Duh!! Ukweli wimbo huu wote walioshiriki kuiandaa kazi hii naona Kila mmoja anauwezo mkubwa na ubunifu wa Hali ya juu mno
@RichardLaizer-t8tАй бұрын
kama unaiskiliza hii 2025 gonga like hapa
@SindarubazaCherejiyoАй бұрын
Sio ile miziki unachukua unaweka waaa😅😅😅 sikiliza muziki wenye maneno makali mzika ambao unashauri jamii lakini miziki ya leo imekuwa ya mashetani tupu mizike sawa ilikuwa mishonari toka zamani lakini kuna watu ambao walikuwa wana heshima yao wanaimba muziki yaani kila mwanadamu akisikia bwana eh huyu mtu ameimba wewe mwenyewe una yaani huyu mwenyewe unasema eh huyu mtu kweli nikaimba kweli ushauri wa amani kabisa kama 20 percent kama na yeye anavyoimba
@SindarubazaCherejiyoАй бұрын
😂😂😂😂 miziki ya kitambo ilikuwa miziki ya kueleweka mtu anaimba muziki eh unaskia ameimba kabisa yaani hauwezi kung'ang'ania kuimba miziki ambayo haieleweki hata kidogo ushaona bwana eh sio ile mizika ambaye unachukua una weka wa aaa 😂😂😂😂
@ZolufaMas-ie4un2 ай бұрын
Ngoma iko na madili mazur 😢
@edryuwera-hk7xt2 ай бұрын
Niliutafuta sana huwu wimbo mda mrefu
@theofficial.takiida_9312 ай бұрын
Afande Selemani🫡🪖🔥🔥.. Bongo Flava Rap Era🇹🇿
@AbdulrazaqMahembe2 ай бұрын
Moto
@EnockChristopher-p7f3 ай бұрын
Goopd song
@PhilipoRaban3 ай бұрын
❤2024
@Joslinkkenya3 ай бұрын
I love this song sana ❤
@MasumbukoMacho3 ай бұрын
2024 Bado nasikiliza kama upo kama mm unaisikiliza gonga like hapo
@JumaJaguar3 ай бұрын
Tunaongalia 2024 twende kaz
@chriskoech49933 ай бұрын
2024 and still my favorite song
@Safaripeter-y6k4 ай бұрын
Wanangu awo enzi zetu izo
@mutumbaroni75464 ай бұрын
P funk is not human !!! Like Dr dre
@mutumbaroni75464 ай бұрын
The Holy Trinity of Bongo Flava killed it, only juma nature missed this track
@boniphace14 ай бұрын
Katiba ya Bongo Flava
@hekimalufulani16894 ай бұрын
Hii ndiyo ilikuwa Bongo flavour ya kweli yenye ujumbe
@mutumbaroni75464 ай бұрын
Greatestcof all time
@shwahibumassawe25554 ай бұрын
3 pillars killed it....2024 still so hot
@RaiderTube4 ай бұрын
Enzi za Rivalry mabaga fresh na gangwe mobb
@rahimsadru-ct4ot5 ай бұрын
Ngoma kali kinoma
@enockmrangu29435 ай бұрын
Professarjay
@SaidNimubona5 ай бұрын
Kitu kikali xana mpewe yenu maua
@emanuelelias20825 ай бұрын
Jinsi solo thang alivyo flow humo ndan hakuna mfano
@KesslyTravelZanzibar5 ай бұрын
Dah leo kafika pita zagu huku chamaz nikaona mmoja wao anaumwa yani kaugua uchiz na nikauliza na mwenzie pia chiz nilivyo shida nn shida ni mali kaka yao ndio chazo mmoja yupo chamanz kwa akida maeone hayo
@nashonwilson20756 ай бұрын
Doooo
@micahco68066 ай бұрын
One of the best vocalists out of TZ. At par with Kiba, Ray C and Jay D
@uswizinyanginywa24986 ай бұрын
Ngoma kali yenye ujumbe mzuri sana hadi sasa bado ujumbe wake haujatatuliwa na wahuska.
@EmmanuelWilly-f8n6 ай бұрын
Ngoma kali sanaaa
@dicksonlukanga14277 ай бұрын
Salu T hii ngoma naipenda sana. ❤❤❤❤❤
@saidizuberiissa72867 ай бұрын
22/5/2025
@naimamwambe16057 ай бұрын
Mashallah Mziki ulipo kuwa na ujumbe sio Leo matusi viva Q chif Viva kabila waimbaji hawajarogwa ulikuwa na nyimbo