Dkta wewe unasema kweli mimi mpaka nikajitia vidole nikatapika
@BiubwaMuhammed-un3dt5 күн бұрын
Jamani mimi pia wiki hii iyohali nilikuwa nayo moyo ukipiga mpaka tafrani nimepima jna nikambiwa nina vidonda na h paylor Allah tusaidie jmni kapimeni gesi mtu aweza kuona amerogwa kumbe gesi imepanda
@KabisiKeneja6 күн бұрын
nitumie namba nami nashida kama hizo ulizo zitaja
@scollarsticahkariuki38777 күн бұрын
Gesi unaweza fanya mguu izimbe
@agnesspaul186614 күн бұрын
Mtuambie tiba
@freddykulwa819014 күн бұрын
Tiba yake
@JacoTzofficial25516 күн бұрын
😂ry
@JacoTzofficial25516 күн бұрын
😂ry
@JacoTzofficial25516 күн бұрын
Nzuri tu 1:37
@abdul-rahmanal-sis709717 күн бұрын
U doing well
@Evance-op4jw18 күн бұрын
tiba yake ni ipi
@user-lo4ie1jr9d18 күн бұрын
Dokta tiba yake inakuwaje
@deogratiaskatinda923219 күн бұрын
Wapigaji makofi ni wanafiki, kama kiongozi wa unakaa kimya ilihali kuna matatizo au unasemwa vibaya ni kansa kwa nchi husika. Ni vizuri pia kiongozi kujitafakari kwanza na kuachana na mipasho. Kusema 1 ukimaanisha 2 ni upunguani.
@JumaShaaly20 күн бұрын
Weldone
@AiserAli-mq6sz20 күн бұрын
Mashaallah allah akujalie umri mrefu wenye raha bila karaha mama yetu
@imaniandrea-ib6fy22 күн бұрын
mama fanya kazi uxisikilize maneno yavingoz wenzako angalia tanzania inataka kwenda wap wananchi wanahitaji nin bas wanasiasa wenzio wanataman nafax yako
@theophildamfuruki685925 күн бұрын
Asante Dr mimi uso wangu unamafuta je naweza kupaka usoni
@JumaShaaly26 күн бұрын
Fine
@MwasuNahoda29 күн бұрын
God job vijana
@azachudi7385Ай бұрын
Nampataje docter
@azachudi7385Ай бұрын
Tiba yake jaman
@OswardPaulАй бұрын
Na kwa nini Lila siku kukopa wakati nchi Ina vyanzo vya mapato inaonesha dhahiri umeshindwa kudhibit mapato Basi wapishe wenye uwezo
@OswardPaulАй бұрын
Mahakama ya mafisadi ipo na Kama ipo watuhumiwa ni wangapi na vipi shwala la bandari
@SaidtalibHabibАй бұрын
Vipimo vya kozi za ajira
@RaymondKilomeyeАй бұрын
Unachojua nimithari za vibalazani km wanawake wa uswahirini wakishashiba ugar utawakuta wamenyoosha miguu hawana wanachokiwa zaid ya kausha dam kweli tumekosea mungu tusameh
@user-wz9zt9sy1lАй бұрын
Je tiba yake ni nn sasa jaman
@user-df5zc2vw2tАй бұрын
Tumbo kuuma kwenye kitomvu pia ni dalili y kuwa n gesi?