Asalam aleikum, sheikh. Watokea sehemu gani ya Kenya? Naomba namba yako ya simu. Shukran.
@biashaqtr-xd2mfАй бұрын
Mashallahu Alhadulilahi unayo sema yote nikweli mtupu ibada Zinaongezeka maradufu.
@husha6372Ай бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu alipokuja London September 2013 nilimwalika nyumbani kwangu na hakunidharawu ALIKUJA tukasoma Maulidi ya Alhabshy
@salimmohamed3668Ай бұрын
Mashallah Tabarakallah Ustadh Muhammad Albeidh Lau utamtaja ndani ya Yaman basi hakuna asiemjua Ustadh Muhammad Al'beidh ni miongoni wa wanachuoni wakubwa katika Hii Dunia Allah amtilie Nuru katika Qabri Lake. Kazi alizofanya za Da'awah ni kubwa,Allah Atupe Barka zake DUA NA shukrani zimwendee Ustadh Ali Al-haidary wa jazakallahu Kheir
@wanscalАй бұрын
🤲🤲🤲
@QadraGure2 ай бұрын
Mashaallah
@sharifashariff20512 ай бұрын
Swalu alal nabii🤍
@Manimajura2 ай бұрын
MashAllah MashAllah Allah akubariki kwa historia hii na Allah amrahamu Mwanazuoni huyu na amlipe malipo makubwa
@BiroMkasi3 ай бұрын
Nin mana yaruhani
@RsugrggeHdhdyyd3 ай бұрын
Naomba
@KisomaAmani4 ай бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE .SHKH NAOMBA NAMBA
@DavidIssa-c6o4 ай бұрын
Marshallah
@MesalimRashid5 ай бұрын
Sijaota ata siku mmoja
@samidarajabu10 ай бұрын
Unapatikana wapi
@mohammedabdulshakur816211 ай бұрын
Tupe faida Vito vingine maulaya
@RayyanZahour Жыл бұрын
Sheikh sasa nilitaka nikuulize inaonesha Ishara ipi izo ndoto pale mtu aliezoea kuota halafu zikaja kukata kabisa.
@kadirijuma2618 Жыл бұрын
Na pia huwa sipendi makundi na pia sinaga kijiwe chochote, pia huwa yapanda pindi kunapo kuwa na mtu mbya, nahuwa napenda sana zikri ila na udi nikifika kuna uzwa dawa za asili nina tamani nilale humohumo,ila inapo simwa kuruani machozi unitoka sana tatizo nini hapo ni wa zurri aw ni wabaya?
@kadirijuma2618 Жыл бұрын
Asalam aleykum,tuna shkuru kwa elimu hii,shekhe mm pia kuna dalili huwa zina nitokea baazi ya seven za mwili huwa zina cheza, nayo ni maruhani
@jaggerjack30 Жыл бұрын
😂😂😂😅 unafikiri ni cha sifa kujumuiyika na waarabu.. bajuni, bajuni islands, kama unapinga nenda kapime DNA ya asili
@amrozwhite1073 Жыл бұрын
MBONA HUTOI NYENGINE SHEIKH WANGU UMEGANDA NA RUBI TU TUPE TENA FAIDA YA MADINI MENGINE
@HassanSinderibuye-ht3wl Жыл бұрын
Wewe unaongea aya na hausemi sura gani
@amrozwhite1073 Жыл бұрын
umenifurahisha sana sheikheh
@amrozwhite1073 Жыл бұрын
mashallah mashallah mana ilikua najiuliza mbona mtu abanunua pete samani yake kubwa sana kwa7bu gani kumbe ni km ivyo
@HidayaMohammed-h1i Жыл бұрын
Mashaa Allah nimefurah Sana nimeelimik Allah akuweke shekhe
@azgaraligulamhusseinnargis5949 Жыл бұрын
MashaAllah shukran baraka Allah fii
@MahmoudAli-rs5mi Жыл бұрын
Bismillah Rahman Rahim sijawahi kuskia maneno mazito yaloniathir kama manenohaya.
@idrisalimapema2539 Жыл бұрын
Habib swale amefariki mwaka 1935 na hakuna picha yake,na Habib Ahmad Bin sumeit amefariki mwaka 1925 na ipo picha yake
@idrisalimapema2539 Жыл бұрын
al Habshi alipewa na mzazi wake sio eti kapewa na Watu Wa yemen
@idrisalimapema2539 Жыл бұрын
Iko wapi historia ya sayyid Alii kiyemba ?
@awadhabed Жыл бұрын
طييب
@kifubayusuph8741 Жыл бұрын
mn kwaka 2010 nirikuwa kira jambo baya rinarotaka kutokea naota usiku nanikifanya biasha ra naambia chakufanya usiku tea kwa kutaja jina sasa siswari na na mambo yameaharibika naishi na jini mahaba mana nimekuwa mzinifu mp3nda mahasi hatari mpaka naria je uyu arie kuwa ananiambia kira jambo usiku ninani na amekwenda wapi
@ShinunaMohammed Жыл бұрын
Jitafute
@AugostinoMutiso Жыл бұрын
Mashaallah allah akupe kheri na elimu ya juu kwa mafundisho yako
@alialhaidary3123 Жыл бұрын
Ameen
@الزغويالزغوي-ض3ن Жыл бұрын
NI DARASA MUHIMU SANA KWANGU MWENYEZI MUNGU AKULIPE KHERI NYINGI
@awadhabed Жыл бұрын
Ma Sha Allah😅
@jamillahassan3405 Жыл бұрын
New subscribe from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ❤❤
@jamillahassan3405 Жыл бұрын
Na SIM card unaweka wapi
@awadhabed Жыл бұрын
Sub hana Allah kisa kuzuri sana na chenye mazingatiwa
@abdulx7gamer611 Жыл бұрын
MashaAllah
@nuruabdi7806 Жыл бұрын
Jinn mahaba are they abe to cause health problems... please respond to my question
@alialhaidary3123 Жыл бұрын
Afwan.... Kuna swali umeuliza ? Sijaona hio swali
@Aboodjan4- Жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الرحمن
@thecutestgirl21532 жыл бұрын
Mashaallah my bro Allah akuzidishie
@swaumumakunga24692 жыл бұрын
Masha Allah
@faridaarafat15712 жыл бұрын
Asalaam aleykum, sheikh nitajuaje kama nina rohani
@mansoormannix17532 жыл бұрын
Shekhe vipi kumwingiza jini ndani ya tupa?
@mansoormannix17532 жыл бұрын
Allah atuepushe na mtihani wa dunia na atuongoze kwa njia iliyonyooka na atuzidishie tawhid, aqidah so we may not go against Islam. Allah atume ilmu nzuri na ufahamu na atuhifadhi na fitnaa za shaitani.
@salimali99572 жыл бұрын
Maalim,kuna point umekosea hao ni viumbe usiseme ni watu
@zuhurajuma88532 жыл бұрын
Asalam aleykum shekh je wale wanaoagiza pete marashi kitambaa na anataka uswali
@marashowcade2 жыл бұрын
Thank you
@atwiyamuhamed77332 жыл бұрын
Asalm alekum mm n kweli nmeota niko n mtume twaenda kuswali
@ramadhanimaneno Жыл бұрын
Mtume Muhammad (s w )alisema hakika atakae niota ndotoni basi ni kweri ameniona maana shetwani hawezi kumjia mtu kwa sura yangu
@dkakram2562 Жыл бұрын
Alikwambia kua yeye ni mtume sw au ulihisi ww tu
@awaahassan936 Жыл бұрын
Mimi nilimuona akapitishwa na hewani amekalia kiti kila ubavu wake kuna malaika