@@DabongeBeautiful hello dear, ni aina ya wanja unaotumia ,kama unatumia ambao sio original huwa zinachuja, jitahidi kununua original au kama huna original uwe ukishapaka wanja ,paka eyeshadow ya poda juu yake inasaidia wanja kuwa mkavu na usichuje .
@HhPpp-id7me17 күн бұрын
Asant dada
@NeemaAndrew-x2v17 күн бұрын
Shilingi ngapi
@SubiraMaina-ge3nv19 күн бұрын
❤
@Vivianatz19 күн бұрын
🥰🤩🤩@@SubiraMaina-ge3nv
@phinerynelson916120 күн бұрын
Sisy Vivi Unatutupa sana siku hizi 😭
@Vivianatz20 күн бұрын
@@phinerynelson9161 poleni jamani, 2025 tunarudi kwa kasii 🥰🤩🤩❤