Moyo Mt. wa Yesu. Asante sana kwa mafundisho mazuri sana ya moyo Mt. wa Yesu. Ninakushukuru sana kwa kueleza kwa ufasaha.. Mungu atusaidie tuweze kuupenda na kuuheshimu moyo mt. wa Yesu daima.
@manyandatimoth76 ай бұрын
What a revelation kuhusu sanduku la agano
@manyandatimoth76 ай бұрын
Amen
@josephmakanta4918 ай бұрын
Asante san kakab yangu Deo Mungu akupe nguvu katik utume wako
@fiacreconsulting12798 ай бұрын
Thank you
@RestitutaNjau-k8x10 ай бұрын
Asante sana Baba kwa mafundisho hayò kuhusu sala ya Rozari,hakika nimeelewa ukuu wa kusali Rozari
Asante kwa mafundisho mazuri kuhusu Chimbuko la ibada kwa Moyo Mtakatifu wa Yesu. Nikiwa mtakaji katika Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu, nilitamani nukuu za Neno la Mungu zingesomwa kutoka katika Biblia ya kibtabu badala ya simu. Napendekeza hili kwa unyenyekevu, nikitambua urahisi wa matumizi ya mtandao, lakini Biblia ya kitabu bado ina hadhi kubwa zaidi machoni mwa waamini wengi. Nategemea kujifunza mengi zaidi. Utume mwema.
@charleskibasa4992 Жыл бұрын
Amina. Katika kunakili taarifa (au takwimu) uwezekano wa kosa la kunakili upo, hivyo ni vema kusoma makala zilizohakikiwa mfano kitabu cha Biblia. Naunga mkono mchango wako.
@catholicmusicianorganisati7353 Жыл бұрын
Afande wangu
@patrickkajala345 Жыл бұрын
Please
@patrickkajala345 Жыл бұрын
Naomba number ya huyu baba nataka nitoe sadaka kwake
@SYCILIAEKESA-uc1pw Жыл бұрын
Amina Amina asante kwa mafundisho mazuri Mwenyezi Mungu akubariki
@henerycosango-cm9pz Жыл бұрын
Naomba unitofautishie kati ya malaika na roho mtakatifu
@henerycosango-cm9pz Жыл бұрын
Tafadhali baba naomba unisaidie nielewe vyema kuelewa malaika wangu
@manyakuulaompondelo4419 Жыл бұрын
Safi sana. Ubarikiwe ubarikiwe ubarikiwe.
@FiacreConsulting Жыл бұрын
Asante sana kwa maelezo haya. Mungu akubariki.
@FiacreConsulting Жыл бұрын
Thank you, Padre. May this message spread widely to all people
@rwelamilaemmanuel-sv6bt Жыл бұрын
Mnaujuwa
@veronicamakanta5182 Жыл бұрын
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri wa ushindi wa Ufufuko wa Yesu Kristu
@johnchale1073 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@jojigeorige1056 Жыл бұрын
Why church was tiled in checkers?
@dorotheamoris18802 жыл бұрын
Asante baba
@odethatheodory2 жыл бұрын
Pongezi ziwafikue wanakwaya wote Kwa huinjilishaji mzuri
@novatusdonald74062 жыл бұрын
Vema sana mwalim
@novatusdonald74062 жыл бұрын
Haipingwi
@novatusdonald74062 жыл бұрын
Haipingwi kaka
@mariathomas46982 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@shapukivivantv43752 жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏
@josephmusagasa55662 жыл бұрын
Mmepoteza wengi sana ninyi watu. Yesu Kristo alisema "wewe ndiye petro" na petro hakuwa papa. Na kanisa la Mungu halikujengwa juu ya papa yeyote na papa kwenye Biblia neno hilo halimo. Hivi mafundisho yenu mnayatoa wapi?
@josephmusagasa55662 жыл бұрын
Yesu Kristo hakuwahi kufundisha kuhusu toharani. Je,ninyi umetoa wapi hiyo toharani?
@josephmusagasa55662 жыл бұрын
Kanisa katoliki halijaanzishwa na Yesu Kristo. Tuambie kwa reference ya vifungu vya Biblia. Ni wapi pameandikwa kanisa katoliki?
@mwamkibemwamkibe56482 жыл бұрын
Thank you Fr God bless you
@ntegrity2772 жыл бұрын
Huo wimbo unatakiwa upigwe taratibu sio kwa speed hiyo! Kumbuka hiyo Ni sala!
@adellamrina54232 жыл бұрын
Fantastic
@marierobert422 жыл бұрын
Barikiwa saana
@musichealsTz2 жыл бұрын
Mallya fundi sana
@beatusidama62332 жыл бұрын
Asanteni kwa muiziki mzuri. Mtiribu hongera kwa ubingwa na composure. Uko ngazi ya juu sana.
@ponsianamataka46072 жыл бұрын
Asante sana kwa kuiinjilisha dunia somo hili zuri. Ubarikiwe. Kwa Imani yangu naamini umepata rehema kwa kuwa tendo hili ni jema. Mungu atukuzwe.
@mariamfritsi49432 жыл бұрын
Nimefurahi kupata simulizi hii ya kumhusu malaika Michael. 20.03.22.