Nakushauru Boss nimepata LINUS GOZIBERT hapa imenibidi nirudi kukoment , kwa wale wenye hofu ....🎉
@__x31852 ай бұрын
هل قريب يبدأ صعود موجة ندفعيه
@carolinenjeri5992 ай бұрын
Powerful Analysis. Thank you
@ASAMForex2 ай бұрын
Thank you for the feedback.
@adiraemilee2 ай бұрын
TQ for your clear explaination 💙💙💙
@ASAMForex2 ай бұрын
Appreciated
@divatalminitaiang35622 ай бұрын
thank
@carolinenjeri5993 ай бұрын
Great work as always keep up. Comprehensive and precise.
@ASAMForex3 ай бұрын
You are welcome.
@musabenard41173 ай бұрын
huyu broker unatrade soko zipi za forex na je! unaruhusiwa kuingia Mt5 na Mt4 kutumia huyu broker
@ASAMForex3 ай бұрын
Masoko yote unayoyajua yanapatikana, pia unawezakutumia mt4, mt5 au C-Trader.
@carolinenjeri5993 ай бұрын
Great analysis, Thank you for mentioning the levels by figures.
@ASAMForex3 ай бұрын
You are welcome. Levels mentioned in the previous week analysis were powerful, let’s see this week.
@egtechnology8283 ай бұрын
Imekaa vizuri mkuu. Je hii software ni free?
@ASAMForex3 ай бұрын
Ukiingia kwenye website ya hii software utaona gharama zake. Lakini unaweza kuipata kwetu kwa bei pungufu ya hizo zilizopo hapo.
@carolinenjeri5993 ай бұрын
Excellent analysis.
@ASAMForex3 ай бұрын
You are welcome. Let us see the market reactions from tomorrow.
@user-fz1wk6fm8u3 ай бұрын
God bless you more 💯 💸
@mwanatz17254 ай бұрын
Good analysis
@carolinenjeri5994 ай бұрын
Great analysis Kindly mention the levels in figures as your move along.
@ASAMForex4 ай бұрын
Ouk, I will be doing so.
@bellenine9-me5dr4 ай бұрын
mkuu na waswahili wenzio usitasahau banaa maana hii lugha ni hatari
@cactuscarter-le2ld4 ай бұрын
As long ni kitu unachopenda usiache kaka Unajua
@cactuscarter-le2ld4 ай бұрын
Keep ur talent Usiache kaka
@cactuscarter-le2ld4 ай бұрын
Nice bro
@carolinenjeri5994 ай бұрын
Your forecast and precise and on point.
@ASAMForex4 ай бұрын
Great👍
@carolinenjeri5995 ай бұрын
Your analysis is on point. Thanks
@rettred81525 ай бұрын
very nice thank you
@emmanuelluela96325 ай бұрын
Thank you for your analysis
@Dr.hansbeth6 ай бұрын
Sir , unatumia most Elliott theory?
@ASAMForex6 ай бұрын
Ya!
@asifhkin6 ай бұрын
Excellent of your technical analysis
@fadhilimwakaje1546 ай бұрын
Dah natamani hata ni like mara mbili kaka
@fadhilimwakaje1546 ай бұрын
Blaza unafundisha vizuri sana hongera
@henrykalalambili47816 ай бұрын
Good analysis bro👏👏
@Dr.hansbeth7 ай бұрын
Hello, 👋
@Dr.hansbeth7 ай бұрын
Sorry Sir, naweza pata namba yako au ndio ileile ya kwenye vitabu (Bios)
@MedaMalecha-im6ry8 ай бұрын
🎉🎉❤
@aug15raj8 ай бұрын
Beautiful...
@mathgrade38708 ай бұрын
❤
@ASAMForex8 ай бұрын
Hi Traders Naomba niweke sawa kidogo hapo; unaweza kuanza trading ukiwa na mtaji wowote lakini kiasi utakachoweza kutengeneza kama faida kinategemeana na mtaji uliowekeza. Yaani ukiwa na mtaji kidogo basi tegemea faida yako kua ndogo pia. Ni sawa na biashara nyingine zote, huwezi fungua genge la mboga na matunda halafu utegemee kupata faida sawa na mtu aliefungua duka kubwa kama supermarket. Hivyo basi, hutaweza kutaka kupata faida sawa na mtu mwenye Forex akaunti ya dola 1,000 wakati wewe una akaunti ya dola 50. Hapo sasa itakuhitaji kufanya mahesabu sahihi kujua unatakiwa kutegemea faida kiasi gani kulingana na huo mtaji uliowekeza. Hapo ndipo maarifa sahihi ya Forex yanapohitajika. Sasa changamoto tunayokua nayo ni kwamba tunawekeza mitaji midogo huku tukitegemea faida kubwa, hii inapelekea kua na malengo yasiyo na uhalisia/yasiyo ya kweli (unrealistic goals). Haya ni malengo ambayo hutaweza kuyafikia, ndipo mtu atakapoanza kusema Forex sio biashara halali (scam). Ikiwa hivyo basi biashara nyingi zitakua sio halali kwasabu kila biashara ukikosea mbinu zake lazima isifanikiwe. Wapo watu watakao weza kuwekeza mtaji mdogo na kukuza kwa mda mfupi sana, lakini hii itategemeana na maarifa aliyonayo mtu huyo pamoja na hali ya soko kwa kipindi hicho kua nzuri (good market condition). Lakini wengi wao huwa wanashindwa kuendelea na mitaji midogo kwa mda mrefu (lack of consistent results) kwasabu anakua anatafuta faida isiyokua na uhalisia kulingana na huo mtaji aliowekeza.
@nemesjosaphat77718 ай бұрын
Uko Dar, naweza pata mawasiliano yako?
@FatmaLaurent-ik3or8 ай бұрын
Hii mbn ngumu kumeza leo
@augustinereonard-ij9fz8 ай бұрын
Na ww Huwa unafanya hivo kwel maana sjakuelewa 😂😂😂😂😂 SI Bora ata mfanyakazi wa ndani maana huwezi Kaa mwezi mzma et namna hiyo
@FatmaLaurent-ik3or8 ай бұрын
Hii Leo ningumu kumeza
@MedaMalecha-im6ry8 ай бұрын
Thanks brother
@AffectionateCosmos-pj4xn8 ай бұрын
❤
@MedaMalecha-im6ry8 ай бұрын
Thanks brother for that God bless you bro
@MedaMalecha-im6ry9 ай бұрын
Thanks you bro
@youssefbouyrakhen39959 ай бұрын
Thanks alot
@ElexcelShinningstars9 ай бұрын
Thank you for the analysis
@mosesdavid-vm5hk10 ай бұрын
nakupata vipinahitaji kwa mawasiliano zaidi nikutafute wap kk
@mosesdavid-vm5hk10 ай бұрын
UPATIKANI KK IZO NAMBA ULIZOWEKA
@BarakaMgesi-gm1cq10 ай бұрын
Naomba no; zako
@medadimalecha10 ай бұрын
Brother Big up sana
@medadimalecha10 ай бұрын
Thanks bro
@medadimalecha10 ай бұрын
Thanks you
@user-fj3vl2sh3c10 ай бұрын
Thanks
@CAPTAIN_ABDULLATIF2211 ай бұрын
mambo vp broo hii app unayotumia kuchambua inaitwa vp
@ASAMForex11 ай бұрын
Wave basis
@mbenyaMwongola-cg9pl11 ай бұрын
how can i contact you
@ASAMForex11 ай бұрын
Links to social media are in a video description, then DM