Пікірлер
@QueenMmbando-pm6rt
@QueenMmbando-pm6rt Ай бұрын
Eee YESU Naomba unifungue unitumie maisha yangu kabisa utakavyo
@millcentsamali6793
@millcentsamali6793 Ай бұрын
Hakika Mungu ni mwema sana Asante kwa maombi yenye Nguvu ya kipekee ktk kufungua anga la maisha yetu. Mungu awatie nguvu ktk huduma hii.
@claudiajuliustembatemba2157
@claudiajuliustembatemba2157 3 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe, San ukweli ninamshukuru MUNGU sana kwa haya mafundisho yamenisaidia san kumjua Yesu zaidi