Пікірлер
@WillfredyMollel
@WillfredyMollel 7 сағат бұрын
Manula bado.an watu.ndani.ya simba
@ReylaSele
@ReylaSele Күн бұрын
Awa wasenge nini kwanini masiende kutafuta wachezaji mnakokujua nyinyi kila siku wachezaji wetu mnawatolea macho nyie yanga bakini na vizee vyenu mbwa nyinyi acheni shobo
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba Күн бұрын
Hakuna hoja hapo nyie kolo chezeni mpira acheni porojo.
@janetybubegwa5272
@janetybubegwa5272 4 күн бұрын
Wamechelewa
@hawambeho9984
@hawambeho9984 4 күн бұрын
Wanasemaga hivyo hivyo baadae wanawachukua utoporooooo hovyooooo
@nyalufuomanning5649
@nyalufuomanning5649 5 күн бұрын
Nyie yanga ndo mmezoea kutumia uchawi kwahyo msianze kujihami hapa
@TiandaSaningo
@TiandaSaningo 5 күн бұрын
Mahamed husen endelea na kazi kwenye timu yetu wa nguvu Moja
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 5 күн бұрын
ACHENI UJINGA TAFTENI WACHEZAJI WENGINE
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 7 күн бұрын
Hapo Sasa ,,tatizo uto wanafanya kazi kubwa sana kuishusha simba,,, wao walimwita mwanamke iweje leo wanamtaka?
@ValentinLuísMualabo
@ValentinLuísMualabo 7 күн бұрын
❤❤Pana Mtu apo anaitwa Jean c Auhua 10, Atari Sana
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c 4 күн бұрын
Baba hmna mt hapo Deborah yes ila ahuo hmna jambo mule
@AshaNchira
@AshaNchira 7 күн бұрын
Kazi Yao watafuniwe Kisha wameze
@davidwatson6821
@davidwatson6821 8 күн бұрын
Kwanza walimdharau kutokana jina lake, hata Ateba walisema kuwa siyo mchezaji mzuri leo wanamuhofia, tunawaambia wakae kwa kutulia
@DavidSemu-gu6wp
@DavidSemu-gu6wp 8 күн бұрын
Watu wa mchekea hao watafuniwe wao wameze tu, jamaa ubahili,. Hersi alikuwa na kabajeti kake akaenda Congo na alivyo mchukua chama bajeti imekata, sasa hivi hata nauli ya kumfikisha kigoma mpakani akutane na mchezaj yeyote toka congoi hana, wanaumia wanavyoona Simba wakiziba matundu sio kama hawapendi,ni ulofa umewazingira, sikiliza usajiri dirisha dogo watakapo Anza kudaiwa na wachezaji Hadi FIFA.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 күн бұрын
MNABISHA NN? NA KWA CHAMA MLIMSONGA HADI AKAHAMA TIMU ACHENI KUWASUMBUA WACHEZAJI WA SIMB
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 8 күн бұрын
Sasa na nyie Viongozi wa Yanga hamjaona wachezaji.sehemu nyingine hadi kuwafuatilia wachezaji wa Simba?
@AlkxiMafioso
@AlkxiMafioso 9 күн бұрын
Aongeewenyewe tumsikie usipende kupost vitu kama iv atuelew
@davisbwatwa115
@davisbwatwa115 10 күн бұрын
anakosaje,wakati mkude,m/nyeto na wengine wakawida wanapata kama chama
@IBRAHIMKAIRA
@IBRAHIMKAIRA 10 күн бұрын
Ana mkataba naww
@ReginaSembatwa
@ReginaSembatwa 12 күн бұрын
Toka utopolo wewe
@RakastaMediaOnline
@RakastaMediaOnline 12 күн бұрын
Taarifa n ya kweli
@christinataimu
@christinataimu 12 күн бұрын
Yanga hawana shida na Debora acheni uongo wenu hana namba yanga huyo
@ReylaSele
@ReylaSele Күн бұрын
Kwawachezaji gani mliokua nao apo yanga mmejaza vizee tu Debora mtu wewe labda msubili azeeke ndio tunawapa mabwege nyinyi
@burudaniplustz
@burudaniplustz 23 күн бұрын
Dah bora anarudi yanga
@Infonewsmediatz
@Infonewsmediatz 25 күн бұрын
Hatarii
@Infonewsmediatz
@Infonewsmediatz Ай бұрын
Balaa zito
@burudaniplustz
@burudaniplustz Ай бұрын
Dah maskin kocha fadlu
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Ай бұрын
Habari zenu za uongo kenge nyie
@RakastaMediaOnline
@RakastaMediaOnline Ай бұрын
Ni ukweli mtupu
@GreatHorrorStory
@GreatHorrorStory Ай бұрын
🎉🎉
@Allupdatetvtz
@Allupdatetvtz Ай бұрын
Hata wasipotupa Hizo Point kupita n lazima
@Infonewsmediatz
@Infonewsmediatz Ай бұрын
KARIBU FEI toto Simba ubebe makombe
@Allupdatetvtz
@Allupdatetvtz Ай бұрын
Rudi nyumban mwamba
@Infonewsmediatz
@Infonewsmediatz Ай бұрын
KARIBU msimbazi FEI toto
@Allupdatetvtz
@Allupdatetvtz Ай бұрын
Mzize ni WA kuachwa