'KWETU NI KWAKO'
5:22
4 ай бұрын
Пікірлер
@JohnMajohn
@JohnMajohn 56 минут бұрын
Sifieni sana lakini magoma mtumkumbuka nina imani yataibuka tyuu john mwanza
@JohnMajohn
@JohnMajohn Күн бұрын
Kutoa jezi mbaya kama ya yanga ni dalili kutopata mapato kwa mzamin
@ezrantare8978
@ezrantare8978 Күн бұрын
Thanks Mike
@VedastoKabika-l7w
@VedastoKabika-l7w 5 күн бұрын
Leteni mwanza bajaji izo za umeme tumezisubiri kwa hamu
@RenatusMbisso
@RenatusMbisso 16 күн бұрын
Mchungaji uko vizuri sana.
@EdenMcharo
@EdenMcharo 17 күн бұрын
Hapo hapo mchungaji
@daudigidabayda7315
@daudigidabayda7315 20 күн бұрын
Bonge moja la redio but now nje ya dar napata tabu kuwa pata
@LionizeBillionaire
@LionizeBillionaire 27 күн бұрын
SAFI SANA
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial 27 күн бұрын
Mjin fm ss wasanii wadogo hamtuskilizi kabisa yan tuna wa follow kil mahali ila mnakausha na nyie ndo midia
@AllyKamboni
@AllyKamboni Ай бұрын
naitwa gadafy kutoka chamazi chama aende tu😅😅😅😅😅
@AllyKamboni
@AllyKamboni Ай бұрын
naitwa gadafy kutoka chamazi chama aende tu😅😅😅😅😅
@AllyKamboni
@AllyKamboni Ай бұрын
naitwa gadafy kutoka chamazi chama aende tu
@AllyKamboni
@AllyKamboni Ай бұрын
naitwa gadafy kutoka chamazi chama aende tu
@DizzoDeLion
@DizzoDeLion Ай бұрын
kama ana yaweza akainuse mazense kwa unjuu😂😂
@BizeddOfficial
@BizeddOfficial Ай бұрын
Kwan mjin fm makao yake wap?
@fatumaabdalla-w3g
@fatumaabdalla-w3g Ай бұрын
Nakubali kaka Aly
@JohariRamadhani-vq7nn
@JohariRamadhani-vq7nn Ай бұрын
Squeeze dah nkumbuka yaan jins gani ulivyonidatisha
@taaborafm
@taaborafm Ай бұрын
Sema dah hata kama ni misimamo shida ni kwamba baraka hajui impact ya media kwa msanii au mliamua iwe kiki maake sio kawaida ni yeye ndo wakwanza kuzingua kibongobongo
@nabugobafakhruddin794
@nabugobafakhruddin794 Ай бұрын
Saigoni n WAKWANZA Acheni wivu 😂😂😂😂😂 hata kama Alijirecord kwa kanda n ujanja wake
@stanleymsoka8776
@stanleymsoka8776 2 ай бұрын
Mbona frequency za kawaida siwapati au kuna shida
@user-kr9so2em8c
@user-kr9so2em8c 2 ай бұрын
Sijawahi kukupinga kaka
@benjaminngatunga3931
@benjaminngatunga3931 2 ай бұрын
Mung.akulinde akupemaisha maref
@user-ui1qs9yl1n
@user-ui1qs9yl1n 2 ай бұрын
NIMEPENDA MWANADAMU ANA THAMANI
@user-lk9ie2rx8d
@user-lk9ie2rx8d 2 ай бұрын
Nyie wasenge tu toka muda ote huo interview imefanyika lkn leo ndo mmejifa kupost kama ndo imehappen leo
@_sebajr8
@_sebajr8 3 ай бұрын
All time best rapper in Tz 🙌 //D-Knob
@JohnSute
@JohnSute 3 ай бұрын
Kabisa mchungaj 😂😂sema yote
@paschalmeshack5951
@paschalmeshack5951 3 ай бұрын
Waoooh hongera sana sana Bro🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@MohamedAbdala-kl7gn
@MohamedAbdala-kl7gn 3 ай бұрын
Kaka Julio Mimi hua namuelewa sana ni mkweli
@EmmanuelLekasango-rt1qx
@EmmanuelLekasango-rt1qx 3 ай бұрын
Unjuuuu uko frsh sana kuJIBU maswali
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 ай бұрын
👊👍✌️.
@beatusmajumbi7125
@beatusmajumbi7125 3 ай бұрын
Uko sehemu sahihi D MUNGU akulinde usirudi nyuma
@user-es4jv6pb8x
@user-es4jv6pb8x 3 ай бұрын
Kabisaaa
@DavidatilioMtambulo
@DavidatilioMtambulo 3 ай бұрын
Mko vzr
@ClarisKedron
@ClarisKedron 3 ай бұрын
D voice nakukubal xana na songs zako hongera❤❤❤❤
@SAYMON794
@SAYMON794 3 ай бұрын
Nakuwelewa ninja mbishi
@janeelisha4460
@janeelisha4460 3 ай бұрын
Mchungaji mungu azidi kukupa hekima na maarifa
@kingnjaro4934
@kingnjaro4934 4 ай бұрын
unyama sana Asee familia yangu mmetisha sana 🔥🔥🔥🔥
@MrTzakaSanTz
@MrTzakaSanTz 4 ай бұрын
#KwetuNiKwako 📻🎶
@MrTzakaSanTz
@MrTzakaSanTz 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@FatherJunior-he4sj
@FatherJunior-he4sj 4 ай бұрын
Mbona Leo Redio steshen yenu Haikamati Jaman❤ na Tunawafuatilia
@user-xj5it7kx9n
@user-xj5it7kx9n 4 ай бұрын
Pole mpendwa
@JulesWilondja
@JulesWilondja 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@stevejulo7098
@stevejulo7098 4 ай бұрын
Huku Mombasa Kenya cannibal kichwa kibovu aliokoka na huyu nae huko Tanzania aliokoka na kipindi cha nyuma walifanya collabo nyimbo inaitwa Badman .....so BADMAN na kichwa kibovu ni kama walipanga waokoke au vip...,....,?
@leonardyona1462
@leonardyona1462 3 ай бұрын
Neema ya Kristo iliwafikia..
@andronicootieno
@andronicootieno 4 ай бұрын
hahaha.. Subiri nami niweke ya kwangu..
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 4 ай бұрын
A contradiction, vipara, mbona professor yeye ana kipara?
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 4 ай бұрын
Vipara? Is this really has to be done in a hospital? I have been to many countries, never heard this hair treatment has to be done in a hospial. An African man concerned by his kipara, is that not a waste of money.
@Basagamp4
@Basagamp4 4 ай бұрын
❤ Aaaaamin
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 4 ай бұрын
Kiukweli wapangaji wengi niwakorifi sana,we mtu unampangisha pakuishi yy,baadae unaona ananza kufugia kuku,ngurue au kuweka mazao ndani nyumba inageuka,godaun,haifai.ila nyie mngejua tabu tunazopitia wenye nyumba,bas tu mpangaji anaingia nyumba ikiwa nzr akija kutoka,ile kodi yote inarudi kwenye kwenye ukarabati hasa vyoo.lkn sheria ya ardhi imelalia upande wa mpangaji ndiyo maana niwaharibifu mno.
@allympera935
@allympera935 4 ай бұрын
Dam msimamo
@user-or8cq1ks5g
@user-or8cq1ks5g 5 ай бұрын
Mwinijilisti hongera Sana kwa kazi nzuri unayoifanya hakika nimejifunza kitu hapo