Mimi nataka kuanza kufuga kuku wa kienyeji burundi. Ningependa kujenga banda kama hili ambalo. Sijui kama wanaweza kufanya la juu na chini? Na itanigarimu pesa ngapi kunichorea ramani? Naomba namba tuwasiliane.
@Jefutaaronimpapi6 ай бұрын
Je mnapatikana wapi???. Tunataka huduma yenu
@ZubedaAbdallah-s5p7 ай бұрын
Hongereni saana naomba kujuwa gharama za kujenga banda kuku 100
@kassimbilali57798 ай бұрын
Kujenga banda km hilo inahitaji bei gani? Pamoja nanyie mnaojenga?
@focus_tv_7 ай бұрын
Tupigie 0755 99 99 39
@DpN-rk8xz11 ай бұрын
No simu hajaweka bei muw mnataa si tuuongea
@mapouztz9878 Жыл бұрын
Boom imeenda sisi
@queenphilipo8348 Жыл бұрын
Boss wangu mwenyewe😂😂 hongera sana dear
@RoswitaMaarifa Жыл бұрын
Hongera sana ndugu yangu,jitihada zinalipa,kipindi kizuri na Mungu akuongoze ulete vipindi vingine vizuri zaidi na zaidi.