Пікірлер
@KilimbikeHaji-iy2fm
@KilimbikeHaji-iy2fm 16 минут бұрын
Zalim mkubwa ni mmarekani ambae nisawa na shetani tu
@woah.africa99
@woah.africa99 26 минут бұрын
Na cheni kavaaaa
@Thomas-wj6dx
@Thomas-wj6dx 50 минут бұрын
Umaskini na shida zingine zilizosababishwa na mifumo mibovu ya kiserikali ndio sababu za watu hao wote kukimbilia humo
@TobiassimonWalila-h9i
@TobiassimonWalila-h9i Сағат бұрын
Assante yesu nimepoquea👏👏👏
@naelijwamduma4255
@naelijwamduma4255 Сағат бұрын
HALELUYA 🙏
@SamwelDaudi-qj7js
@SamwelDaudi-qj7js Сағат бұрын
😂😂😂
@siliviamaneno2905
@siliviamaneno2905 2 сағат бұрын
Mutume mungu akuweke miaka mingi muno vijukuu vipokee uduma yako ubarikiwe sana
@yussufmohammed9299
@yussufmohammed9299 3 сағат бұрын
Namzamini MANDONGA Mm
@Afrikalove736
@Afrikalove736 3 сағат бұрын
Yaani apo waislasmu ndio wamejaa😂,wakioätoka apo wanaitukana dini ya krikristu
@Afrikalove736
@Afrikalove736 3 сағат бұрын
Yaani apo waislasmu ndio wamejaa😂,wakioätoka apo wanaitukana dini ya krikristu😢
@DuliBrillant-mr8er
@DuliBrillant-mr8er 4 сағат бұрын
Msanii wa kawaida lazima upande mchana
@DuliBrillant-mr8er
@DuliBrillant-mr8er 4 сағат бұрын
Mze kwa hao aloingia nao diamond ni mkubwa kiu umri kweny usanii lakin kiustar hakuna anaemueza
@furahachuma9039
@furahachuma9039 4 сағат бұрын
Huku kila siku nilikutoa nilikutoa nilikutoa nilikutoa Haaaaaa
@ludoviclymo2044
@ludoviclymo2044 4 сағат бұрын
Ndugu yangu mwamposa.wafanyakazi wakoleo wamepoteza sadaka nyingisana hasa leo.kingine wagawamaji. Majibu mabovu sana.kingine nazani tangu ufungue ilo kanisa ujawai fika vyooni 6:28 6:28
@ramayonline2281
@ramayonline2281 7 сағат бұрын
Apo ni Dubai broh
@dicksontimotheo7617
@dicksontimotheo7617 7 сағат бұрын
Acha ujinga fanya recap ya vipindi crownfm mana ww ulisemaga kiba hana uwezo wa kusimamia media....ebu tufanyie recap tuone
@furahachuma9039
@furahachuma9039 4 сағат бұрын
Hawezi, ni wivu tu unamsumbua huyu mtangazaji.
@Luckreadyog
@Luckreadyog 7 сағат бұрын
Kuna wakati niko najiuliza ilo promotion unakuwaga na liongelea ni lipi ?
@aronmapunda2023
@aronmapunda2023 8 сағат бұрын
Ni wazi kuwa watu wanavutika na pesa, pia ufahamu kuwa Mungu unaye mtumia ni kivuli cha shetani udhihirisho ni 1Wafalme22: 19-23
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 8 сағат бұрын
Haijaenda kwasababu hana mashabiki wanao mkubali mashabiki zake wote watoto wadogo ndio wanao msiliza young lunya hem nenda kaangalie album ya roma mkatoliki alafu ndo utajuwa kama young lunya ni mtoto wewe kila siku umengangania promo promo mbona wewe hicho kipindi chako hukifanyii promo😮
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 8 сағат бұрын
Wewe si ndo ulie kuwa unasema yuong lunya ndo msanii wa hip hop mbora leo hii unasema nini sasa kwenda huko mnafki wewe hiloooooooo😮😮😮😮
@davidmangilile3568
@davidmangilile3568 9 сағат бұрын
%90 wanamini watakuwa matajiri 😂😂😂😂
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 10 сағат бұрын
Acha wafate miujiza naskia anatibu had kansa rakini siku wakishajua anatumia hirizigan watakimbia kama kwa kakobe
@ankalmzito254
@ankalmzito254 10 сағат бұрын
Hapo kwenye Alikiba na Diamond daaaahh hatari....
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 10 сағат бұрын
Mapungufu yanakuaga kwenye nyimbo ambazo sio za WCB tu hahaha yan hata huna aibu et upendo wakati roho inakuima
@furahachuma9039
@furahachuma9039 4 сағат бұрын
Huyu huwa ni chawa kindakindaki wa WCB
@SharafiPanjoro-mg9uw
@SharafiPanjoro-mg9uw 30 минут бұрын
umeona eeeh huyu jamaaaa mapungufu Anaona nyimbo nje na wcb tu huyu jamaaa sijui yukoje
@filskischannel9737
@filskischannel9737 11 сағат бұрын
Almost one million people gathering there 🤔 , what a massive crowd🤔🤔🤔
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 11 сағат бұрын
Acheni propaganda kanisani. Mnamdhihaki Mungu. Msiwahadae watanzania kwa manufaa yenu binfsi. Nanyi ndio mnaowanunua hai mabinti.
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 11 сағат бұрын
Sasa mtangazaji inatakiwa ujue kutofautisha kati ya single na album, hata huko Duniani msanii akiachia album namba zake haziwezi zikawa sawa na akiachia single kwa muda huo huo mchache. Album ni project ya pamoja huwezi sikiliza album kama single Moja album inabidi ipewe muda mrefu kidogo sio siku chache tu unaanza kuijaji mbona hizo namba ni namba nzuri tu ukizingatia soko letu la hip hop kilivyo jamaa amejitahidi Sana kwa hizo namba, unatakiwa ujue mziki wetu umeathiriwa zaidi na amapiano na miziki mwingine kuliko hip-hop hizo namba kwangu Mimi kwa muda huu naona ni namba nzuri Sana kwake
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 12 сағат бұрын
Msimchezee Yesu madhabahuni. Fanyeni kazi zenu vizuri kwa haki ndio kazi yako. Naye atakutukuza. Majukwaa ya Yesu usiyatumie kwa manufaa binafsi. Una madhahabu yako nenda ukatende haki. Thats terrible
@IsaacLameck-nz8yr
@IsaacLameck-nz8yr 13 сағат бұрын
Shetani ana watu wengi
@deboymaxmil4980
@deboymaxmil4980 14 сағат бұрын
🙆‍♂️🙆‍♂️
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 14 сағат бұрын
Huyo pogba mwenyewe skuizi kawa mtu wa kawaida sana tu kama yy ni mwanaume akukutane na kina mbape mess naymary na ronado
@ramayonline2281
@ramayonline2281 7 сағат бұрын
Kaa mkao wa kula
@AshaHadhidha-hj3oo
@AshaHadhidha-hj3oo Сағат бұрын
Kamshike tako
@AbuuMkabugo
@AbuuMkabugo 15 сағат бұрын
C ufaransa bhana ispein na jaman
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 15 сағат бұрын
We mmakonde haujui me Simba la masimba dangote 😂😂😂😂
@AjeMediaGroup.
@AjeMediaGroup. 15 сағат бұрын
Angalia album za wasanii wakubwa wote marekani kisha urudie kurecap hii content yako kaka! hiyo ni album sio single songs kumbuka ni album inayostreamiwa platform tofauti Vedio ndo zitaleta namba hapa mkubwa
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 16 сағат бұрын
KWELI KIFO HAKIPO MBALI WATU WANATISHA KAMA WAZEE USONI
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 16 сағат бұрын
Sasa yule kirandage anaweza kumsogelea pogba
@AshaHadhidha-hj3oo
@AshaHadhidha-hj3oo Сағат бұрын
Ataulizwa who are you
@user-pk1yl7zt8p
@user-pk1yl7zt8p 16 сағат бұрын
We zombie haujui
@kayblack2025
@kayblack2025 16 сағат бұрын
🔥🔥🔥
@kizzobkali1691
@kizzobkali1691 16 сағат бұрын
Uyu jamaa ana tisha
@omarymohamedi-ex8mw
@omarymohamedi-ex8mw 16 сағат бұрын
doto utakufaaa
@IssaIssa-wc6nm
@IssaIssa-wc6nm 16 сағат бұрын
Kulilia kolabo zakimkakati tu ... Kusapoti wasanii waendembele aaaah utaki
@christiancuma6146
@christiancuma6146 16 сағат бұрын
Bro. Mbona hauja fanya Recap juu ya studio na vipindi za Crown media? Love from Congo
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 16 сағат бұрын
Kwa nini asiemde yeye kwanza kimataifa mbwa huyu kwani yeye hafai kwenda huko kimataifa
@WendoJuma
@WendoJuma 15 сағат бұрын
Kweli kabisa..jamaa mnafki sana
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 11 сағат бұрын
Mi nishamsona hivi ushawai kuona anatoa mapungufu wimbo hata wa msanii mmoja wa wcb ? Hata aimbe hovyo
@OnlyRuky
@OnlyRuky 16 сағат бұрын
Nani kakudanganya King na Dainamoo ni jambo la kibiashara?
@emilyvicent1969
@emilyvicent1969 16 сағат бұрын
ndio kwanza siku SITA kaka inabidi tuwape muda management mbona alifanya wasafi
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 17 сағат бұрын
Asante sana mchambuzi wetu umeongea vzr sana kweli wasanii wetu wawe wamoja
@mustafamsati9599
@mustafamsati9599 10 сағат бұрын
Kwaza yeye mwenyewe hana upendo na wasanii hivi nikuulize umesshawai kuona anatoa mapungufu wimbo wa hata uwe wa kucoppy ila ni kutoka wcb?manguf ni kaz ni kwenyekaz Za wasanii ambao sio anaowapenda tu je yupo fea? Huyo mtu ni chawa tu hana lolote anakatisha tamaa wasanii
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 17 сағат бұрын
Wabongo atupendani
@JaphetBenitho
@JaphetBenitho 17 сағат бұрын
Saluti broo
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s
@LeonardmpembaMsemakweli-q8s 17 сағат бұрын
KWELI KAKA MIMI NAKUKUBALI SANA BLO WEWE NIZAIDI YA WASEMAJI YANI BLO ❤❤❤❤❤❤
@user-sp6gb6mf5y
@user-sp6gb6mf5y 17 сағат бұрын
True
@rahmarama5669
@rahmarama5669 18 сағат бұрын
Sema hv Ma Samia Nakuomba Mrudishe Huyu Kazini Tena Umweke na Makonda Utaona nchi itakavyo safishika nakutftia 5 G Bora Tanzania hpo ni 2