Sheikh unadanganya ! Ibn baaz , ibn uthaimin, alban na wengine wengi wanatajwa sana tu
@alf8177Сағат бұрын
kzbin.info/www/bejne/mJWWiHh6n79neqMsi=N0uSJF0HXDguvwbi Mawahabi hawa wamehifadhi vitabu vya hadithi. ona maajabu
@MohamedMkwepu2 сағат бұрын
WALLAHI UKIWA KHURAFI NI LAZIMA ALLAH AKUNYIME NURU YA ELIMU SAHIHI WALLAHI HUYU JAMAA NI MJINGA SANA SANA SANAAAAA ASHAJIONA YEYE AWEZA KUZISHEREHESHA HADITHI!!!? AJABU KWELI KWELI MJINGA KWELI KWELI HUYU,, ETI ATOKEA MTU AMPONGEZA HUYU? DUH! WAISLAM NI TATIZO
@abubakaromar610155 минут бұрын
@@MohamedMkwepu walonyimwa Nuru ya Elimu ni wale saa hii wako mitandaoni kila siku imekuwa kama musalsal yakuendeleya mashekhe zenu mawahabi wachapana na kulimana wao kwa wao kama Wake wenza kila moja apigania Usalafi au hulioni hilo?
@abubakaromar610145 минут бұрын
@@MohamedMkwepu Tena ktk kitu cha ajabu na cha kuchekesha eti na wao kila mmoja anapomraddi mwenzake amrekebisha ktk Ibara ilhali wote jora moja hili ni la kuchekesha sana 🤣🤣🤣
KUZURU MAKABURI WAISLAMU WENGI WANAZURU MAKABURI, TOFAUTI YETU NA YENU NI KUA NYINYI MNAPIGA NGOMA KULE MAKABURINI MUKATAWASSALI NA WAO, SISI HATUPIGI MATWARI MAKABURINI, SASA NYINYI MKO TOFAUTI NA MAFUNZO YA MTUME NA MASWAHABA YAKE
@abubakaromar610115 сағат бұрын
alisaid1347 kasome sana tena sana bado uko nyuma mwanzo kuna tafauti ya Ngoma na Twari, Ngoma kwa kiarabu yaitwa رقص na Twari laitwa الدف kwa sisi hatupigi Ngoma twapiga Twari, Mtume SAW alipigiwa Twari sasa wewe tupe wapi imekatazwa kupigwa Twari,Pili hujajuwa maana ya Kutawassal, Nabii Yusuf alitawasal kwa KANZU kwani Nabii Yusuf alishindwa kumuomba Mwenye Ezi Mungu moja kwa moja amponyeze babake upofu lkni Alitawasal na KANZU, wewe mwenyewe watu wanao kwenda Hajji na Umbra mbona wawaambia usitusahau kwa Dua kwa nini usijiombe mwenyewe moja kwa moja kwa Mwenye Ezi Mungu? Kasome wewe ushapotezwa na mashekhe zako na saa hii hao mashekhe zako wachapana na kulimana wao kwa wao
@rashidikibuna85755 сағат бұрын
Kama unasoma endelea kusoma.ndugu yangu maana upo nyuma sana kielimu.
@abubakaromar6101Сағат бұрын
@@rashidikibuna8575 kusoma hakuna mwisho tena hususa Elimu ya Dini hata Manabii kule kuteremshiwa Wahyi pia ni Elimu wanasoma قَالَ لَهُ مُوسَى هَلْ أَتَّبِعُكَ عَلَى أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا huyu ni Nabii Musa A.S alikubali kufundishwa na wingi wa Elimu yote alanayo, na kusoma sio ghiyari ukaona umejua Aya Mbili Tatu ndio ukadhani basi kusoma ni Lazima na ni Faradhi kusoma kukosa kufanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW kwenye Quran twaambiwa ٱقۡرَأۡ na Hadithi طلبُ العِلمِ فريضةٌ على كلِّ مسلمٍ
@abubakaromar610125 минут бұрын
@@rashidikibuna8575 kusoma hakuna mwisho hata Manabii kule kuteremshiwa Wahyi pia ni Elimu wanasoma قَالَ لَهٗ مُوْسٰى هَلْ اَتَّبِعُكَ عَلٰۤى اَنْ تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا Nabii Musa A.S na Elimu yote alonayo alikubali kufundishwa, kwa hivyo kusoma ni Wajib na ni Faradhi kutofanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW na kujua Aya Mbili Tatu haijakuwa kusoma ndio basi hususa Elimu ya Dini
@abubakaromar610121 минут бұрын
@@rashidikibuna8575 قَالَ لَهٗ مُوْسٰى هَلْ اَتَّبِعُكَ عَلٰۤى اَنْ تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمْتَ رُشْدًا hata Nabii Musa A.S na Elimu yote alonayo alikubali kufundishwa, kusoma ni Wajib na ni Faradhi kutofanya hivi umekhalifu Quran na Hadithi za Mtume SAW
@hamisisalimu690816 сағат бұрын
Mashallah, shukran sana sheik wetu, Allah akuongoze
@OmarHamisi-kp3oe19 сағат бұрын
Mashallah
@OmarHamisi-kp3oe22 сағат бұрын
Mashallah........
@OmarHamisi-kp3oe22 сағат бұрын
Mashallah yn maulid mpka Raha ALLAH akuhifadhi RAMIYA WETU na pia nakupa pongezi na kazi yko nzuri
@KhadijaSalim-s7eКүн бұрын
Mashaallah❤
@zakiabdulrahman-w4yКүн бұрын
maneno ya upuzi tu....
@zakiabdulrahman-w4yКүн бұрын
ni haramu kula pilau iliyo andaliwa ajili ya maulidi
@zakiabdulrahman-w4yКүн бұрын
msanii huyu..khurafi
@zakiabdulrahman-w4yКүн бұрын
hamuna tafauti na mashiya
@zakiabdulrahman-w4yКүн бұрын
acha kudanganya wajinga nenda ukale pilau yako
@farukialishee3065Күн бұрын
Mashallah
@AbuNuweyra-d4uКүн бұрын
Mashaalah
@ibrahimgiro42443 күн бұрын
Together
@ramiyawetutv3 күн бұрын
اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين
@husseinali38263 күн бұрын
MASHAALLAH MABRUQ INSHAALLAH KHERI
@ramiyawetutv3 күн бұрын
Taqabalallah minaaa wankum Shukraaan
@Mubarak-e6p4 күн бұрын
Eti. Naam. Nyinyi hamna akili Yani mwatetea uzushi wakijinga tena
@user-zx5fl5di2x5 күн бұрын
Masha allh
@ramiyawetutv5 күн бұрын
اللهم صل وسلم على نبينا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين وسلم تسليما كثيرا إلى يوم الدين
@ishmaelmsyoka5 күн бұрын
Waleikm sallam warahmatullhi wabarakatu
@ramiyawetutv5 күн бұрын
Wcsalam warahmatullah taalaa wabarakatuh
@ishmaelmsyoka5 күн бұрын
Asalam aleikum warahmatullhi wabarakatu
@ramiyawetutvКүн бұрын
Wcsalam warahmatullah taalaa wabarakatuh
@NasibuMtangi5 күн бұрын
Mashaallah
@MuhammadKurtuby-c5k5 күн бұрын
❤😂
@adamhamisi3207 күн бұрын
Mwaka gani hiii
@ramiyawetutv6 күн бұрын
Mwaka jana
@AbdulrazakSalim-i7f7 күн бұрын
Mashallah
@MuhammadKurtuby-c5k8 күн бұрын
Masha Allah
@ummusalim19918 күн бұрын
Ma Shaa Allah TabarakaAllah Mola Amuhifadhi Sheikhunaaa😊
@PiriAthumani10 күн бұрын
Mashaallah
@ramiyawetutv9 күн бұрын
Tabarakallah mola amhifadh Bilal wetu
@abasimwinyibovu309010 күн бұрын
Bwana ametwaa
@NasmaAthuman-j8t10 күн бұрын
Mashaallah ❤
@Khadija-vr8kl11 күн бұрын
❤
@Khadija-vr8kl11 күн бұрын
Mashllh 🎉
@jumankumilwa413911 күн бұрын
يا سلام
@ramiyawetutv11 күн бұрын
Allah
@KhadijaKihago11 күн бұрын
Allah akuhifadhi na hasadi na akupe nguvu
@ramiyawetutv11 күн бұрын
Amiiiiin ya Rwabiiii soooteee Shukraaan
@user-zy4sx6xm4t12 күн бұрын
MashaAllah ❤
@yusufuheri652412 күн бұрын
Mashaalah mashaalah ya Salam ya Salam
@LatifahHassani12 күн бұрын
Mashaallah
@NasmaAthuman-j8t12 күн бұрын
Mashaallah
@zaitunimalessa-mx6hy12 күн бұрын
Asalam alaykum warahatullah wabarakatul hii. Zafa ya leo eti?