor-cu1nh
@MissDecor-cu1nh 2 ай бұрын
Mbona ina stuck??
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 3 ай бұрын
Bona anafuta comments za maswali muhimu wasiyo rafiki Kwa channels zake. Kama hauna habari na ya waliopona hii ni karata tu. Itakuwaje hakuna aliyejitokeza kusema kapona. Dawa inayofanya kazi haitaki maelezo na hadithi mingi mingi. Bona wenye kutengeza vipoma hawana lugha ya strong na weak
@MichaelDeogratius-g2p
@MichaelDeogratius-g2p 3 ай бұрын
I,think this is a good political part in Tanzania well done ❤
@Brunn-mh2bq
@Brunn-mh2bq 3 ай бұрын
" AZULU" Tanzania kweli ni Kiswahili hicho. Jamani jitahidini basi mnaangamiza lugha yetu hii.😢
@EM24TV
@EM24TV 3 ай бұрын
Tulipaswa kuandikaje, tupe chako tuone 😀
@JohnMuhoza-sf5xg
@JohnMuhoza-sf5xg 4 ай бұрын
Good stori tanzania 🇹🇿 👏 👌 👍
@MusaMarco-fv6us
@MusaMarco-fv6us 4 ай бұрын
Amen
@HyrieneAkinyi
@HyrieneAkinyi 4 ай бұрын
Amen
@magesaliso4222
@magesaliso4222 4 ай бұрын
barikiwa
@kazolemuganguzi5258
@kazolemuganguzi5258 4 ай бұрын
Naomba msaada wako wa hili andiko yesu kusema mke mmoja.
@ibrahimwario953
@ibrahimwario953 4 ай бұрын
Paulo ako na hata vijana sasa na shangaa sana ukiwa mwalim unatufunza akuoa ajabu
@EsterSimalike
@EsterSimalike 5 ай бұрын
Tuishi kwa kujifunza kupitia mitume na manabii
@williamnazzareno8889
@williamnazzareno8889 5 ай бұрын
Alikua na uraia pacha.myahudi na mrumi
@FlorentKatembo-gm6gp
@FlorentKatembo-gm6gp 5 ай бұрын
Shetani ana shukizwa sana na mume mwenye kuowa wake zaidi na moja;kila jambo yenye ku shukiza shetani ni baraka ku mwenye ku shukiza
@mayrfrimi4759
@mayrfrimi4759 5 ай бұрын
Mbona treni hamuionyeshi
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 5 ай бұрын
Msomi hawezi kuwa chawa na kujipendekeza. Nyinyi ni Matahira. Msomi anakua je chawa na kujipendekeza mbele ya mtu anayepewa PHD ndani ya Bashaha bila kukaa Darasani na kuchemsha ubongo kisawasawa!!!! Tumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetunyima Elimu ya Bongo na kutupa Elimu iliotufanya kuwa na fikra chanya na uwezo wa kung'amua mambo.
@BlueBaddie-cm2ii
@BlueBaddie-cm2ii 5 ай бұрын
Alizaliwa wap debola 5:42 5:42 5:42
@victorbeno
@victorbeno 6 ай бұрын
Je?walio oa mke mmoja kwenye biblia waliishi vizuri.
@KambaleNzuundodieume-wt9kc
@KambaleNzuundodieume-wt9kc 6 ай бұрын
N'a chukuru sana
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 6 ай бұрын
Sekretarieti ya Nchimbi na Makala ni ya wapigaji ccm imepata pigo jamani acheni tuone! Hiyo safu inaabudu matajiri na c wanyonge. Hapo tumeumia sana kuondolewa Makonda, kwa safu hiyo ccm chali!
@gringo2405
@gringo2405 6 ай бұрын
@kolosii4351
@kolosii4351 6 ай бұрын
Waziri umeongea vema hasa wanaojifanya wachambuzi ni fujo tu na kuzikatisha tamaa timu zetu.
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 6 ай бұрын
Sefania 2-3 unyenyekevu Ayubu 22-29 unyenyekevu Zaburi 138- 6 unyenyekevu Zakaria 9- 9 unyenyekevu Matayo 11- 29 unyenyekevu iondo Dini Njia ya yesu kristo Kristo nicheo chake sip Dini yake
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 6 ай бұрын
Msipate tabu neno islam nikiarabu kwa kiswahili unyenyekevu Manabii wore njia yao Dini ilikua Moja kuanzia Ibrahim soma Abdul's apojuu
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 6 ай бұрын
Kama yesu hayupo duniani so hata ukimsafisha yeye Ndiyo amekuzaa katika ukristo
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 6 ай бұрын
Baba yenu katika ukristo Matendo ya mitume 11:25
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 6 ай бұрын
Ndiyo Paulo akawatafuta watu Kama wewe waliomkubali kule antiokia
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 6 ай бұрын
Hapo umedanga kabisa aiuwa waislamu walio mfuta yesu