Asante Mtumishi wa Mungu. Mungu azidi kukubariki na kukuongoza ktk utumishi wako. Ee Mungu tusaidie tupate kujua dhumuni lako ktk kazi za mikono yetu. Utuongoze na kutupigania. Amen
@RosehappyMtei2 күн бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu. Naomba Mungu anilinde na roho mtakatifu kunipigania ktk ulimwengu wa rohoni niweze kusimama Imara. Mungu akapate kuniangazia ktk njia yangu nitembeayo ktk maisha yangu. Tumsifu Yesu Kristu
@SkeeterLyimo5 күн бұрын
AMENGU MUNGU AKUBARIKI SANA KWA NENO
@SkeeterLyimo5 күн бұрын
AMENI
@SkeeterLyimo9 күн бұрын
Ameni
@SkeeterLyimo9 күн бұрын
Ameni naomba uniombea uchumi wangu
@SkeeterLyimo9 күн бұрын
AMENI
@ELIZAMHEMA10 күн бұрын
Ameni
@ZuenaKimbe12 күн бұрын
Amina kubwaa
@lostanguvila776115 күн бұрын
ameen
@ELIZAMHEMA15 күн бұрын
Ameni
@RosehappyMtei16 күн бұрын
Asante mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mema. Ee Mungu nakuomba unifunike na damu yake takatifu ktk kila kizuizi kilichopandwa na adui. Ukatupe ulinzi wako na kutuongoza wakati wote. Tamu yako takatifu ukatawale ktk kila jambo ktk ulimwengu wa rohoni. Tumsifu Yesu Kristu
@apostolemugabemwangoka265318 күн бұрын
Asante Kwa Mafundisho yaliyoambatana na Nguvu za Mungu Asante Yesu kwa kuifungua Malango yangu ya Utajiri,Heshima na Nafasi
@anithakitomari944418 күн бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri mtumishi wa Bwana.Mungu azidi kukuinua na kukupa mafundisho mapya kwa ajili ya watoto wake.Nimebarikiwa sana.Amen
Au baada ya tusalimiane na mtu Asubuhi nakosa amani
@janemwakasege646020 күн бұрын
Amen Amen Ubarikiwe sana Mwl Tuntufye kwa mafundisho yanayoendelea napokea kwa Damu ya Yesu.
@janemwakasege646020 күн бұрын
Niombee sana Mwl Tuntufye !
@ednamwakapusya735120 күн бұрын
Barikiwa mtumishi
@saida509121 күн бұрын
Hallelujah
@goodluckLameck-x7y21 күн бұрын
Amen, Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@ELIZAMHEMA22 күн бұрын
Ameni
@JAPHETMWATUJOBE-nj4hc25 күн бұрын
Mungu nihurumie katika hili kama kuna kila namna ilio fanywa kwa kumwaga damu katika familia yangu naomba vifungo vyote vifunguliwe katika jina la Yesu Kristo❤
@JAPHETMWATUJOBE-nj4hc26 күн бұрын
Amen
@fridatemba512326 күн бұрын
Amen Amen, Mungu akubariki sana mwalimu🙏🏼
@JAPHETMWATUJOBE-nj4hc27 күн бұрын
Amen amen....
@RosehappyMtei27 күн бұрын
Naomba Damu ya Yesu Kristu ikapate kutawala ktk kila jambo la maisha yangu. Na kuondoa agano lolote. Naomba hayo kwa njia ya Kristu bwana wetu.
@RosehappyMtei27 күн бұрын
Asante Mtumishi wa Mungu kwa neno la kutujenga kiroho. Mungu akubariki sana ktk utumishi wako. Amen
@annamartine178327 күн бұрын
Barikiwa
@fridatemba512327 күн бұрын
Amen amen
@NeemaLongo-r9m28 күн бұрын
Ameeen nuru yangu ing'ae gizani kwa Jina la Yesu
@janemwakasege646029 күн бұрын
Amen Amen🙏🙏
@JosephMayagilaАй бұрын
Powerful
@NickolausHappyАй бұрын
Neno zuri
@elialameck-id3xgАй бұрын
AMEN
@TELEZIAMWASHIUYAАй бұрын
Mungu akubariki sana
@fridatemba5123Ай бұрын
Amina Amina
@janemwakasege6460Ай бұрын
Umenena kweli Mwl Tuntufye 🙏🙏
@AmosMathayo-sq2elАй бұрын
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sana Mtumishi. Hakika KHARAMA hii ni sahihi kwako Mungu akutunze 🙏
@RosehappyMteiАй бұрын
Mungu azidi kukunyanyua na kukuongoza ktk kufundisha neno lake. Hakika linatujaza na kutunyanyua kiroho. Tutembee ktk nuru yake. Damu yake tajatifu ya msalabani ikapate kutamalaki ktk kila jambo langu rohoni, na juangaza nafsi yangu na kungaa siku zote za maisha yangu. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. ❤
@janelucas9616Ай бұрын
Rejesha kibari kwenye maisha yangu
@sulizosawala2520Ай бұрын
Naachilia damu Ya Yesu kwenye chochote changu kilicho shikiliwa, kilicho zuiliwa.
@sulizosawala2520Ай бұрын
Amen
@sulizosawala2520Ай бұрын
Nuru yako iniangazie.
@anjelamahenge9439Ай бұрын
Amen..Nuru yangu ikang'ae gizani..
@janemcharo4224Ай бұрын
Ameeeeen
@apolinarymboya3231Ай бұрын
Amina mtumishi wa,mungu
@RichMotherrАй бұрын
Baraka kubwa Sana hii 👏👏👏
@elialameck-id3xgАй бұрын
Amina,
@RichMotherrАй бұрын
Be blessed mwalimu 🎉🎉Somo lenye revelation kabisa🎉🎉