Пікірлер
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 Ай бұрын
Kitambo sanaa
@PaulKabikaJoseph
@PaulKabikaJoseph 2 ай бұрын
wale wanakwaya wazamani bado wamo
@PaulKabikaJoseph
@PaulKabikaJoseph 2 ай бұрын
tutafutie zingine
@WycliffeWafula-pg7do
@WycliffeWafula-pg7do 6 ай бұрын
pongesi nkinga cc
@masanjalatamakunga1719
@masanjalatamakunga1719 6 ай бұрын
Enzi hizo,inyimbo, nzuri
@japhetshigella6430
@japhetshigella6430 7 ай бұрын
Nyimbo ni nzuri sana....ila ktk style za kucheza na shauri mmentain asili yenu na tone isipotee
@japhetshigella6430
@japhetshigella6430 7 ай бұрын
Kwakweli nabarikiwa sana na nyimbo zenu. Ninashauri katika tungu ya nyimbo mpya...jitahidini kuto kuondoka katika asili yenu maana hiyo ndo radha na asili ya uimbaji wenu....kwakweli ninabarikiwa sana. Naikiwezekana mnaweza kuzirudia nyimbo zote muhimu za zamani
@FpctNkinga
@FpctNkinga 6 ай бұрын
Ujumbe umepokelewa
@FpctNkinga
@FpctNkinga 6 ай бұрын
Ujumbe umepokelewa Mungu akubariki saana
@ngenowilfred1160
@ngenowilfred1160 3 ай бұрын
Natoka kenya, na tangia ujana wangu ,1988,nilipopata kuzisikia nyimbo zenu mara ya kwanza katika kanda nikabarikiwa. Leo hii maktaba yangu ya nyumbani yamejazwa nyimbo za Nkinga, Ncc. Mungu awabariki sana. Hata hivo hifadhi quality ya msiki yenu ya mwanzo. Msiige mitindo ya kizaza ambayo inachanganywa za kidunia. Video vyenu vibaki vile vilikuwa Hata katika nyimbo mpya. Iwapo mtarekodi nyimbo zenu za kale msibadilishe sauti wala mziki tafadhali, ampatanisha zile miziki na picha ya choir ya kizaza, Ncc. Teknolojia ya kizaza iwasaidieni na Mungu awabariki. milele.
@elizabetifilibetimeshaki
@elizabetifilibetimeshaki 11 ай бұрын
Safi sana
@elizabetifilibetimeshaki
@elizabetifilibetimeshaki 11 ай бұрын
Enzi zetu hiz
@paulseleman0604
@paulseleman0604 11 ай бұрын
Hongera sana watumishi wa Mungu endeleeni kutumika mtavuna kwa wakati wake amina
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Mungu awabariki wapendwa
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Jamani ni nani aliyefariki? Mama best? Au?😢
@CatherineMalulu
@CatherineMalulu Ай бұрын
Huyo anayeimbisha
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
​@@CatherineMaluluMama BEST ALISHAFARIKI?!😢
@CatherineMalulu
@CatherineMalulu Ай бұрын
@@israelkisaila8401 kama sii mwaka jana basi mwaka juzi mwishoni
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
@@CatherineMalulu Aise apumzike Kwa Amani,nilikuwa nampenda sana huyo dada Kwa uimbaji wake,na pia pale theater alinifundisha sana Kazi,dhaa duniani tunapita,PUMZIKA KWA AMANI MAMA BEST.😭
@paulseleman0604
@paulseleman0604 Жыл бұрын
Mkazidi sana ktk kuitenda kazi ya Mungu nae atawakweza zaidi na zaidi amina
@paulseleman0604
@paulseleman0604 Жыл бұрын
Moto umewaka 🙏🙏🙏🙏🙏
@drdee3157
@drdee3157 Жыл бұрын
Wimbo mzuri sana.
@elizabetifilibetimeshaki
@elizabetifilibetimeshaki Жыл бұрын
safi sana wazee kazi
@LisaKusuhibwa
@LisaKusuhibwa Жыл бұрын
Hongereni kwa huduma watumishi
@benjaminezekiel6050
@benjaminezekiel6050 Жыл бұрын
Safi
@frecktown1061
@frecktown1061 Жыл бұрын
Ongereni
@silaskatola9590
@silaskatola9590 Жыл бұрын
The lady playing the guitar- hata kwa album ya Sauli she used to play
@yvonnembuve1176
@yvonnembuve1176 Жыл бұрын
I like the guitar chords
@yvonnembuve1176
@yvonnembuve1176 Жыл бұрын
Ni me penda hio solo
@mariamelisha1095
@mariamelisha1095 Жыл бұрын
Pumzika mama angu kpenz umeniacha bdo nakuhtaj nakukumbuka jaman mama 😭😭😭😭 RIP mom
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
@@mariamelisha1095 Mama BEST ALISHAFARIKI?!
@elizabethjoachim5475
@elizabethjoachim5475 Жыл бұрын
Pumzika kwa amani dada yetu
@gracewaziri2754
@gracewaziri2754 Жыл бұрын
Umelalaa Hali bado unaishi☹️
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Жыл бұрын
Nani aliyefariki?
@valeriakishiwa6029
@valeriakishiwa6029 Жыл бұрын
Baada ya kusikia taarfa ya kifo chako dear nmekimbia hk kutazama kwa mara nyingine
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Huyu dada anayeimbisha ALISHAFARIKI?!
@robertmasatu8423
@robertmasatu8423 2 жыл бұрын
Jifunzeni Kwa nkinga ya zamani
@anthoniamgeleka190
@anthoniamgeleka190 2 жыл бұрын
Good
@anthoniamgeleka190
@anthoniamgeleka190 2 жыл бұрын
I Love you Sony
@franklinmwinzi2
@franklinmwinzi2 2 жыл бұрын
Wimbo ninaoupenda sana
@patrickbujiba6807
@patrickbujiba6807 3 жыл бұрын
Hongereni jaman mko vizur, nabarkiwa mnoo kusikiliza nyimbo zenu!
@linessmuwowo3242
@linessmuwowo3242 3 жыл бұрын
No rhumba in it. Proper gospel
@thomasnyaanga8465
@thomasnyaanga8465 3 жыл бұрын
Bibilia inaleza vizuri kuhisu msalaba
@rachelsamwel2968
@rachelsamwel2968 3 жыл бұрын
Sifuni Mungu wetu amina
@thomasnyaanga8465
@thomasnyaanga8465 3 жыл бұрын
Nkinga choir inanikumbusa mbali mungu apewe sifa
@iddykadushj1767
@iddykadushj1767 4 жыл бұрын
Kazi nzr MUNGU awabariki sana
@mwalimujames2345
@mwalimujames2345 4 жыл бұрын
Hizi ni nyimbo zenye upako wa Mungu. Hazipitwi na wakati wala haziishi utamu wa kuzisikia
@emmanuelsakaja8714
@emmanuelsakaja8714 4 жыл бұрын
Amina kwa yesu kristo 🙏 nipo nanyi nkinga kwaya tangu nikiwa mdogo nyimbo zenu zilini Bariki sana
@emmanuelsakaja8714
@emmanuelsakaja8714 4 жыл бұрын
Asante sana
@emmanuelsakaja8714
@emmanuelsakaja8714 4 жыл бұрын
Ni salama kwa yesu kristo mwokozi wa ulimwengu... jamani ikiwezekana tupe album za kwaya hiii kama ile ya *yesu alipopaa* kuna nyimbo natafuta "yesu alipokuwa" na "nilifuraiya walipo sema"....akika nawa penda sana kwaya ya nkinga nyimbo zenu Zani bariki sana 🙏💓💓
@markokode7758
@markokode7758 4 жыл бұрын
I love you so much watumishi ,you have been a blessing and a role model to me in this ministry of singing. Kisumu kenya (vosh choir )
@emmanuelpetertruegospelcha3331
@emmanuelpetertruegospelcha3331 3 жыл бұрын
Kweli kabisa ndungu je! Una tambua album yao ya *Ooh, SIFA NI ZA BWANA*
@emmanuelpeter53
@emmanuelpeter53 4 жыл бұрын
Asante sana zamani waliimba vizuri kuliko sasa ivi maana mambo ya Leo yame wateka
@sifakiteve5927
@sifakiteve5927 4 жыл бұрын
old is gold, ninaombi tuwekee na ule wimbo wa JE WEWE UTAYARI SIKU YESU AJAPO KUCHUKUA WATEULE WALOTAYARI upo kwenye album hii ya SAULI ya video.