Kennedy ana mtiani kweli,mama naye eti amuache Sandra tena?
@user-vf9lz4om1qКүн бұрын
Napatikana kanada tanzaniyaa oyeeeeee
@Babuu_Izob07Күн бұрын
Good sana
@sudaisishamarash4293Күн бұрын
Huo ubuzi gani ku muowa mtoto wa sengazi wako izo si dasturi zetu wa Africa
@blackkidsshow9233Күн бұрын
movie nzuri jamani uendeleye ❤❤❤
@sudaisishamarash4293Күн бұрын
Uganda 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 🇺🇬 wa pili wabongo nyiko wapi
@user-fq1gg8rj9iКүн бұрын
Tupoooooo ❤❤❤
@cinemafistudio7028Күн бұрын
JAMBO KWA JUMLA, TUMESIKIA WENGI WAMELALAMIKA KWENYE SEASON 2 EPISODE 2, ETI SCENE YA SANDRA KUMLISHA KENNEDY KULE SHAMBANI IMEWACHANGANYA,ILA UKWELI NI KWAMBA SANDRA ANAKUMBUKA MATUKIO YALIYO PITA,ILA SCENE HIYO YA SHAMBANI HAIKUWEZA KUONEKANA KWENYE EPISODE ZILIZO PITA,ILA STORY HIKO WAZI SANDRA KAMSAMEA KENNEDY MARA MOJA TU PALE ALIPO MKUTA MARIAM YUKO NA KENNEDY.❤❤❤
@ZohraZz-g8pКүн бұрын
Kweli mnatuchanganya kuweni makin tunapenda kazi yenu
@kadzosaid9376Күн бұрын
Alafu hapo kwa malikia kuangizia hongera vip nawalisema hadi kened akubali mwenyewe
@blackkidsshow9233Күн бұрын
Ni ongera ya ulimwengu wa kijini Ila Kennedy hajafahamu nini kilicho fanyika na nini kinacho pangwa kwaajili yake,hivyo ndivyo nilivyo helewa mimi.
@kassimswaleh1571Күн бұрын
Muwe makini bac msituchanganye, afazali kama ni fikra muweke black en white watu tuelewe
@user-tj6pl1lz5bКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@kevy2542 күн бұрын
Movie tamu mno. Video iko very clear bt sauti kw jumla iko chini mkuu. Tafadhali ongeza sauti kidogo sababu mara nyingi inanibidi nitumie bluetooth ili niwaskilize sauti yenu vizuri❤❤.
@kassimswaleh15712 күн бұрын
Hapa kennedy ulikuja ukamfuma sandra na mume mwngne japo sis tulioneshwa n jini ila ww hukujua, cha ajabu hukumuuliza chochote kamwe😛
@blackkidsshow92332 күн бұрын
Sikia rafiki yangu tambua Kennedy bado ana bembeleza Sandra,asingeweza kupata nguvu wakati Sandra hataki tena kushirikiana na yeye,ilimbidi apotezee Ili mradi kwanza arudishe mahusiano yao.❤❤❤
@kassimswaleh15712 күн бұрын
Kwaiyo hapa sandra ulipopeleka chakula likua n vp mbn mnatuchanganya
@blackkidsshow92332 күн бұрын
Mimi nimeelewa nikumbukumbu ambayo haikonekana huku nyuma,hiyo inaeleweka.
@kassimswaleh15712 күн бұрын
Kennedy na sandara ndpo n ka mnacheza utto, yan nyie mnaachana mara ngapi mbn sielewi😢
@user-rk1uq3ht4z2 күн бұрын
Namuweke sauti jmn mnazungumza pole pole sana
@user-rk1uq3ht4z2 күн бұрын
Sandra Hana amsha amsha ya movie amepoa sana
@user-rk1uq3ht4z2 күн бұрын
Yaani mm huyu Sandra simpendi ajui kuigiza Ako kama mtoto
@ChristopherMahenge-ht5qe2 күн бұрын
Kipande kingine kinatoka Lin nimeipenda Sana move nipo dar
@user-dh1nl1ft2k3 күн бұрын
nimependa from Kenya❤❤❤
@PegoMakonda3 күн бұрын
Nagwa Yuko vixur kw kiengereza ch chini
@PegoMakonda3 күн бұрын
Mister nagwa Ni Black colour
@KhalidKassim-y4k3 күн бұрын
Nagwa umeongea pont sana
@KhalidKassim-y4k3 күн бұрын
Nagwa umeongea pont sana
@OmanJalan-xc8nx3 күн бұрын
Mbona hatuelewi we Kened na Sandra nilikua mwala pamoja tena chuki mmmm mfumo umekaaje
@kassimswaleh15712 күн бұрын
Yan apo ndo panachokesha wallah
@PascalIlunga-zs6xi3 күн бұрын
❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@ibrahimnyantondo5293 күн бұрын
Kula chuma hicho wewe,, hata Biblia inaruhusu
@EricSango-m5q3 күн бұрын
Kennedy kazi unayo jafari anakugombeza uachane na dada yake,uku anita anakumendea mendea 😅😅
@khadijahussein-oc8sn3 күн бұрын
❤🎉kazi nzuri next
@FurahaMasons4 күн бұрын
Nawapenda ndunguzangu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@JudithNtakirutimana4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂
@PascalIlunga-zs6xi4 күн бұрын
❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@user-xm4uu7he9c4 күн бұрын
Kazi nzuri Hila sauti jamini
@user-lp3ho7le1j4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-nr2nt9it2g4 күн бұрын
Acheni umbea andikeni comments zenu kwani mpka msome hii yangu😂
@NeemaEli-wl1dz4 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@NeemaEli-wl1dz4 күн бұрын
Nawapenda wahijizaji wote kutoka kwenyehimuvi
@JacobMaxhaka-g1b4 күн бұрын
Vp Kennedy amuoe jini like kama ndio kama hapan comment