Yani nyinyi watu wa mitandaoni sijui kwanini amuwasamini wateja wenu sasa nyinyi mmewatangazia biashala wamawauliza maswali pamoja na bei amuwajibu sasa uaga mnatangazia nini izo bisshala zenu jalibuni kubadilika
@rabanstephanoАй бұрын
Shingapi hizo cage tutqjieni bei au tuwekeeni phone no
@FredrickNoelАй бұрын
Acha utopolo nakupoteza mb za watu namba ziko wapi
@user-od5si7ld6bАй бұрын
TRA mbona huku wanatupiga sana
@sirajismail3978Ай бұрын
Nahitaji naomba kujua bei Niko Dar
@AidanTeweleАй бұрын
Mawasiliano naitaji hicho kifaa
@CanisiusGregoryАй бұрын
Tunaomba namba za sim ili tuweze kutoa oda. Mimi nipo mwanza.
@alfredjoshua8625Ай бұрын
Hongera kwa ubunifu mzuri.
@richardjulius-ln2hb2 ай бұрын
Hakuna banki inayotoa mkopo huo na banki gani
@Hamis573Ай бұрын
Ni kweli hakuna bank inayotoa mkopo. Mm mwenyewe ni muhanga wa hilo
@richardjulius-ln2hb2 ай бұрын
Waongo
@agathapeter5752 ай бұрын
Ahsante sana mungu ainue kazi yako ❤
@EdsonOigensanga2002 ай бұрын
Je nikipanda kiangazi naweza nikawa nazimwagilia zikatoboa
@barakarobert79612 ай бұрын
Namba
@barakarobert79612 ай бұрын
Naita cage ya kuku mia tatu ™€
@JastinStephano-ip5bw2 ай бұрын
Toa mawasilia bas
@MagdalenaDaima2 ай бұрын
Toeni namba zenu za simu
@user-zx6em4eg6k2 ай бұрын
Price
@jimmyassey95372 ай бұрын
Samahan boss me ndo naanza kilimo je naeza tumia mbolea ainagani
@johngangla96292 ай бұрын
Tuma number ya simu muko eneo gani
@josephslaah55382 ай бұрын
Namba ya cm please
@DarianYohana-et1oh2 ай бұрын
Nataka mashine Ila nipeni namba ya wsp ili mnitumie mashine ya kupiga mtama