Kiwanda cha Asili cha Ngozi - Arusha
9:35
Magofu ya Kaole - Bagamoyo
26:40
2 жыл бұрын
Makumbusho Dar es salaam
26:25
2 жыл бұрын
Kilwa Kisiwani
14:08
2 жыл бұрын
Mji wa kale wa Kilwa Kivinje
7:17
2 жыл бұрын
Tanzania Nakupenda CLS 2021
2:37
3 жыл бұрын
Kabila la Datoga
12:14
3 жыл бұрын
Biashara ya Mama Ntilie
11:48
3 жыл бұрын
Mapishi ya chipsi mayai
10:21
3 жыл бұрын
Пікірлер
@emanuelinaman8240
@emanuelinaman8240 19 күн бұрын
Sisi ni waarabu kiasili siyo Africa lugha inaonyesha dahiri shahiri
@YudaGaare
@YudaGaare Ай бұрын
Huyu Ana buni buni historia
@vickylayda6336
@vickylayda6336 Ай бұрын
Similar ni wairaqw wa Iraq
@vickylayda6336
@vickylayda6336 Ай бұрын
Nafiliri nimona maharishi tumetoka Mesopotamia, ndio tukaja Abysinia yaani Ethiopia ndio tukaelekea huku
@swahilipicturestv5447
@swahilipicturestv5447 2 ай бұрын
Usisahau kulike na kusubscribe ili iwe wa kwanza kupata makala zetu kwa wakati
@thomaswilsonrotich6467
@thomaswilsonrotich6467 2 ай бұрын
Si Iraq ni kwa waarabu , na ni wazungu weupe, but you are obviously black Africans?
@thomaswilsonrotich6467
@thomaswilsonrotich6467 2 ай бұрын
Nchi ya kufikirika
@lovenessisojick2139
@lovenessisojick2139 2 ай бұрын
Hapo ngorongoro hatukukuta wamasai tulikuta Wadatoga .Wamasai wamefika ngorongoro karne ya 19 siyo siku nyingi sana Ngorongoro ilikuwa ya Wadatoga au waman'gati.Hatukuwahi kuchanganyika sana na Wamasai kuliko Wan'gati..
@fadhilishabani4368
@fadhilishabani4368 2 ай бұрын
sahihi kipenzi
@KheriAlmasi
@KheriAlmasi 3 ай бұрын
Kwanini nunawaongopea watu kwa kuweka picha za uongo????? Hilo gati na hizo boat za mbagala zinatokea wapi?????
@SalumOthman-w8c
@SalumOthman-w8c 3 ай бұрын
Safi sana
@KibibiAbdul
@KibibiAbdul 3 ай бұрын
Iyoimeend
@JacksonMtese-gn4so
@JacksonMtese-gn4so 4 ай бұрын
Hongera Dr naomba contacts zako
@simongwandu7392
@simongwandu7392 4 ай бұрын
Mwongo wewe hujui kabisa
@allymfule
@allymfule 4 ай бұрын
Wataogeaje kialabu wakati wametoka miaka milioni iliyopita
@gamalnassertv
@gamalnassertv 4 ай бұрын
Wairaq wapo!
@MartiniJohn-ew6us
@MartiniJohn-ew6us 5 ай бұрын
Hapa ndio nilikuzwa na ugali wa kusagwa namna hii.ahsante Mungu uwatunze wazazi hawa
@JacobNikolaus-oy2ld
@JacobNikolaus-oy2ld 5 ай бұрын
Waooo😅
@AnnaAnna-kv6ki
@AnnaAnna-kv6ki 7 ай бұрын
Tokaaa hapa acha kundanganya jamiii km huwez kujieleza kale ugali na maziwa kalale
@norriiiddiy
@norriiiddiy 8 ай бұрын
Uwakik tongon itajulikan angalau
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 10 ай бұрын
WAISLAM hatuna tabia ya kutembelea sehem za historia ya kiislam
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 11 ай бұрын
Nilikua hapo miezi 7 iliopita lkn sikua na mwenyeji, naweza kupata NO yako broo
@dorothyshuma186
@dorothyshuma186 11 ай бұрын
Mungu aibariki KAZI ya mikono yako
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 11 ай бұрын
Asante
@stansiauisso5441
@stansiauisso5441 Жыл бұрын
kaza mwendo dada usiogope
@catherineupendo6536
@catherineupendo6536 Жыл бұрын
Hiyo sketi nitaipata wapi
@annaawinoolalaodero1672
@annaawinoolalaodero1672 Жыл бұрын
Sisi wote ni watoto wa mungu Amen Amen
@hamisimashaka4899
@hamisimashaka4899 Жыл бұрын
daaah hapo kwenye kaburi hawakumtendea haki kabisa 😥😥😥😥😥😥
@hamisimashaka4899
@hamisimashaka4899 Жыл бұрын
daaah hapo kwenye kaburi hawakumtendea haki kabisa 😥😥😥😥😥😥
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
Huyu muongo mkubwa kabisa, historia halisi ya wairaq haijui huyu.
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 жыл бұрын
Hili swala la kusema wa Iraq wametokea Iraq ni ujinga ambao sijawahi elewa mpaka leo nani aliwaeleza ujinga huo!, kama mmetokea Iraq vip lugha mbona tofauti?, vip kuhusu dini mbona wengi wakristo?, vip mbona sura zenu na waarabu zipo tofauti?, tzameni wapemba walivo, hakuna mwarabu mwenye kisogo, kuwa weupe na nywele singa siyo sababu!.
@leodenicodemus72
@leodenicodemus72 Жыл бұрын
Na hautaelewa achana nayo
@ggcrank6264
@ggcrank6264 Жыл бұрын
Ni upuuzi ambao hauna mantiki hata kidogo chimbuko ni Ethiopia na southSudan
@jacquelinemabula2519
@jacquelinemabula2519 Жыл бұрын
Kifupi tu wa Iraq original yao sio Iraq ila ni Ethiopia sababu hata majina na baadhi ya maneno ni kama wa Ethiopia hata vile wanavyo pronounce maneno
@lovenessisojick2139
@lovenessisojick2139 2 ай бұрын
Wewe usiwe jua usipayuke tuu una ELEWA kwamba wametoka huko miaka 1000 iliyopita kuhusu lugha Kama unafahamu vizuri lugha ya Kiiraaaqw utajua uhusiano uliopo hata matamshi ya kiiraaaqw yana sauti zilizoko katika lugha ya kiarabu.Kuhusu sura Wairaqw wengi ni weupe wenye pua nyembamba lakini Wairaqw wana nywele laini sana ukilinganisha na makabila ya kibantu.Kingine lazima tukubaliane kwamba safari yakitoka Mesopotamia ilikuwa ndefu ya kutembea kwa miguu.Njiani wamekutana na makabila mengine wenye asili ya kihimitic na Wabantu na mpaka leo tuna koo za Wairaqw zenye asili ya Wanyiramba/wanyisanzu na koo za Kidatoga.Kwahiyo Wairaqw wanaweza kweli wametoka Iraq kwa kupitia Ethiopia..Kama hujui historia usirukie treni kwa mbele njoo tukuelimishe.
@lovenessisojick2139
@lovenessisojick2139 2 ай бұрын
​@@ggcrank6264Una uhakika umefanya research au unapayuka tuu
@izraeltsaxarra2469
@izraeltsaxarra2469 2 жыл бұрын
Acha uongo bhana wewe ni mwiraghw wa wp unaongea uongo?
@izraeltsaxarra2469
@izraeltsaxarra2469 2 жыл бұрын
Huyu anauetoa histori hajalamilika nadhani hajui atafutwe wazee
@stephenmakinda423
@stephenmakinda423 2 жыл бұрын
Kiswahili kitukuzwe,
@peterbayo4677
@peterbayo4677 2 жыл бұрын
Wenye kujua ukweli waandike historia sahihi kuliko kuandika kupinga kilichoelezwa na mhusika. Kama hutoi ukweli hakuna haja ya kupinga
@DorcasManase-sp3ld
@DorcasManase-sp3ld Жыл бұрын
Agaaxwes hhiya
@matayhando6519
@matayhando6519 2 жыл бұрын
Ni vizuri kuacha kuliko kuelezea uongo ...huyu natamani nimfate nimpe makavu yake
@ismailainan4952
@ismailainan4952 2 жыл бұрын
Waameanzia ethopia
@ismailainan4952
@ismailainan4952 2 жыл бұрын
Mzee huo uwongo usiidanganye jammii
@petersulle1937
@petersulle1937 2 жыл бұрын
Hii historia/simulizi ina mapungufu mengi, siyo sawa kabisa, wairaqw hawakuanza kuishi mama Isara, walianzia mahali panaitwa guser maàngwatay halafu guser tiwalay, maeneo ya kondoa irangi, na pembezoni mwa mlima hanang giting' na ndipo waligawanyika gortoo akafuata bonde la dareda, irqutu akapanda dabil kwenda irqwar daâw.
@hansmwasakyeni3038
@hansmwasakyeni3038 4 ай бұрын
Alipoongelea kulima tu nimejua hajui anachosimulia! Waarabu na ukulima wapi na wapi?
@nuramoboy
@nuramoboy 2 жыл бұрын
1:35 wairaq hawapendi vita Sasa huko Iraq wanalima wapi majabali? Nyie wambulu bana mi nakujuweni nyie Arusha huku
@gulionigulioni3234
@gulionigulioni3234 Жыл бұрын
Iraq haitawaliwi na majabali ktk sehemu kubwa, ni nchi ya kilimo pia, naifahamu vzr nimeishi miaka 7 kule Basrah
@husseinkarim9211
@husseinkarim9211 2 жыл бұрын
Wairaq mbona hawaongei Kiarabu
@newtonnyembe8228
@newtonnyembe8228 2 жыл бұрын
Mbona weusi???🤓
@nuramoboy
@nuramoboy 2 жыл бұрын
:) Iraq wanalima wapi majabali?
@manubei3574
@manubei3574 5 ай бұрын
Ulijuahe
@gamalnassertv
@gamalnassertv 4 ай бұрын
Because some clans are more mixed with Bantus, Nilotics and Hunter-Gatherer communities
@deogratiussaru3074
@deogratiussaru3074 2 жыл бұрын
Safi tumewaskia ❤️❤️ yy
@lazarosule7761
@lazarosule7761 2 жыл бұрын
Safi
@karimhgau9020
@karimhgau9020 2 жыл бұрын
Tsuwaa loo waay.aidoosing'.
@kuluthummmetisha4630
@kuluthummmetisha4630 2 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/oYS1dJaJiNSHaKM
@زينبعىر
@زينبعىر 2 жыл бұрын
Nishaifanya sana Kinondoni mpk Bmoyo hadi leo naipenda na kuiheshim nabado nahiitajia kuifanya nikitulia pambana dada Allah akuondolee vizuizi kwa kazi za mikono yako
@زينبعىر
@زينبعىر 2 жыл бұрын
Kaza but my Love hiyo nikazi imetukuza na tumelea watoto na kutupatia chansi za kufika tulipo ingawa imejaa dharau lkn inalipa
@hadjaiddy3964
@hadjaiddy3964 2 жыл бұрын
Daa
@hadijaossi7821
@hadijaossi7821 2 жыл бұрын
Saita
@tunsumemwakinyuke661
@tunsumemwakinyuke661 2 жыл бұрын
Sayu aidoma
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 2 жыл бұрын
Tz nchi yangu sihami🤣🤣🤣
@malkiadmulda2620
@malkiadmulda2620 Жыл бұрын
Sayu
@carolinemariki4029
@carolinemariki4029 2 жыл бұрын
Hongera sana Dr Shuma