Great....Safi sana Vijana Wetu Mt.Theresia wa Yesu wa Avilla Mshindo Iringa, Barikiweni🎉🎉🎉🎉🎉❤
@tysonkisogole2574 Жыл бұрын
Nguvu mojaaaa
@aud548 Жыл бұрын
Zaburi ni sehemu ya maombi kama sikosei...vigere gere vya nini jamani? Tuheshimu liturjia
@tysonkisogole2574 Жыл бұрын
Sahii kabisa
@chusitv Жыл бұрын
This is the Top notch conductor in Tanzania who is really underrated, what a humble person i have ever seen .. keep up the good music and continue to bless them people.
@cleofasmosha9879 Жыл бұрын
From Spain naipenda sana hii misa ,muy bonita
@tysonkisogole2574 Жыл бұрын
Ubarikiwe mno mtu wa Mungu usichoke kutufatilia katika chanel hii
@egmsage4115 Жыл бұрын
Mnanikumbusha mwezi wa kwanza 2023 ahsante sana Master Idama , na wote kwa ujumla utume mwema.
@tysonkisogole2574 Жыл бұрын
Asante sana
@eradiusrwehumbiza4064 Жыл бұрын
Thanks so much Master Idama. Tumshukuru Mungu
@tysonkisogole2574 Жыл бұрын
Thanks so much kwa niaba usichoke kutufuatilia mtu wa Mungu