GOLI LA CHAMA HILI HAPA
0:52
14 күн бұрын
Пікірлер
@VisentJohn-l4b
@VisentJohn-l4b 2 күн бұрын
Msiwe mnasoma hatua hamchukui
@omaryunuss219
@omaryunuss219 3 күн бұрын
Love 😘 my president 😍
@saidalhinai1131
@saidalhinai1131 4 күн бұрын
Wewe chizi labda tajiri wa kigoma sio Dar wala Tanzania watu wana visima vya mafuta kila saa moja anaingiza kiasi kikubwa ktk mapato na hswajawa no 1 duniani
@user-rm8fd3wh3w
@user-rm8fd3wh3w 4 күн бұрын
Nonsense
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 11 күн бұрын
Tuko pamoja mzee wetu na tutafika insha'Allah
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 11 күн бұрын
Naam!
@user13375
@user13375 11 күн бұрын
Mmeo ni Nani????
@adetolawilliams4639
@adetolawilliams4639 12 күн бұрын
Mmmmmmh kapendeza
@Sharonmwasaru
@Sharonmwasaru 13 күн бұрын
Nandy umetisha kinoma
@richardmalwa3197
@richardmalwa3197 17 күн бұрын
Sasa hao 108 mumewaweka wapi kunavitu vingine tumieni akili kweliunaweza soma badoukawa mjinga
@richardmalwa3197
@richardmalwa3197 17 күн бұрын
Nafulai sana simnajidai amuoni vinavyoendelea nabado kule ngorongoro hamna anayetumika viongozi mumelala sana
@bobaiddi9599
@bobaiddi9599 18 күн бұрын
Hongera sana👊
@thewellministry9008
@thewellministry9008 25 күн бұрын
Watu wazima Kuchapwa ni mbaya sana jamani !Lakini Najua ni shetani yuko kazini kuvuruga Amani yetu! Ila Mungu Wetu hata Acha mikono Yao ifikie matakwa Yao !!mith 5:9-15
@BandoMC
@BandoMC Ай бұрын
📝
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
Mwalimu wangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba huko muendako katika utumishi wa umma kutakua na kundi kubwa la waajiriwa wengi badala ya watumishi wa umma.Muda huo sikumuelewa lakini sasa nimemuelewa
@zachariaaweda6166
@zachariaaweda6166 Ай бұрын
Hongera sana waziri mkuu wetu
@lukemelyemwenga2910
@lukemelyemwenga2910 Ай бұрын
Mh Anafanya kazi kwa uaminifu mkubwa barikiwa sanaaa
@lukemelyemwenga2910
@lukemelyemwenga2910 Ай бұрын
😂😂😂
@samsifuni
@samsifuni Ай бұрын
Zabibu za Dodoma
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
Yan huyu Msigwa hata nikimkuta njian nitakimbia,mbona ww unamtus mbowe
@DavidJoel-t1v
@DavidJoel-t1v Ай бұрын
Maajabu ya Dunia,
@makamekhamis2777
@makamekhamis2777 Ай бұрын
Nimeipenda hii
@UmutoniFildaus-vz4vk
@UmutoniFildaus-vz4vk Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@TanzaniayangumwambawaoMwam
@TanzaniayangumwambawaoMwam Ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿😢😢😢😮😮😮
@petience1366
@petience1366 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@FFaith-hc2sg
@FFaith-hc2sg 2 ай бұрын
Aye
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 2 ай бұрын
bangi haijawahi muacha mtu salama😂😂😂😂😂❤❤
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 ай бұрын
Hakuna hata miti ya vivuli yaani upigaji wa kiwango ! Na hakuna mpigaji anayechukuliwa hatua..
@subiramwaka9792
@subiramwaka9792 2 ай бұрын
Mama pia tunaomba uliangalie swala hili kwa mfano muwekezaji ana nunua ardhi bila rimit ambapo inakuwa anamiliki vijiji hata vitano sita zaidi ya ekari elfu 10 inakujwaje swala hilo inamaanisha mwisho wa siku wachache wataimili nchi na wenyeji wakae kwenye kakona kwa sababu hawawezi kushindana na muwekezaji mwenye mihela. Je hakuna utaratibu wa kuwa na limitations of buying.
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 2 ай бұрын
Mama Samia Nakupongeza sana lkn huna watu kwa kweli mtihani Tunakuomba Waziri fukuza RTA kakoo waachie watu Wafanya biashara huria huo ni ushamba unamuuliza mteja risiti Dubai hakuna huo Ujinga Bali kuna system Mfanyabiashara kalipa kodi it’s enough kama huna vision nione mm nikupe mchongo
@johanakariuki2856
@johanakariuki2856 2 ай бұрын
😅😅
@KiriaKipara
@KiriaKipara 2 ай бұрын
Hapo umenena mama wazao ndo watakiwa biashara yao ya ndani
@allymusira2153
@allymusira2153 2 ай бұрын
Safiiiii sana
@user-ms3pc5tg5e
@user-ms3pc5tg5e 2 ай бұрын
How this did happen?
@johnwanjau8038
@johnwanjau8038 2 ай бұрын
😂😂😂 boss angalia utaona nichakutumia😂😂😂
@Rajabumayue
@Rajabumayue 2 ай бұрын
❤❤🎉😂duuu poleni kwa matatizo 😢🎉😢😂😢😂😢
@user-gr5oj1qk3t
@user-gr5oj1qk3t 2 ай бұрын
👍
@josemarciomorais3330
@josemarciomorais3330 2 ай бұрын
Trabalhei por 10 anos em transporte de valores ! A calma neste momento faz diferença!
@mercyeffiong6822
@mercyeffiong6822 2 ай бұрын
Beautiful couple. ❤❤❤❤
@josekinyamagoa-sv4jh
@josekinyamagoa-sv4jh 2 ай бұрын
Mungeweka saut tmusikie alikua anasemaje
@pietro8956
@pietro8956 2 ай бұрын
This People need again 🐫
@Patrick-gx4vx
@Patrick-gx4vx 2 ай бұрын
Faut le faire 😊😊😊
@gabrieljuma1459
@gabrieljuma1459 2 ай бұрын
Msukuma na wewe ni bendera fuata upepo
@AnyanwuWinifred-wm7xx
@AnyanwuWinifred-wm7xx 2 ай бұрын
Is the way he is listening to instructions for me 😍
@mercyeffiong6822
@mercyeffiong6822 2 ай бұрын
Exactly. He doesn't want any mistakes.😂😂😂😂
@DamarisDuuTausi
@DamarisDuuTausi 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 ай бұрын
asanteni sana wabunge kwa hoja zenu tatueni shida zao wakulima Awana watetezi sasaimekua ningumu wao kujikimu kimaisha je nauliza nikwanini tuuziwe vitambusho sisi Wana arumeru 2500
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 2 ай бұрын
Nawaambiaga kwamba ACT- ni CCM B Huyu jamaa hua anasema yeye ni mzanzibar Sasa. Ya bongo yanamuhusu nn
@IbrahimKasambala-ts8re
@IbrahimKasambala-ts8re 2 ай бұрын
Mheshimiwa mpina nenda chadema kajiunge nawapiganaji we zako huko hakukufai kabisa pia njoo Rungwe mbeya tukupe u bunge
@ramadhankavisille7482
@ramadhankavisille7482 2 ай бұрын
Dah 😢😢😢😢 zunguuuuuu
@GabrielMwakasege-sx9wv
@GabrielMwakasege-sx9wv 2 ай бұрын
Dada upo vizuri