RIPOTI YA LEO ELIBARIKI SEHEMU YA 04
47:39
2 сағат бұрын
RIPOTI YA LEO ELIBARIKI SEHEMU YA 03
36:07
4 сағат бұрын
RIPOTI YA LEO ELIBARIKI SEHEMU YA PILI
49:59
Kenyan Protesters Swarm Ruto In USA
4:35
16 сағат бұрын
RIPOTI YA LEO EDGAR SEHEMU YA 15 MWISHO
38:31
Gen Z's Harsh Critique of William Ruto
10:36
RIPOTI YA LEO EDGAR SEHEMU YA 13
46:09
21 сағат бұрын
RIPOTI YA LEO EDGAR SEHEMU YA 12
47:18
RIPOTI YA LEO EDGAR SEHEMU YA 11
46:50
RIPOTI YA LEO EDGAR SEHEMU YA 09
20:39
Пікірлер
@babdulla3779
@babdulla3779 2 күн бұрын
Wazazi huona mbali japo ni kuishi kwnye maisha kama haya
@mmmediatz
@mmmediatz 2 күн бұрын
@@babdulla3779 sana
@gwantwajohn7875
@gwantwajohn7875 3 күн бұрын
Nipo mpole nikingojea sehemu ya pili
@AbdalahRamadhani-q1j
@AbdalahRamadhani-q1j 5 күн бұрын
sehemu ya 14 haipo
@barakamavika9391
@barakamavika9391 6 күн бұрын
hawa jamaa ni balaa lingine
@agnessgavana4365
@agnessgavana4365 7 күн бұрын
Vipo dear
@AbdalahRamadhani-q1j
@AbdalahRamadhani-q1j 8 күн бұрын
sehemu ya 3
@mmmediatz
@mmmediatz 8 күн бұрын
Ipoo
@dubai8594
@dubai8594 9 күн бұрын
NAMIS SANA HUYU MZEE WANGU
@mmmediatz
@mmmediatz 9 күн бұрын
Nakubali
@user-ci6xp5vd6f
@user-ci6xp5vd6f 9 күн бұрын
Nakupenda dada Veronica nmeanza kukuskilza kutoka DAR adi zanzbr napenda San simulizi zako
@mmmediatz
@mmmediatz 9 күн бұрын
Karibu sana
@kulthumsaif2856
@kulthumsaif2856 10 күн бұрын
Mmh Edgar pole ungekua umemsikiliza mama yote yasinge kupata
@mmmediatz
@mmmediatz 10 күн бұрын
Ni HATARI KUSHINDWA kumsikiliza mzazi sometimes
@RizikiJb
@RizikiJb 11 күн бұрын
Vipande vingine mbona hakuna kama number 10,8,7????
@agnessgavana4365
@agnessgavana4365 7 күн бұрын
Vipo dear
@DianaAkinyi-uq5vj
@DianaAkinyi-uq5vj 11 күн бұрын
No.1..nakupenda kutoka sana daa Veronica natokea kenya
@fatumakyengya45
@fatumakyengya45 11 күн бұрын
Mmmh hatar sanaa
@marcobulili4341
@marcobulili4341 12 күн бұрын
Chama hawezi phylosophy ya Gamondi usishangae akawa mchezaji wa kwenye ligi siyo kimataifa! Usajiri wa chama ni wa kuikomoa simba
@mmmediatz
@mmmediatz 12 күн бұрын
Ni suala la Muda tu
@AdiellaNsemwa-to1ye
@AdiellaNsemwa-to1ye 12 күн бұрын
Utokwinyo gongo wazi
@mmmediatz
@mmmediatz 12 күн бұрын
😂😂😂😂
@lotimwansule5017
@lotimwansule5017 15 күн бұрын
Ati Tanzania inadaiwa itakuwa yanga ,acha basi mslilipe kitawakuta kitu kizito
@mmmediatz
@mmmediatz 14 күн бұрын
😂😂😂
@neemahando6183
@neemahando6183 16 күн бұрын
Najifunza maneno ya watu mengi nisipuuze . Lisemalo lipo. Kama halipo nitakuja.
@davidsuleman233
@davidsuleman233 16 күн бұрын
Tanzania yenyewe inadaiwa sembuse yanga
@omanbarka1588
@omanbarka1588 16 күн бұрын
Acheni uwongo Tanzania inadaiwa wapi imeshtakiwa nyau we
@mmmediatz
@mmmediatz 14 күн бұрын
Yanga TAIFA kubwa kudaiwa lazima
@mmmediatz
@mmmediatz 14 күн бұрын
😂😂😂
@AmeirAlly-tn8hw
@AmeirAlly-tn8hw 16 күн бұрын
Ukweli ni uzembe ktk klabu na aibu Kila kukicha yanga inafungiwa ,management mbovu au Kuna kibaraka anayafanya haya?ukweli tunaumia sana
@mmmediatz
@mmmediatz 14 күн бұрын
Kabisaa
@jumanakamo5503
@jumanakamo5503 16 күн бұрын
UTOPOLOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO😂😂😂😂
@mmmediatz
@mmmediatz 16 күн бұрын
Watalipa tu na watasajili
@emmykassim4132
@emmykassim4132 16 күн бұрын
CHEKA TUU LAKIN JIANDAE KUPIGWA 7 ZINGINE NJE NA NDANI DUNDUKA WEWE
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g 17 күн бұрын
Kama ni taasisi kubwa inakuaje idaiwe,taasisi kubwa ni mnyama,kudaiwa Kwa yanga sio Leo,ni miaka mingi wamekua hivyo
@mmmediatz
@mmmediatz 16 күн бұрын
Mapato na matumizi hayaendsni kudaiwa lazima
@juliassabastian7521
@juliassabastian7521 17 күн бұрын
nanyie mnajadili hovyo
@mmmediatz
@mmmediatz 16 күн бұрын
Duhh
@drallan6879
@drallan6879 15 күн бұрын
madeni FC wamedai hawadaiwi
@drallan6879
@drallan6879 15 күн бұрын
hivi engineer WA madeni FC mbona hulipi madeni
@user-vt1qw4lo9i
@user-vt1qw4lo9i 17 күн бұрын
Niko hapa nasikiliza simulizi ya edigar
@mmmediatz
@mmmediatz 17 күн бұрын
Karibu
@jankenkasambala7687
@jankenkasambala7687 17 күн бұрын
Makabi Lilepo ni sawa na Kisinda aliyechangamka
@mmmediatz
@mmmediatz 17 күн бұрын
😂😂😂😂utani wa ngumi
@MabulaSalu
@MabulaSalu 18 күн бұрын
Waende walionakibuli manake hawajitumi
@mmmediatz
@mmmediatz 18 күн бұрын
Kabisaa
@KosaiTumvile-kh2vy
@KosaiTumvile-kh2vy 18 күн бұрын
Kwenye maisha Kila mtu anapitia maisha ya mateso so God is answer.
@mmmediatz
@mmmediatz 18 күн бұрын
Mambo ndio yalivyo
@user-no3yv7em7t
@user-no3yv7em7t 18 күн бұрын
Nataka kujua hiyo ndosura yamuhusika ama
@mmmediatz
@mmmediatz 18 күн бұрын
Vipi Kama ndiye muhusika?
@charityemmanuel9763
@charityemmanuel9763 18 күн бұрын
Punguza matangazo kama zamani jaman
@mmmediatz
@mmmediatz 18 күн бұрын
Sawa nakubali
@magdaleneemmanuel6990
@magdaleneemmanuel6990 19 күн бұрын
Hiv sura unayokuwa umeweka ndo ya mhusika ama?
@mmmediatz
@mmmediatz 18 күн бұрын
😂😂😂kwanini mbona kuuliza?
@monicambuva529
@monicambuva529 18 күн бұрын
😂😂😂hapana dear...vip huyo mshikaj hapo kafanana na Edgar wa story eeenh😂😂😂
@FaridaMvungi-xy1ho
@FaridaMvungi-xy1ho 19 күн бұрын
Daah pole sana Edgar
@mmmediatz
@mmmediatz 19 күн бұрын
Asante
@moisugar_tz
@moisugar_tz 20 күн бұрын
maria kiboko
@mmmediatz
@mmmediatz 20 күн бұрын
🥺🥺🥺
@righitkileo
@righitkileo 20 күн бұрын
Aisee kumbe Afya ya akili ni tatizo kabisa..Inakera sana mtu umma unapokukataa lkn wewe unaonyesha umuhimu wa wewe kuwepo .mzee haina ulazma wewe kuwepo hapo.Achia nqazi .aisee .Hatari sana
@mmmediatz
@mmmediatz 20 күн бұрын
🔥🔥🔥
@rehematawalani733
@rehematawalani733 20 күн бұрын
HASANTEE Hii store nakumbuka niliwahi kuisikiliza ambayo inafanana na hii
@mmmediatz
@mmmediatz 20 күн бұрын
Mhhhh
@MinaeliMbonea
@MinaeliMbonea 20 күн бұрын
Duuuh edga pole
@mmmediatz
@mmmediatz 20 күн бұрын
Hatar sana
@jaydenbedas5729
@jaydenbedas5729 21 күн бұрын
Mchuma janga hula na wakwao
@mmmediatz
@mmmediatz 21 күн бұрын
Hatari sana
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 21 күн бұрын
DR MO SIMBA NI YANGA PURE YUPO HAPO KWA AJILI YA KILETA MIGOGORO SIMBA
@mmmediatz
@mmmediatz 21 күн бұрын
Mhhh kazi ipo
@georgeernest8620
@georgeernest8620 21 күн бұрын
Tatizo kubwa la Timu yetu ya Simba sports club ni Wanachama na Mashabiki uchwara.Mwenyekiti au Katibu wa Tawi hanapata wapi nguvu ya kuwa msemaji wa Simba au wanachama wa Simba?.Klabu yetu inamsemaji wake.Lazima tufuate utaratibu wa kufikisha mawazo yetu.Vionhozi wa Matawi ya kila wilaya yafanye vikao vyao.Mapendekezo ya matawi ya wilaya,yapelekwe kwenye kikao cha mkoa na msimamo wa viongozi wa mikoa yapelekwe makao makuu ya klabu au mkutano wa matawi ya Simba Tanzania.Rai yangu kwa Timu yetu ya Simba sports club ni kwamba klabu yetu iwe na kanda za wanachama wake na kila kanda ingetoa mjumbe mmoja kwenye kikao cha Board ya Simba sports club limited.Hili litaongeza upeo wa ushirikishwaji wa mawazo ya wanachama.Simba makao makuu yake yako mkoani Dar es Salaam lakini isiyo ndio kigezo cha wanachama na wapenzi wa Dar es salaam kujitwisha umiliki wa klabu na kwa bahati mbaya sana wengi wao ni machawa wa wajumbe na viongozi ili kujineemesha.Tatu,naomba tuimalishe vikao vya matawi ya Simba Tanzania nzima,wilaya na Mikoani. Nne,Tutoe kadi kwa wanachama wapya ili kuongeza upeo wa fikra na kujali maslahi ya wa Tanzania.
@mmsfuzzsba3816
@mmsfuzzsba3816 21 күн бұрын
HATUMTAKI MANGUNGUUUUUUUUUUUU
@mmmediatz
@mmmediatz 21 күн бұрын
😂😂😂😂
@bakanga1410
@bakanga1410 22 күн бұрын
ww mangungu mpuuz unafikiri kuwa na Kadu ndo mfia timu..huna akili sawa sawa wapenzi unaowaona uwanjani cyo wanachama tu ila mashabiki ndo wengi wanaoisapotu Simba..hivi huyu mangungu for the sake of Simba u have to step down..one of the manifesto ni kuleta umoja sasa kama umeshindwa Iko hustahili kuwa kiongozi wa simba ..
@mmmediatz
@mmmediatz 22 күн бұрын
Nguvu moja
@mozasalim7725
@mozasalim7725 22 күн бұрын
Nzuri
@mmmediatz
@mmmediatz 22 күн бұрын
👍🔥🔥
@fatumayusufu2924
@fatumayusufu2924 22 күн бұрын
Wazazi wanamaono na watoto zao, wanaona mbali, changamoto ni watoto wenyewe kushupaza shingo
@mmmediatz
@mmmediatz 22 күн бұрын
Sana mzazi wakusikilizwa sana
@rehematawalani733
@rehematawalani733 22 күн бұрын
HASANTEE
@mmmediatz
@mmmediatz 22 күн бұрын
Karibu
@rehematawalani733
@rehematawalani733 22 күн бұрын
@@mmmediatz 🙏🙏
@lydiaanabel1087
@lydiaanabel1087 22 күн бұрын
Atangazo ina pits dada iyo vizuri
@happycastory1312
@happycastory1312 23 күн бұрын
Nzur
@MarthaMlawa
@MarthaMlawa 23 күн бұрын
🙏🙏
@mmmediatz
@mmmediatz 23 күн бұрын
🔥🔥
@abbasisudi6899
@abbasisudi6899 23 күн бұрын
Sasa hapo mbona hakuna uhakisua wa asilimia 51 na 49 ndomana mchakato haufiki mwisho Yani hapo mwenye 49 ndo ataongoza
@mmmediatz
@mmmediatz 23 күн бұрын
Duhh
@dearmama4336
@dearmama4336 23 күн бұрын
Asante sn nimeitafuta mno
@mmmediatz
@mmmediatz 23 күн бұрын
Karibu
@mmmediatz
@mmmediatz 23 күн бұрын
Karibu
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 22 күн бұрын
Asante sana my
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 22 күн бұрын
Bora utume ivi Kwavoic
@rehematawalani733
@rehematawalani733 24 күн бұрын
HASANTEE
@rehematawalani733
@rehematawalani733 24 күн бұрын
*HASANTE*
@mmmediatz
@mmmediatz 24 күн бұрын
Karibu
@rehematawalani733
@rehematawalani733 24 күн бұрын
@@mmmediatz nimekaribia
@user-vv5uj6fo5r
@user-vv5uj6fo5r 24 күн бұрын
Nimzur sananimeipenda inamafunzo pia
@mmmediatz
@mmmediatz 24 күн бұрын
Pamoja
@GODFREY-je9xq
@GODFREY-je9xq 24 күн бұрын
Vijana wengi huambiwa na wazqzi hapo siyo huwa tunalazimisha ,mwisho wa siku yanatukuta.
@mmmediatz
@mmmediatz 24 күн бұрын
Hatari sana hoyo