Пікірлер
@mosesmagilali3118
@mosesmagilali3118 Күн бұрын
Habari hii ingekuwa kwa kiingereza comments zingepungua sana.
@mosesmagilali3118
@mosesmagilali3118 Күн бұрын
Sayansi ingefundishwa kwa kiswahili ingeeleweka vizuri na tungepata watu wabunifu kwa kiingereza watu wanakariri tu. Kazi nzuri hongera sana.
@AmanduceFesto-nb6kh
@AmanduceFesto-nb6kh 3 күн бұрын
Elimu nzur saan
@ELIMBOTOREUBEN-sv5qm
@ELIMBOTOREUBEN-sv5qm 3 күн бұрын
Kazi nzuri sana kwa kutusaidia kupata maarifa mbalimbali 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹👍👍👍对对对
@musakyakuse4713
@musakyakuse4713 6 күн бұрын
Kubali sana umenielimisha sana,thanks a lot
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 13 күн бұрын
je kipindi Umeme unapokatikaga halafu baada ya nusu saa unawaka je hii nayo huwa ni Umeme unapotea njiani unaposafirishwa?
@josephatkashendwa1177
@josephatkashendwa1177 13 күн бұрын
Kwanini kuwepo vifaa vya kutumika na Umeme wa kuzalishwa na solar ambapo pia vifaa vya Umeme wa kawaida huwa havitumiki kwenye chanzo cha Umeme wa solar?
@PaulFrank-lw2jt
@PaulFrank-lw2jt 14 күн бұрын
Gud job
@FrederickDickson-c6r
@FrederickDickson-c6r 15 күн бұрын
Yap nimepata makosept hatal sana I'm in my way to create my plane ✈
@DeodatusRenatus
@DeodatusRenatus 16 күн бұрын
Kwa elimu hii nnatan kuanza kufanya tafit ya vifaa vya kupaa angan , soon ntazindua kitu kinachopaa angan sio lazma iwe ndege
@YusuphShabani-wk5bv
@YusuphShabani-wk5bv 16 күн бұрын
nimejifunza vingi sana ambavyo nilikuwa sijui asante sana kaka
@DanielAloni-c6x
@DanielAloni-c6x 16 күн бұрын
Nawakubali sana
@ranocomplex6035
@ranocomplex6035 17 күн бұрын
But sorry upthrust is not a fundamental force
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 17 күн бұрын
Yes, that's correct. Upthrust, or buoyant force, is not considered a fundamental force like gravity, electromagnetism, or the nuclear forces. Instead, it arises from the pressure differences in a fluid acting on an object submerged in it, as described by Archimedes' principle. It depends on the density of the fluid and the volume of the object submerged, rather than being a fundamental interaction.
@richytarimo4656
@richytarimo4656 18 күн бұрын
mbona feidge langu halina fan ndan
@FahadSlim
@FahadSlim 19 күн бұрын
Naomba elimu inakuaje mpaka unacheza game mfano mpira reaction ya kuwchezesha wachezaji na wanafany unavyotaka
@rafoursamiol5244
@rafoursamiol5244 19 күн бұрын
Bless sana kka
@raiszongo4136
@raiszongo4136 19 күн бұрын
Waoh safi sana ila unachelewa sana mzee yaani mpaka tunasahau science tech , angalau Kila wiki uachie kitu
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 19 күн бұрын
Tunashukur kwa wazo zuri
@nurdinsafe4441
@nurdinsafe4441 20 күн бұрын
Lakini umesahau kifaa kinaitwa capillary tube ambacho hutumika kuipelekea baridi evarporator na pia kifaa kingine kinaitwa filter drier ambacho hutumika kuchuja gas..
@moodjeco5844
@moodjeco5844 20 күн бұрын
dah upo vizuri
@phomanizoalphonce7649
@phomanizoalphonce7649 20 күн бұрын
Jaribu kumuelewesha vizri mteja na sio kumpotosha kiasi hiki 😅
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 20 күн бұрын
Dah tulimiss sana maujanja kutoka channel yetu hii bora mmerudi hewani❤
@bekamicky1071
@bekamicky1071 20 күн бұрын
gd
@andersonjohn255
@andersonjohn255 20 күн бұрын
Nice explanation bro keep it up🔥🔥
@SafelinaZakayo
@SafelinaZakayo 21 күн бұрын
Mimi nataka nijue kama hewa ya nje ndo inayopoza hiyo gas...inawezekanaje? Kwa sababu baridi la nje ni dogo sizani kama litaifanya hiyo hewa ifike hata negative something
@andersonjohn255
@andersonjohn255 20 күн бұрын
Hapana hewa ya nje haitoshi kupooza hiyo gas, gas ikishatoka kwenye condenser amabapo kwa wakati huo inakua in vapor-liquid state (hali ya kimiminika) inapita kwenye kifaa kinaitwa throttling device kina rangi ya shaba (angalia nyuma ya fridge utakiona) kazi yake sasa ndo kupunguza zaidi pressure na temperature ya refrigerant then ndo inaingia ndani ya fridge kwenye evaporator So hewa ya nje ni kweli inapunguza joto lakin kwa kusaidiwa na hicho kifaa
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 20 күн бұрын
Imeisha io ​@@andersonjohn255
@Perfect_side_tz
@Perfect_side_tz 20 күн бұрын
@andersonjohn255 vizur kwa mchango wako, "kipande hicho tulikelezea lakin baada ya video kuwepo mtandaon kika claim kwaiyo tulikifuta ili video iwe safe ila kwenye video imeonekana kama picha""
@richytarimo4656
@richytarimo4656 18 күн бұрын
hyo gas ni barid in nature
@SafelinaZakayo
@SafelinaZakayo 15 күн бұрын
​@@andersonjohn255ooh sawa brother🙏
@plampmoney6764
@plampmoney6764 21 күн бұрын
good
@Userminamka
@Userminamka 21 күн бұрын
Very good 🎉
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 21 күн бұрын
Great job ndugu 💪💪💪
@PerfectSidetz
@PerfectSidetz 21 күн бұрын
TUNAOMBA RADHI KWA KUTOPATIKANA KWA MUDA
@ndiiyolazaro1125
@ndiiyolazaro1125 21 күн бұрын
Ucjli ndugu yangu, naomba utuletee habari ya nyurkilia bomu la nyurkilia inatengeneswaje na wanatumia Nini kutengeneza🙏🙏
@SantaDelacruz-ls6cs
@SantaDelacruz-ls6cs 20 күн бұрын
Msijali. Ila muwe mnapost sana msikae muda mrf😢
@evansogutu4167
@evansogutu4167 20 күн бұрын
Your apology has been accepted
@kandvisuals
@kandvisuals 20 күн бұрын
Daah kweli Mumepowa ila Nisiwalahumu
@tamimusoftware
@tamimusoftware 17 күн бұрын
Sawa kaka
@BruceFredrick
@BruceFredrick 22 күн бұрын
Well-done
@BruceFredrick
@BruceFredrick 22 күн бұрын
Welldone,I'm your follower from U.S.A
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 24 күн бұрын
Safi sana kwa elimu nzuri na maelezo rafiki sana hata kwa mtu ambae hajasoma physics
@edisonmaliva1719
@edisonmaliva1719 24 күн бұрын
Safi sana kwa elimu
@PhilipoChidawali
@PhilipoChidawali 25 күн бұрын
Nikawaid kwa wabongo kugundua historia za wenzetu ila sisi kugundua vyetu uongo
@NesiMtela
@NesiMtela 26 күн бұрын
Amogopi
@RashidMgobo
@RashidMgobo 27 күн бұрын
Kuhusu kupaa ndege, kupiga kona. Kukaa hewani, nilikuwa sielewi kabisaaa, nilikuwa najiuliza sipati jibu, kiukweli, Ofisini kwangu ni karibu kabisa na uwanja wa Ndege, basi nikiona ndege inaruka, nilikuwa nikishangaa sana tena. Sana Kwa leo nimepata Elim kubwa sana. Ninamiaka zaidi 50 niliwa sijui chochote, hata kuuliza nilikuwa sitaki. Ila umetisha.
@EDDIEBashange
@EDDIEBashange Ай бұрын
Kwakweli umechambua vizuri tu lkn kitu kimoja umeniacha njia panda kwenye helicopter sawa umeleza inavyo kwenda juu na kushuka chini, pia na ukataji kona suti sasa inakwendaje mbele hapo ulipasahau kidogo hebu nitoe ushamba ndugu yangu 😂
@JoelEmmanuel-c1q
@JoelEmmanuel-c1q Ай бұрын
😢😢
@ValentineDavid-g4j
@ValentineDavid-g4j Ай бұрын
Kingine cha ziada
@shebbyclassic738
@shebbyclassic738 Ай бұрын
To be honest broo unaelekeza vizuri kinoma na kwa namna unavyochanga na video ni unaeleweka sawasawa😅
@Ashirkond
@Ashirkond Ай бұрын
Ufafanuzi umekaa poa sana 💯
@Ashirkond
@Ashirkond Ай бұрын
Ufafanuzi umekaa poa sana 💯
@Ashirkond
@Ashirkond Ай бұрын
Ufafanuzi umekaa poa sana💯
@akimsoso7148
@akimsoso7148 Ай бұрын
From Rwanda TU napenda
@kennedyzziwa4959
@kennedyzziwa4959 Ай бұрын
Majirani WaTanganyika nyinyi ni washamba sana, huku Kenya🇰🇪🇰🇪 tunajufunza hizi vitu tukiwa chekechea hadi darasa la tatu😅😅😅😅😅
@pascaljr.5439
@pascaljr.5439 Ай бұрын
Unajua kuelezea vizuri.Asante sana
@cyperatucmsuguly
@cyperatucmsuguly Ай бұрын
Unajuaaa sana❤❤❤
@NgelejaCharles-ng7bh
@NgelejaCharles-ng7bh Ай бұрын
Safina sana,nimejifunza vingi.
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Umeonaje utamu wa qur'an
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Ай бұрын
Allah akubariki