Пікірлер
@joelJustine-e4x
@joelJustine-e4x 7 күн бұрын
mi nimejinfunza Kwamba kuna mda yanayotujia hakuna haja ya kuangaika nayo Bali ni kuyaacha mwisho yataondoka
@badeda
@badeda 10 күн бұрын
Big up
@rajabumpangalala2968
@rajabumpangalala2968 12 күн бұрын
Thanks Kocha Dr
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Karibu.
@JeniTadayo-fg7wk
@JeniTadayo-fg7wk 13 күн бұрын
Semina hiyo inafanyikia wapi sasa
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Tuwasiliane kwa namba 0713604101 Karibu.
@smhina18
@smhina18 14 күн бұрын
Imeisha iyo kocha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Hakika.
@barakapaulo3767
@barakapaulo3767 14 күн бұрын
Safi sana coach.. Kazi yako ni njema Sana najifunza mengi Sana kupitia wewe
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Asante na karibu sana.
@delphina7153
@delphina7153 17 күн бұрын
Natamani usimamizi wako sijui nafanyaje
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Tuwasiliane kwa namba 0713604101 Karibu.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 17 күн бұрын
Ahsante sana mwalimu
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Karibu.
@nkwabison
@nkwabison 26 күн бұрын
Asante kocha.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Karibu.
@joelJustine-e4x
@joelJustine-e4x 28 күн бұрын
nilichojifunza ni kwamba unaweza ukaona uko sawa kukosoa kile kitu kibaya bila kujua ugumu wake
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 11 күн бұрын
Asante kwa kushirikisha hili ulilojifunza.
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 29 күн бұрын
Great
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Thank you.
@adelgundaemanuel4336
@adelgundaemanuel4336 29 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 0:03 0:03 😅 0:04 😅 0:04 0:04 😅😅😅😅😅 0:04 0:05 0:05 0:05😅 😅😅😅😅
@adelgundaemanuel4336
@adelgundaemanuel4336 29 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 0:03 0:03 😅 0:04 😅 0:04 0:04 😅😅😅😅😅 0:04 0:05 0:05 0:05😅 😅😅😅😅
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 Ай бұрын
Madini sana
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Asante sana.
@rajabumpangalala2968
@rajabumpangalala2968 Ай бұрын
Nakufatilia sana kocha, huwa unaongea Fact Sana.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Asante sana.
@abelmwakalinga2305
@abelmwakalinga2305 Ай бұрын
Pata pesa,tunza,zalisha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Tuishi humo.
@nkwabison
@nkwabison Ай бұрын
🙏👍
@Kachelo96
@Kachelo96 Ай бұрын
Nakukubali sn
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Asante.
@nkwabison
@nkwabison Ай бұрын
☑️☑️🔝
@asifiwemwilasege5998
@asifiwemwilasege5998 Ай бұрын
Asante
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Karibu.
@stiangabrirl
@stiangabrirl Ай бұрын
SoMo la Leo lilikua Bora sana sema telegram imetuangusha lakini tumelifata huku🙌
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Hakika, ndiyo maana tunakuwa na rekodi ili tusikose chochote.
@delphina7153
@delphina7153 Ай бұрын
Unakiuzaje hicho kitabu
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Tuwasiliane kwa namba 0678977007 kupata kitabu.
@bertinIgnas
@bertinIgnas Ай бұрын
Hio nikweli nguvu ya buku nimhim sana itatuongoza vizuri.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Hakika, watu tayari wananufaika, karibu unufaike na wewe pia. Tuwasiliane kwa 0678977007
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Ай бұрын
Dr makirita ongeza sauti kidogo unapoongea na hao wanaochangia pia waambie waongeze sauti zao wasinong'one
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Asante sana kwa mapendekezo haya, tutayafanyia kazi.
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 Ай бұрын
Kocha video hizi zitaishi vizazi vingi, Usiache kufanya.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 28 күн бұрын
Asante sana Kavindi, natambua hilo ndiyo maana napata msukumo wa kuendelea kufanya. Siangalii uchache wa wanaofikiwa kwa sasa, naangalia vizazi vingi vijavyo ambavyo vitakuja kunufaika sana.
@homan_nkwama
@homan_nkwama Ай бұрын
Asnte kocha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Karibu
@KIMSwahili
@KIMSwahili Ай бұрын
Safi
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Asante
@nkwabison
@nkwabison Ай бұрын
☑️🔝🙏🙏🙏
@delphina7153
@delphina7153 Ай бұрын
Napenda sana ila uchumi wangu kipindi hiki sasa
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Karibu upate vitabu.
@delphina7153
@delphina7153 Ай бұрын
Nakukubali sana
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Asante sana.
@EyeseesPictures
@EyeseesPictures Ай бұрын
HATUA TATU ZA KUANZA BIASHARA : 1. ANZA SASA : Usisubiri na anza na CHANGAMOTO ambazo ziko kuanzia kwako na walio kuzunguka. 2. SULUHISHO BORA & LA HARAKA LISILO KATALIKA : Anza na PAIN POINTS kwa kwa kuuza TIBA badala ya KINGA ✓. 3. UZA KWANZA! : Usifanye uwekezaji wa kuku-umiza mfuko kabla ya kuuza, wapatie OFFER na wito wa KUCHANGIA kabla ya zalisho . . . PS. USIZALISHE HUDUMA AU BIDHAA KABLA YA KUUZA KWANZA. Haki-kisha una WATU walau 3 wa Karibu, Mbali na asiyekujua kabisa wako TAYARI KUNUNUA kabla ya KUANZA. CHUO CHA MAUZO
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Asante sana kwa muhtasari huu.
@EyeseesPictures
@EyeseesPictures Ай бұрын
ᢰJust incredible Kocha naona nguvu ya ISHI💯 COFFEE ☕ ✓ . . .
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Hakika, ni hatua hizo tatu zimeileta ISHI 100 COFFEE. Nimeanza na mimi mwenyewe kama mtumiaji wa kahawa. Nimewaletea watu suluhisho la kupata nguvu, umakini na kupunguza uzito. Na nimeanza kuuza kabla hata ya kuzalisha. Maarifa haya yanafanya kazi kama tukiyafanyia kazi.
@nkwabison
@nkwabison Ай бұрын
☑️🔝
@disanatv4485
@disanatv4485 Ай бұрын
We together, 1,3,4 end of the day 1m views per second
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
True, Thank you.
@rajabumpangalala2968
@rajabumpangalala2968 2 ай бұрын
Thank You kocha Dr Kuna kitu nimejifunza.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Vizuri, fanyia kazi ulichojifunza.
@MUGISHAGODFREY-t6k
@MUGISHAGODFREY-t6k 2 ай бұрын
Najifunza mengi kutoka kwako
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Asante, fanyia kazi.
@nkwabison
@nkwabison 2 ай бұрын
☑️🔝
@minzaikekashololo5862
@minzaikekashololo5862 2 ай бұрын
Asante sana kocha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani Ай бұрын
Karibu.
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 2 ай бұрын
Anae amini na aamini.
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Hakika
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 2 ай бұрын
Leo umetoa mfano wa biashara ya kinyozi je unaweza kunifundusha zaidi kuhusu kinyozi jinsi ya uwendeshaji?
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Ndiyo, Anza kwa kupata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA kisha nitakuelekeza vizuri kwenye hiyo biashara yako. Wasiliana na 0678977007 kupata kitabu. Karibu sana.
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 2 ай бұрын
@@MakiritaAmani in shaa Allah nitakitafuta maana wiki zilizopita niliagiza kitabu chako Cha 5 ya mwaka nilikipata.
@sylivesterm.mazigo2440
@sylivesterm.mazigo2440 2 ай бұрын
Safii sana ....somo zuri sana
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Asante na karibu sana. Tafadhali washirikishe wengine nao wajifunze.
@nestorymapunda6441
@nestorymapunda6441 2 ай бұрын
❤❤❤
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Asante sana.
@MaskmanTz255
@MaskmanTz255 2 ай бұрын
Asante kocha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Karibu.
@MaskmanTz255
@MaskmanTz255 2 ай бұрын
Asante kocha
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Karibu.
@dukalataifa
@dukalataifa 2 ай бұрын
Chuo cha mauzo
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Karibu tuwasiliane kwa namba 0717101505.
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 2 ай бұрын
wewe ni kisima cha maarifa
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Asante sana, Tuwashirikishe wengine ili nao wapate maarifa haya na yawe na manufaa kwao.
@williamkavindi4522
@williamkavindi4522 2 ай бұрын
Vizuri
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Asante
@mpanderashidi2078
@mpanderashidi2078 2 ай бұрын
Big up
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Thank you
@dryussuf8403
@dryussuf8403 2 ай бұрын
Saf couch
@MakiritaAmani
@MakiritaAmani 2 ай бұрын
Karibu