ZEC MTAANI
3:21
16 сағат бұрын
MHE.HAMZA ASEMA ZEC MAMBO NI SAFI
1:29
19 сағат бұрын
ZEC MTAANI
2:49
Күн бұрын
ZEC MTAANI
4:09
21 күн бұрын
MATUKIO MAKUBWA MWEZI HUU.
7:47
21 күн бұрын
TANGAZO LA WALIOPOTEZA SIFA
0:57
MIGOGORO YA KIUCHAGUZI.
5:23
2 ай бұрын
MJUE MGOMBEA WA UCHAGUZI
5:31
2 ай бұрын
Пікірлер
@MgeniKhamis-g9t
@MgeniKhamis-g9t 5 күн бұрын
Unamjua wabaguzi kila mtu mtanganyika uyo zanzibar wala Hana ata asili yatanganyika nakazaliwa kibanda, maiti kama hujui
@JumaOmar-kp8rx
@JumaOmar-kp8rx 4 күн бұрын
Umemzaa ww itakuwa
@AllyHamran
@AllyHamran 6 күн бұрын
Dhalimu mkubwa mtwana huyu wa kitanganyika .
@mohammedlaabry5799
@mohammedlaabry5799 9 күн бұрын
Tunajua hio misingi unayoitaka wewe na ccm ni kunyangaya na kuwanyima haki wastahiki ikiwa kwenye kupiga kura au matokeo na huo ushirikiona mutakaotoa ni kuwalinda Hao wabadirifu
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 9 күн бұрын
Kuwapa mafunzo ya wizi na dhulma
@mohammedbakar4142
@mohammedbakar4142 10 күн бұрын
Mwenyezi mungu atamuhukumu huyu mzee JECHA SALIM JECHA kwa mazila ya wazanzibar walio poteza roho zao 2015 na kuzulumu uchaguzi katika Hotel ya bwawani mimi binapsi yangu sikumsamehe atalipa Damu na machozi ya wapemba na wazanzibar Aamin yarabi Mzee Jecha Hasbunallah wanikmal wakeel
@AlawyAlawi
@AlawyAlawi 14 күн бұрын
Mungu amlipe kwa aliotufanyiya wa zanzibar hasa 2015
@MohdJumaa-q3l
@MohdJumaa-q3l 14 күн бұрын
Je Baba Allah yupo ni yule yule. Wa Nabii Mussa. Mtume Muhammad S.A.W . Dhulma itahukumiwa kwa ulivyo dhulumu waislam. Km katenda haki Allah ndo anajuwa km kadhulumu Allah anajua.
@Ablahisaid
@Ablahisaid 16 күн бұрын
Hatumsamehe huyoo kw kutudhulumu haki zetu
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 18 күн бұрын
Kumbe kafa?🙃🙃
@richardyusuphmsongolomakat2049
@richardyusuphmsongolomakat2049 20 күн бұрын
Nikimkimbuka huyu mzee acheni tu
@AbuufauzaanMohd
@AbuufauzaanMohd 21 күн бұрын
Usanii mtupu
@kassimmohd
@kassimmohd 22 күн бұрын
Ivi Wjumbe wa Ngazi za juu kuchguliwa na Chama Tawala inaweza kusaidia kuunda tume huru ambayo haitopendelea chama tawala????
@Ali-u8i8s
@Ali-u8i8s 24 күн бұрын
Unamanisha bila shaka kwa Sasa yupo peponi. Mashallah Allah amrehem 😂
@Dullytwentyone
@Dullytwentyone 27 күн бұрын
Moongo uchamungu huo utatokea wapi ,nadhuiima aliyoifanya ,munguamuweke panapositahiki.
@AbdulhaamisSoud
@AbdulhaamisSoud 27 күн бұрын
Ucha mungu unafiq na kutumika vibaya
@uccfali6164
@uccfali6164 28 күн бұрын
Nzuri sana Zec kwa uandikishaj awamu y pili
@rashidseif-i3b
@rashidseif-i3b Ай бұрын
Hv CCM 2025 munataka kufanya uchaguzi au ubaguzi,coz CCM hamuwezi kufanya uchaguzi wa haki na huru.
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Ай бұрын
Wana chuki ndani ya nafsi zao chuki na roho mbaya wako tayari hata kutoa roho za waru
@MohammedBwanga
@MohammedBwanga Ай бұрын
SMZ mpo?wazanzibari hawana tena sifa ya kukusmamieni mmeona muwatoe mrima?
@AhmeidYussuf
@AhmeidYussuf Ай бұрын
Ila uyo faina na yey atakufa kifo kibaya snna mungu hafanyiw istihizai
@AhmeidYussuf
@AhmeidYussuf Ай бұрын
Mungu atamuadhibu kwa dhulma aliotudhulumu mi binafsi kanizulumu
@HasaniSasi
@HasaniSasi Ай бұрын
Allah ndio mjuzi zaidi kwa waja wake ya razak tusamehe waja wako pale tunapokukosea hakuna mkamilifu ktk hii dunia
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Kuswali tu ndi ucha Mungu!sema tu alikuwa Muislamu tu
@AliSalim-yu4mo
@AliSalim-yu4mo Ай бұрын
Nadhani na wewe Faina ulijifunza kutoka kwake! Endeleza na uvae viatu vyake!
@SoudAli-i5l
@SoudAli-i5l Ай бұрын
ww faina na huyo jecha ss hatuna maneno lkn km ndio hvyo bc ndio hivyo nn kilitokea baada ya kubadikisha matokeo jibu kalipata yy na ww vile vile kuswali co sbb lkn bc hatujui ni siri ya mungu ila ww na huyo na marehemu ni noma
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz Ай бұрын
Bado huja cheka unacheka siku ukikupa mgongo Dunia utakwenda kuulizwa na mambo yako unayoyafanya unatetea Dhuluma kweli wewe ogopa sana dua ya mtu anayedhulumiwa haina kizuizi baina yake na Allah kazi kwako
@ashahamad-mq3iz
@ashahamad-mq3iz Ай бұрын
Mbona Watanganyika munalalamika kwa Rais Samia kuwa rais wa Tanzania mbona huyu Mwenyekiti ni kutoka Tanganyika hamusemi lolote au anye kuku akinya bata kahara kuweni na ustahamilivu musiwe na wivu mupo
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB Ай бұрын
Kwanini awe mtanganyika? Tuseme zanzibar yote hakuna anaeweza kuwa mwenyekiti wa tume. Mpaka hapo ccm imeshinda KWA KUPITIA MTANGANYIKA
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Ай бұрын
Huyu mwizi alale asiamke tena shetani huyo
@Maajidabdillah
@Maajidabdillah Ай бұрын
Mwenzako alifuta uchaguzi ambao ulikua wa haki kabisa baada kuona CCM haina tena pakutokea lkn saiv yupo ktk ardhi alijiona atakaa milele duniani kumbukeni hapa tunapita tu, Dhulma zenu na mauaji ya raia wasiokua na hatia Allah ndie mlipaji.
@abdulismail6072
@abdulismail6072 Ай бұрын
Hilo lizee mungu alichome moto mkubwa sana shetani mkubwa
@SaidHamad-d3n
@SaidHamad-d3n Ай бұрын
Alizani hatokufa jitu lilikuwa jahli halafu munalisifia atalipwa kw ujahli wake
@MshamAli-o4e
@MshamAli-o4e Ай бұрын
Wizi na wazandiki
@UmmyFantastic
@UmmyFantastic Ай бұрын
Hhhhh
@AbdallahJuma-wb8lq
@AbdallahJuma-wb8lq Ай бұрын
Zanzibar,mpaka,tume,amekabidhiwa,mzanzibara,tumekwisha
@AllyHamran
@AllyHamran Ай бұрын
Aaaa Idarusi Faina mtwana anaewatesa waungwana Zanzibar.
@AbdalaNdaria
@AbdalaNdaria Ай бұрын
Ww sishehe jibwa unamcfia kibwamwezako
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz Ай бұрын
wewe uchamungu siyo kuswali tu kazulumu mungu atatulipiya alikimbiya duuu
@ZanzibarTrustTours
@ZanzibarTrustTours Ай бұрын
Vichwa mcungwa sisi,wewe tuombe radhi, Tunafanya ivo ili mambo yetu yende sawa. Angewepo jecha munge mtusi na kumpiga mawe tukutane 2025 mziki mnene tutakuonesheni.
@ZanzibarTrustTours
@ZanzibarTrustTours Ай бұрын
Sore watanzania bwana tunahaki ya kufanya kazi popote ndani ya nchi hii na sector yoyote pasi na kubaguliwa uzanzibar wekenini pembeni. Na nyinyi kama mnapenda twendeni mkoa wa songwe mukawe wenyekiti wa Tume ya uchaguzi tawi la Tanganyika tu mtapewa nafasi hizo musituonee wivu, Sisi tuna miguu ya kuku nyinyi hamuna. Mutalia kweli nyinyi mwakani na matumbo yatawauma hayo kazi kwenu.
@ZanzibarTrustTours
@ZanzibarTrustTours Ай бұрын
Lieni mapema, machonzi mukayafute baadae makaburini ila hapa hatutoi kitu mtabaki kuimba tu kudai madaraka kazi kwenu.
@masoudhamad1592
@masoudhamad1592 Ай бұрын
Hivi huyu mzee aliishia wapi?
@hassanmitawi9256
@hassanmitawi9256 Ай бұрын
Hongera Sana. Wapenda Amani, Usalama na demokrasia nchini, wakati wote watafuata na kuheshimu sheria. Kinyume chake watatishia kuvunja taratibu hizo. Tuache kufanya kinyume cha taratibu na sheria. Zanzibar ni yetu sote. Tipo Kisiwani kuokea sehemu tofauti, wala hskuna. Meenye. Hak zaid Kati yetu. Kuliko mwengine.
@KibaSazaf
@KibaSazaf Ай бұрын
Ww mwenyewe sio mzanzibr ni mtanganyika
@KibaSazaf
@KibaSazaf Ай бұрын
Ww mnyamwez utahama hapa Zanzibar sio kwenu
@KibaSazaf
@KibaSazaf Ай бұрын
Ww mnyamwez utahama hapa Zanzibar sio kwenu
@KibaSazaf
@KibaSazaf Ай бұрын
Zanzibar hatutak kura mara mbili kura siku moja tu
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 Ай бұрын
Tume 😮
@MohdSuleiman-k1o
@MohdSuleiman-k1o Ай бұрын
Yaan mpka mwenye kit anatokea Tanganyika dah utawala huu ni utawala wa Tanganyika mana watanganyika ndo weng kuliko ata wazanzibar
@SuleimanAli-l2h
@SuleimanAli-l2h Ай бұрын
Rudi kwenu tanganyika mshenzi