Idhaa jaa nasr allah walfat'h waraitanasa yad huluna fi allah af waja,siku ukiona watu wanaingia kwenye dini makundi kwa makundi
@abuibra6 жыл бұрын
WAISLAMU HATUNA HAJA YA KUTABILIWA NA MTU YOYOTE KWANI TUMISHA AMBIWA KATIKA QUR’ANI TUKUFU NA KATIKA HADITHI ZA MTUME WETU (MUHAMAD S.A.W)MIAKA 1,400 ILIYO PITA KUWA UISLAMU UTASHIKA DUNIA MZIMA TUNACHO NGOJA NI WAKATI TU SIYO MTU YOYOTE KUTUAMBIA AU KUTUTABIRIA ANAYE NGOJEWA NI(MAHDI NA NABII ISSA,A.S.)WAKAMILISHE INSHAALLAH KWA UWEZO WAKE MWENYEWE ALLAH MUUMBA WA KILA KITU.
@ahmedfekir62206 жыл бұрын
Hayo ni maandiko katika quran ni ahadi kuwa waislam tutatawala dunia
@ikabako24546 жыл бұрын
Acha kutisha watu Gwajima na uwe na heshima na dini za wenzako. Kabla hujauzungumzia uislamu basi kausome kwanza uislamu. Inaaminika kuwa wazungu ndio wenye akili timamu basi ukiona wanaufata uislamu ujue uislamu huo una siri. Wamegundua kuwa huko kwengine ni sanaa tupu. Nyie hata hiyo biblia yenu hamuifati na myafanyayo hayapo katika biblia hiyo.