NAITWA THOMAS JEREMIAH MOLLEL, MIMI NILINUNUA VIPANDE MWAKA 2005 WAKATI MFUKO UNAANZISHWA, NILIKUWA NAPATA TAARIFA ZA MFUKO WAKATI FULANI ILA IMEFIKIA WAKATI SIPATI TENA TAARIFA YEYOTE, JE VIPANDE VYANGU BADO VIKO SALAMA? JE NIKITAKA KUJUA BALANCE YANGU NIFANYEJE?
@jakalajuma162517 күн бұрын
Sound track iko juu sana
@dr.fredyfelician461017 күн бұрын
Hujaongelea jikimu fund
@Miss_Kaaya22 күн бұрын
Woow❤❤
@Miss_Kaaya22 күн бұрын
Unafundisha vizur
@dativachuwaАй бұрын
Asante sana sana kwa masomo Mazuri
@BensonElezaryАй бұрын
Nataka kuweka hisa nahitaji ushauri
@susanswai8929Ай бұрын
Kama muda umeshaisha wakuplam nataka kuongeza activity nyingine ambazo haziko kwenye mfumo nafanyaje mtaalamu
@retiresmart_tzАй бұрын
@@susanswai8929 nenda kwenye module ya update ndio ukaongezee hapo
@BlacksonIsmael-m8u2 ай бұрын
Kama ukiweka laki Moja faida Yako ni ipi
@neophitalukiringi82602 ай бұрын
Huo mziki unafanya maelezo hayasikiki vizuri
@HappyKamugisha2 ай бұрын
Mbona salio halipo kama nilivoweka jaman
@witnesskyando3 ай бұрын
Shukran sana 🙏🙏
@RobertMwakyusa3 ай бұрын
MIMI NILIWEKEZA VIPANDE KATIKA MFUKO WA UMAJA MWAKA 2005,NA NILIPEWA CHETI LKN IMEPOTEA JE NAWEZA PATAJE HIVYO VIPANDE, AU NIFANYENYE ILINIWEZE CHETI KINGINE
@floramelikioly4085 ай бұрын
🎉
@tadeimuywanga40005 ай бұрын
Darasa zuri Bro
@THOMASSAIMALYE5 ай бұрын
Mimi ni mwanafunzi wa elimu ya juu, naomba kuuliza je mfuko upi utanifaa kati ya mfuko wa jikimu na mfuko wa umoja?