Mashaallah Allah Allah amlaze. Pema kwenye wema amsame madhambi zake amuweke jannatul firdaus ampe kaul thabit allahuma ameen
@SalodInterprenure10 күн бұрын
Mshairi maarufu afrika mashariki
@madamehatibu932411 күн бұрын
Huu ni upuuzi mimi kiukweli nisingefikisha kwa shekh hapo ni kumuua mume kufata mama maisha yaendelee
@aeromedaaviation183717 күн бұрын
Acha ujinga na upumbavu we binti, Mambo mengine ni ya kuyafumbia macha. Aliyefanya hivyo ni mama yako; Je angekuwa mtu baki, We endelea kuishi na mumeo. Muache mama na ujinga na upumbavu wake,.Mtu kama huyo mimi namwita mjinga na mpumbavu na limbukeni piya
@Kingstonbagamoyo20 күн бұрын
Allah amlaze pema peponi inshallah
@AZIZAALWI22 күн бұрын
❤
@maboyiamurani331Ай бұрын
Twaomba wimbo Mama warafiki zangu mama ameiaga dunia mama pole
@HadijaKibwana-i9uАй бұрын
Viumbe ndio yao
@abdirizakhassan-s6dАй бұрын
Kweli kabisa professa juma
@OmariAbdullahi-i8sАй бұрын
Kiufupi hii sio ya kuamini sana, kwasababu sheikh huyu sio wa kuzingatiwa katika dini, hii inaweza kua maigizo ili kuufedhehesha uisilam na waisilam, kwasaba uisilamu umeharamisha kuanika makosa ya mtu hadharani, kama kuyaanika mtandaoni kama hivi. Sasa kama sheikh huyu ameisoma dini yake kwa lengo la kuipeleka dini ya Allah mbele asingeianika mtandaon hivi, Kwan hivi ni kuudhalilisha uisilamu na waisilam. ليس جيد يا إخوان
@ShebeSaid-j2qАй бұрын
Yess sanaa Bro Sasa nataka sana hiyo nyimbo ni capteni hapa Nitaipata vp aki
@ShebeSaid-j2qАй бұрын
Yess sanaa Bro Sasa nataka sana hiyo nyimbo ni capteni hapa Nitaipata vp aki
@fatmatraashidu8522Ай бұрын
😍😍😍😍😍
@MariamAlly-hk7ioАй бұрын
Hamna haya kutangaza maovu hayo
@MariamAlly-hk7ioАй бұрын
Kurusha ktk media hamuoni fedheha Hiyo dhambi mkatubu kwamuumba wetu
@KhadijaSempehoАй бұрын
Jaman nimeumi asa Allah ampe utahmilivu
@abubakarkhamis63422 ай бұрын
Kazi nzuri sana ni vyema na wengine makaiga idea hii Muda mfupi imetangazwa nane imeibua vipaji na kuipaisha wakala wa usajili wa matukio ya Kijamii ❤
@AjullyBassadiq2 ай бұрын
Jamani hi nyimbo yanikumbusha mbali Allah amueke Pema bhalo❤❤
@iraakasubete82872 ай бұрын
Wallah huu ni mtihani mgumu mno.
@naimajeddara86872 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤😊
@SalodInterprenure2 ай бұрын
The golden voice
@naimajeddara86872 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@naimajeddara86872 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@RamazaniBarambona2 ай бұрын
Pendolakwelikiumbe linaadhabasihaba
@barkanassir25282 ай бұрын
❤❤❤ 😂
@SeifAlly-g9i2 ай бұрын
Zilizopendwa Safi. Sana jumabalo
@shabandon22123 ай бұрын
♥️♥️♥️💫💪
@abdallahbakari-xv6iy3 ай бұрын
Nice one grandpa
@AlwySaid3 ай бұрын
Allahu maghfirlahu warahamhu...
@AboudBahero3 ай бұрын
Aslm alaykum bro Plzzz naomba nyimbo ya Bhalo inayosema UKILEGEZA KUKAZA KIFUNDO KITAFUNGUKA...
@munneraabdulaziz76673 ай бұрын
Hapo Cha-cha
@SalodInterprenure3 ай бұрын
Karibu kwetu Chundwa.
@SalodInterprenure3 ай бұрын
Nakumbuka kwetu Amu.
@fatmasabir18373 ай бұрын
Kubali
@mohammedsaleh30513 ай бұрын
Ahmed mbona hii nyimbo haina full yake Allah yarhhamhu mzee wetu Ampe jaanaat old is gold hizi ndio nyimbo mashairi yasisimua wapi watu wa 90s Alhamdulillah Hii nyimbo naipenda kila nkiskiliza natokwa na matozi nliempenda kafa 😢 Hii nyimbo ina ujumbe mzito sana mwaeza pendana na mpenzi wako Lakini watu wakwao wakawa hawataki Moyo Wangu usichoke 😢 maadamu niko hai nami tamaa sikati
@Lailamagombe3 ай бұрын
Nazipenda sana nyimbo hizi❤❤
@BiashaAli-w6o4 ай бұрын
Mashaallah
@fadhilihussein65804 ай бұрын
Innalilah wainailayh rajiun
@fadhilihussein65804 ай бұрын
Pette
@SharifuMalinyingi4 ай бұрын
Mara mwisho spending nyumbn kwake old Mombasa street kula gati beach pitia kwa swahiba mtakia Salam nkaenda home bamburi kiembei mungu akupe mema Al akhiiii
@MussaRasul4 ай бұрын
Enzi hazirudi nyuma
@alijama87804 ай бұрын
Si mashiri wala Kiswahili.. Lugha kali
@FatmaMaalim-u8e4 ай бұрын
jamaniiii nihaki hiiiiii.....emameeeeee hufa imi
@FatmaMaalim-u8e4 ай бұрын
Jamanii hufa mm kwa nyimbo zake huyu😢
@sanybadi84994 ай бұрын
One and only JB
@Store-c4z4 ай бұрын
Nutapata wapi full ya huu wimbo. Maneno kuntu kabisa
@mustafaabdulhafidh32574 ай бұрын
Golden voice of juma bhalo, nilikuwa nasikiliza hii toka nikiwa mdogo
@faridahalil44564 ай бұрын
Old is Gold
@FaizaAli-h7m4 ай бұрын
Lakini ni bora ufute nyimbo zake katika media musizi spread nyimbo zake… tumuombee Maghfira Mzee wetu