Пікірлер
@NyabendaRuben-oy6ls
@NyabendaRuben-oy6ls Күн бұрын
Waseme.ni.dhaifu.watakuja.kuona
@RichardTungunya
@RichardTungunya Күн бұрын
2:44
@salymsuleiman2035
@salymsuleiman2035 Күн бұрын
Taifa teuleeee hiloooo Taifa la kisenge
@AmosAlly
@AmosAlly Күн бұрын
Pole sana gozibeti
@ApendekiCiza
@ApendekiCiza Күн бұрын
Laurent kabila njo mwenye aliwaletaka kiisha waka muonesha ca mutema kuni
@HvhVvb-k3i
@HvhVvb-k3i 2 күн бұрын
Kada wa ccm utawadanganya wa darasa la 7 wenzio
@HamzaMohamed-ix2xs
@HamzaMohamed-ix2xs 2 күн бұрын
Nilikua nakuamini kumbe mtu wa hovyo kupitiloza
@HamzaMohamed-ix2xs
@HamzaMohamed-ix2xs 2 күн бұрын
Napale aliposema eebaba roho yangu naiweka mikononi mwako alikua anamwambia nani acha kupotosha
@dela78895
@dela78895 3 күн бұрын
Rekebisha ilojina la banyamulenge wenyewe ni wanyarwanda...congo akuna ilo kabila...
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 күн бұрын
Kudos Lipumba! Wakumbushe watanzania wote, sisi wote ni ndugu na historia yetu ni kubwa na ndefu, waasisi wa Muungano wa Tanzania waliyajua haya yote.
@kambamazig02024
@kambamazig02024 3 күн бұрын
Kwani ofisi zilikuwa hazijahamia Dodoma? Duh!
@EmmanuelMugi
@EmmanuelMugi 4 күн бұрын
Upo vizuri
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 4 күн бұрын
sisi TZ vijana wapo bze wana BET
@IvanJuma-yh9wr
@IvanJuma-yh9wr 5 күн бұрын
Asante kwa kutuambia
@MariamMohammed-s8q
@MariamMohammed-s8q 6 күн бұрын
Nyota yake ishachukuliwa tayar
@JoanProsper-u6j
@JoanProsper-u6j 6 күн бұрын
Shalom mtumishi
@kalokolamulumbe8445
@kalokolamulumbe8445 6 күн бұрын
Jpm aliona miaka 500 mbele
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 күн бұрын
Hakuna kitu kinaitwa msaafu mtakatifu, waislamu wakikusikia utapigwa mawe.😊
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 8 күн бұрын
R.I.P.JPM
@issadullah2074
@issadullah2074 8 күн бұрын
Mrusi anakili sana hao marekan wanajifanya wanauwezo kuliko wengine kazi anayo
@BarikyKidaya
@BarikyKidaya 9 күн бұрын
Wengi wasichokielewa ni kwamba, utume au unabii au ualimu ni majukumu au sifa za nje ambazo mtu anaweza kuwa nazo zote kwa wakati mmoja na bado akawa na sifa nyingine kuu zaidi, hivyo hukosei ukimuita Yesu mtume au nabii au mwalimu au mwana wa Mungu au Mungu Mkuu maana ndivyo alivyo kwa wakati mmoja.
@BarikyKidaya
@BarikyKidaya 10 күн бұрын
Bado natafakari
@HamisRashid-xl4mn
@HamisRashid-xl4mn 10 күн бұрын
Wewe nimuongo mchungaji ngoja tuendelee kukusikiliza tukuone unako endelea
@jumaali8596
@jumaali8596 10 күн бұрын
Utapeli na udanganyifu umezidi
@Thehemayouth
@Thehemayouth 10 күн бұрын
Asante sana baba yetu ulitufundisha megi sana baba mungu akulida mahali ulipo baba 🙏
@AdamHamis-s2o
@AdamHamis-s2o 11 күн бұрын
Acha kumkashifu mtowa taarifa Katangaze wewe mwenye sauti nyororo ya kishoga Hiyo ni sauti ya kiume we vipi
@AnthonMwaitenda
@AnthonMwaitenda 11 күн бұрын
Hongera sana isaya mwakilembe napenda sana sana uchambuzi wa hasa kuhusu kamanda traoule indelea kuelimisha ya kiafrika asante viongozi Tanzania waige mfano wa hiyo mwamba
@kalistokihwili
@kalistokihwili 11 күн бұрын
ELIMU HII NI KUBWA SANA,MUNGU AKUBARIKI MWALIMU.
@fadhiliramadhani2402
@fadhiliramadhani2402 12 күн бұрын
Atawanaopinga nimatapeli tu
@ImmanuelKasaba
@ImmanuelKasaba 12 күн бұрын
nakuelewa kila siku... hakika ww n mwalim.. isikuumize kichwa mtu wa mungu ikiwa hata MUNGU mwenyez mwalim w walim alishuka kufundisha makutano meng na miujiza za kutosha bado watu hawakumsadiki kbisa so leo ww!!!.. itoshe2 kusema kama yes asemavyo kwa tajili kua kunawachungaji mashemas. wainjilist. walim na n.k wasikilizen hao wakifeli hapo usiumize kichwa mtumishi natafadhari nikuombe usifundishe kushindana na watu fundisha watu waelewe maana hata yes alikuja alikuta watu wamekalili tolati na hakuibadilisha ila alikuja kunyoosha palipo pinda kujenga palipo bomoka.... Mungu akubaliki sana
@UkengeUkenge
@UkengeUkenge 15 күн бұрын
Mipaka ingekua wazi kwa anaetaka kutoka nchini ningetoka, baati mbaya wanalinda kuzidi kuumizana umu, chanjo zingine azieleweki adi mashuleni du!!!, maguuu😂😂😂😂😂😂
@MATHIASMwasongwe
@MATHIASMwasongwe 15 күн бұрын
Mwalimu nakuelewa
@robertsongola6034
@robertsongola6034 15 күн бұрын
Hata mtoto wake akigombea akiwa na kaliba ya baba yake nampa kura bila kampeni mapema sana
@SwaleheMwameja
@SwaleheMwameja 15 күн бұрын
ASANTE BABA PUTINI MUNGU AKULINDE NA MABAYA YOTE UWASHINDE MASHOGA AO
@PauloMichael-zg5on
@PauloMichael-zg5on 16 күн бұрын
K😮😮😮
@ArbertMhando
@ArbertMhando 17 күн бұрын
Yessu ni mungu kweli na ni mtu kweli
@ArbertMhando
@ArbertMhando 17 күн бұрын
Mimi sion kama ni tatizo kusherehekea Christmas Kwan ktk Ibada hatuabudu jua!
@ArbertMhando
@ArbertMhando 17 күн бұрын
Upo sahihi ila sikubaliani na falsafa Yako!
@ArbertMhando
@ArbertMhando 17 күн бұрын
Costantino si miongon mwa watakatifu wanaotambulika na kanisa katoliki.
@uzierimtema8581
@uzierimtema8581 17 күн бұрын
Fudisha.wajiga.mwalimu.wangu
@Johndestar470
@Johndestar470 18 күн бұрын
Utumwa bado upo sana Africa
@AthumanLipaty
@AthumanLipaty 19 күн бұрын
Lin tena shekh maan w ushakua shekh dah bong la elimu
@omarimohamed8850
@omarimohamed8850 20 күн бұрын
Mchanga.hunaondoka
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 20 күн бұрын
Hapa hakuna mwalim kuna wakosa ajenda na elim kichwan hamna ndo kabaki na akili alizaliwa nazo akati amevaa nguo za kisayans
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
@JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq 20 күн бұрын
MUNGU MKUU nakuomba ubariki hiiiii Israel ya Sasa wanayoizarau watu hawa ambao haijui hata rangi enyewe ya waisrael ktk jina la BWANA YESU KRISTO nimeibariki Israel
@IsmailKhamis-c3t
@IsmailKhamis-c3t 21 күн бұрын
Wakiristo mmechanganyikiwa
@larryeddy720
@larryeddy720 21 күн бұрын
Dini y kweli n y mababu zetu huu ukristo n uislamu umeletwa n wazungu n warabu
@EmanuelPaulo-gn8qf
@EmanuelPaulo-gn8qf 22 күн бұрын
Tungepata viongozi kama hawa kila nchi Afrika tungefika mbali.
@FesmaAsma
@FesmaAsma 22 күн бұрын
Amen I connect my self God remember me
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 22 күн бұрын
mm Mzanzibar kuvunjika muungano Tz. nina wasi wasi kutaanza matatizo mapya kwa sababu wapemba na waunguja hatupendani tunabaguwana leo kuna baadhi ya waunguja wanawambia wapemba mnahama makwenu mnakuja kujenga unguja mnatujazia kisiwa chetu rudini makwenu. Dah hii sio sawa 7bu mtu anaishi popote anapojiskia yote ni nchi moja .Muungano ukivunika tutaanza kuraruana sisi kwa sisi wazanzibar