Пікірлер
@mosesmdindile332
@mosesmdindile332 18 минут бұрын
Mnavokuja kuweka frame si zitaaribu tiles mnachimbia chini au mtatumia utaratibu gani msaada hapo
@user-yt3nn9gz8u
@user-yt3nn9gz8u 4 сағат бұрын
Tatizo unatupa number ila hutujibu msg sasa tufanyeje?😢
@twalebleboss9687
@twalebleboss9687 4 сағат бұрын
SAAFI SAAANA MR. HOUSE.....Uko vizuri na kazi zake zinaonekana dhahiri...#UNAWEZA SAAANA na Allah azidi kukulinda na kukusimamia katika kazi zako....AMEEN..
@JanethMadios
@JanethMadios 9 сағат бұрын
Unafanya kazi nzuri ila bei zako wewe kaka yaani sasaiv umepanda bei ile mbaya , kutembelea site tuu unatoza laki moja jamani sasa sisi wenye ujenzi wakuungaunga tutajenga na wewe kweli?????? Yaani ushajiwekea madaraja tayari, all in all uko na kazi poa sana yani😍😍😍😍😍😍
@user-yt3nn9gz8u
@user-yt3nn9gz8u 8 сағат бұрын
Hâta kujibu msg nimtihani 😢😢
@zamdasalehe674
@zamdasalehe674 7 сағат бұрын
😂😂😂 lazima aringe ana jina tayar
@Sanuka539
@Sanuka539 7 сағат бұрын
Ngoja nilitolee UFAFANUZI ili swala ipo hivi maisha yamebadirika sana zile zama za fundi kuja site KUANGALIA kazi bure zilipendea kwasababu mm binafsi natumia usafiri private Kisha naacha kazi ninapokuja kwako tena utakuta site nyingine ni mbali ata ayo mafuta tu kwa Gali km Subaru unatumika ata ya elfu 50 lkn pia Kuna kitu kinaitwa muda ambao ni mali kuliko ata hiyo pesa lkn nimalize na kwamba UKITAKA jambo lako liwe zuli basi sharti uligalamie BURE GHARI😢
@Sanuka539
@Sanuka539 7 сағат бұрын
Hapa inategemea na ulicho uliza lkn pia wakati mwingine Huwa inategemea na muda ulionitumia sms ​@@user-yt3nn9gz8u
@Sanuka539
@Sanuka539 7 сағат бұрын
​@@zamdasalehe674jina sio ishu kikubwa huduma NZURI TU
@Witnessmontana424
@Witnessmontana424 9 сағат бұрын
👌
@user-dq8uk6kl4v
@user-dq8uk6kl4v 10 сағат бұрын
Dilisha ni futi ngapi
@Sanuka539
@Sanuka539 9 сағат бұрын
Sita kwa nane
@geofreysadok4823
@geofreysadok4823 10 сағат бұрын
Mkuu mbona msingi wa nyumba ni mfupi sana .nyumba ipo chini sana
@Sanuka539
@Sanuka539 9 сағат бұрын
Boss hiyo nyumba tumeifanyia repea tu atujuanzanayo chini boss
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p 10 сағат бұрын
Nyama nimwingi kk❤
@Sanuka539
@Sanuka539 9 сағат бұрын
💪
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Күн бұрын
Amejitahid sana mashalla
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o Күн бұрын
Nyumba nzuri sana ila mim sijapenda hio open kitchen
@zaituniallyjuma8845
@zaituniallyjuma8845 Күн бұрын
bakihapohapo bsi kama nikuzuli
@tbc8520
@tbc8520 Күн бұрын
Gharama ya nyumba hadi hapo shilling ngapi
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd Күн бұрын
Mashaallah ❤❤
@MonaMbalike
@MonaMbalike Күн бұрын
Mtuambie na bei zake bhac au maximum inasimama ngap
@SimonMathew-cd5it
@SimonMathew-cd5it Күн бұрын
TOFALI ELF 1450 SI NI MSINGI TU HIZO HAPO SI CHINI YA TOFALI 3500 USIPOTOSHE WATU NDUGU
@salhamlanz9806
@salhamlanz9806 Күн бұрын
Nikikuchek whatspp hujibu sms mr house nataka kama hii
@Witnessmontana424
@Witnessmontana424 2 күн бұрын
👌
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 2 күн бұрын
❤❤❤
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 2 күн бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@imanmohamed2215
@imanmohamed2215 2 күн бұрын
MashaAllah TabarakkahAllah
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 2 күн бұрын
Yani sisi ambao tukogulf tuko na mtihani
@ThobiasKalima
@ThobiasKalima 2 күн бұрын
Kaka uko vizuri sana kwamawasirino tunakupataje
@AbdullahNassor
@AbdullahNassor 2 күн бұрын
Kiwanja chake kina mita ngap?
@eliakimmelkizedeck2059
@eliakimmelkizedeck2059 3 күн бұрын
Hii ipo Dodoma veyule
@madaikaisi7950
@madaikaisi7950 3 күн бұрын
Sebule yake ina ukubwa gani?
@daudikisoma2284
@daudikisoma2284 3 күн бұрын
Good
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj 3 күн бұрын
Punguza ukaliwamaneno umwingize nani
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 3 күн бұрын
Allah akulinde kakayetu
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 3 күн бұрын
Tunakufwata kaka penda sana😊
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 3 күн бұрын
Tukopamoja kaka yet. Tunakufwata wadada wawarabuni Tim 💪 strong
@asa121amenahtanakshfrombur5
@asa121amenahtanakshfrombur5 3 күн бұрын
Tukopamoja kaka yet. Tunakufwata wadada wawarabuni Tim 💪 strong
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 4 күн бұрын
Tatizo haujibu meseji Whatsapp siwezi kupiga kawaida so jibu no za nje ya nchi kz Yako ni nzuri
@gracekunambi7438
@gracekunambi7438 4 күн бұрын
Original sh ngapi na fake sh ngapi
@danielbrazius3469
@danielbrazius3469 5 күн бұрын
Yote 13 hadi kupauwa
@AliFakimati-dk4mt
@AliFakimati-dk4mt 5 күн бұрын
Ninahitaji hiyo ramani
@خديجهخديجه-ط1ه
@خديجهخديجه-ط1ه 5 күн бұрын
Tunaomba..namna
@خديجهخديجه-ط1ه
@خديجهخديجه-ط1ه 5 күн бұрын
Kaka..uko..vizuri ..naomba..namba .zako...nikutafute
@fortunatakiimu4258
@fortunatakiimu4258 5 күн бұрын
Ninavyokutafuta nakupigia hupokei kwann!?
@victoriamaige2862
@victoriamaige2862 5 күн бұрын
Mimi nimewafatilia sana lkn hamjibu meseji zangu Whatsapp na siwezi kupiga Niko nje ya nchi nitawapataje meseji hamjibu za nje ya nchi
@JumaShomvi-k5b
@JumaShomvi-k5b 5 күн бұрын
Nakupataje mm nipo Dar naitaji msingi imala
@fortunatakiimu4258
@fortunatakiimu4258 5 күн бұрын
Mm nakupigia mbona hupokei☹️☹️☹️
@fortunatakiimu4258
@fortunatakiimu4258 5 күн бұрын
Mm nimependa hii ramani je naipataje!?maana nimekutafuta kwa wasap hupokei wala hujibu sms je tunawasiliana vip!?
@kotinkarwak7691
@kotinkarwak7691 6 күн бұрын
Mwanzo mzuri. Ikiwezekana tuelekeze gharama katika kila stage ndio kujipanga iwezekane. Kama unataka tusiogope hii ishu, basi tupe breakdown ndio hata unapojifikiria unakuwa na hizo data... kwenye hii umeongelea nondo, hapo basi unatupa idadi na gharama zake, za kununua, na gharama za fundi.
@DM_15
@DM_15 6 күн бұрын
😂😂😂wahuni hao
@fanni-ck6do
@fanni-ck6do 6 күн бұрын
wow wallay love that slop kali kuvuja hao sahau
@scolasticaemmanuel6209
@scolasticaemmanuel6209 6 күн бұрын
Hbr kaka naomba nisaidie gharama ya fremu ya chumba kimoja,please!
@Sumay228
@Sumay228 6 күн бұрын
Tunataka bei ukipiga mbona anapokea then anakata
@AliFakimati-dk4mt
@AliFakimati-dk4mt 6 күн бұрын
Mimi ninahitaji ya vyumba 2.
@mariammariam5723
@mariammariam5723 6 күн бұрын
❤❤❤
@aishajuma5079
@aishajuma5079 6 күн бұрын
Kaka namimi nahitaji kuongea nawewe tafadhali