Kazi nzuri Brother Umetishaaa Niko South Africa Nakusikilizaga Kinoma noma
@MashauriMalongoBalele2 ай бұрын
Umetisha
@MashauriMalongoBalele2 ай бұрын
Tunasubili video
@SofiaMayala2 ай бұрын
Sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zako jaman
@ZephaniaZakayo3 ай бұрын
Mwamba u toe mapema
@ReonardMasumbuko3 ай бұрын
Pashanga gude balaaaaa
@John-o6u4l3 ай бұрын
Gude achia video shiloti hatari by mtobela
@FimboKishimba-zz3tb4 ай бұрын
Endelea kutuimbia kaka tunakuombea
@IssaMiraj-ej7of4 ай бұрын
congratulations ❤❤❤❤
@MatonoItarange4 ай бұрын
NAKUKU BALI
@daudikasubi45824 ай бұрын
Gude gude hebu acha kuimba imba kuhusu uganga Yaani inaboa sana
@siwemaSylvester4 ай бұрын
Hongera sana kaka umetisha keep up
@ChristinaPaulo-wz8xy4 ай бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉❤❤❤ pole pole toa nyimbo zakuelimisha nan
@NessoboyZmbatz5 ай бұрын
Poa poa ka
@JumamagimaMchele5 ай бұрын
Aiceeee wa maluho umeiteka tz hd Kilimanjaro ngoma zako zinapigwa
@JumamagimaMchele5 ай бұрын
Mmmmmmmh hiii ngoma nimeikubar japokuwa nipo Kilimanjaro hd wachaga wanaicheza japo kuwa hawielewi
@BenjaminJames-t5n5 ай бұрын
Mhhh we noma chalii angu
@masanjawacha60776 ай бұрын
Mafumbo hayo kaka umetixha
@NicholausJoseph-oh7ot6 ай бұрын
Hongela kaka
@Devilinintungwawc2vk6 ай бұрын
Pamoja sana kaka kazi nzuli sana hai kwako blother
@GussaDotto7 ай бұрын
Nakupenda sana kaka angu gude gude akuna musanii ninae mpenda kama gude ongela sana kaka angu gude usiwasikilize wambea usiwajaji wanao kusem vibay wewe jali kaz yako mngu yupo pamoja nawe anae kuponda vibaya uyo anakutakia mema anakuongenzea balak ktkt kazi yako anae sem vibay kazi yako muangalie yeye anamaisha gan unawez ukazalau kaz za wenzio kumbe wewe mwenyew hauna lolote iyo kaz waachien wasanii kwa wasanii wanajuwan wao kama watashushan viwango niwao wewe mushabik usiyajaj sana mmbo ya wasanii
@RashidiRobart-f8y5 ай бұрын
❤❤😂🎉I understand my brother Gudegude
@BarackmayalaMahushi7 ай бұрын
Asante san gude gude unajitaiti.
@FrankMathias-rg8di7 ай бұрын
Hapo umeupiga mwingi kaka
@FrankMathias-rg8di7 ай бұрын
Nakukubali kaka japo nakuonaga video2 ila ngoma zakooo ziko sawa kabsa
@DomaManeno7 ай бұрын
Kaz tikaaka@😮
@mahungujulius17887 ай бұрын
Album Yako ya kwanza Mpaka Leo Bado hujaifunika Ile ya Makanisa Kaa Kwa utulivu sana unakoenda utapotea kwenye Game Pamoja sana,maana nyimbo unayotoa inakuwa ya kawaida sana sijui kwann, inaonekana utungaji wako WA nyimbo umekuwa WA kawaida Pambana sana
@msomezsaidАй бұрын
kuna wimbo unaitwa MBINA, na wenyew upo kwenye album ya makanisa??? huyu ni fundii
@SelemanCharles-bf1dg7 ай бұрын
Sana sana
@ManjiNzobheNzobhe7 ай бұрын
Mm nampenda kisima majabala, huku sipatagi like kwa gude gude 😭😭😭😭
@KelvinAmos-ow7pf7 ай бұрын
Gude gude hakika wewe kaka amuna wakuku zidi kwa uimbaji kama hu sifa ziende kwak
@SamsonLuhende7 ай бұрын
Ni balaaa tunasubir Video Kali Sasa
@AloisRoman7 ай бұрын
Hapa umetisha
@AloisRoman7 ай бұрын
Sawwwww
@AloisRoman7 ай бұрын
Hapa umetisha
@meshackenos-ev1st7 ай бұрын
Hao wanaokupa hongela hawakupendi tangu uanze kuimba hawajakushauli jambo lolote kuhusu kuendelea kwakazi yako
@KelvinAmos-ow7pf7 ай бұрын
Acheni ufala gude gude muacheni aelimishe musimfatilie sana atawa achangizan
@MwananshomaZenzeione7 ай бұрын
Kwahio yeyé asahiv amekomenti kushauli au anakomenti kulaumu😂😂😂 huyu alichokomenti nihovyo kabisa komenti kama unaushaul