Supa Miriam, amanya Kenya Laikipia. Your songs are a blessing and how I wish I could just attend to your event just one day! Also and support you 🎉
@MiriumLemayan2 ай бұрын
Karibu sana na nashukuru MNOO.. next yeah MUNGU akipenda nitakukaribisha kwa event yangu🙏🙏
@MamasitaMollel3 ай бұрын
Kweli mama mungu akubariki sana ulipo😅
@Damseaorguba3 ай бұрын
God job sister but full song please
@gasperpoiyomollely94 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana hakika ujumbe umetufikia barikiwa Sana.
@saiguranotuni85264 ай бұрын
Pongezi dada,, full song please
@silvermangala3504 ай бұрын
May God bless maasai,I cry.why do government want to evict maasai in their ancestral land.
@mathewnaiguta69144 ай бұрын
Mungu asidi kukubariki Miriam Kwa nyimbo sako
@ayubunaandi8014 ай бұрын
Woi esipa siake
@MeshakiLaizer4 ай бұрын
Mung akusaidie san usonge mbele
@deusdeditmrope86934 ай бұрын
Kazi mzuri Mama..sisi sote ni ndugu..tuthaminiane..tupo pamoja katika hili...Mungu atatenda kitu kwa ajili ya ndugu zetu wa ngorongoro
@SamwelLotuno-xo1jy4 ай бұрын
Mimi ni po Arusha niwaombe wamasai wote wa Tanzania bila kujali ukanda sisi sote ni maaa hakuna cha larusai au nani tuungane wote Tupate kusema na Mungu juu ya mambo yanayo Endelea kwa ndugu zetu waishio ngorongoro maana jibu pekee lipo kwa Mungu
@Mathayokapurwa3083 ай бұрын
Yes hongera Sana Namimi nakuunga mikono
@DaudyTndulet4 ай бұрын
God bless you always engeraiyo
@Kilaejeremiababukoyeyo4 ай бұрын
Msuli sana hongera sana
@LekenMkuna4 ай бұрын
Really kabisa Maza angu tunazopitia mengi sana
@PinielKivuyo-zu1ok4 ай бұрын
❤nimesikia neno ilarusa kitigirate,,,hatujanyamaza tunaumia sana ila tunashindwa namna sauti zimeishia kooni,,tulimkosea Nini huyu mama Samia mbona anatunyanyasa sana sisi wamasai kwa ujumla,,,ardhi zetu kwanini tunanyang'anywa?????
@ntekereinaeku43584 ай бұрын
Really your bless mum ...your talk but not song
@MiriumLemayan4 ай бұрын
🙏
@ElvisTago-yr3ky4 ай бұрын
May God bless and give more power ❤❤❤❤❤
@JacksonJoelyMsilal4 ай бұрын
Nikweli Tanzania yetu sasa imekuwa ya ajabu viongozi walioko madaraka ndio wanao angamiza wezetu hatujui hatima yetu nnn ila tunaamin kuwa mungu yupo nasi mungu akubariki
@pembasaruni90704 ай бұрын
This leader are very useless kindly assist your people
@hustlermeshuko21494 ай бұрын
Blessed much
@MiliaKaximoto4 ай бұрын
Good job mama mdogoo you're super🎉🎉
@boyChlid4 ай бұрын
Nakupenda San mungu ukulinde mam angu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤