JIFUNZE KUJISAJILI BINANCE
5:39
2 жыл бұрын
KUHAKIKI AKAUNTI/WALLET YA PAXFUL
8:24
FUNGUA WALLET/AKAUNTI YA PAXFUL
5:29
Пікірлер
@nyamizisimbachawene3292
@nyamizisimbachawene3292 17 сағат бұрын
Naomba no
@shirimatheking1274
@shirimatheking1274 2 күн бұрын
unatoa elimu unafichaficha sisi tunataka elim sio kujua viwango vyako
@KassimuYusuph
@KassimuYusuph Ай бұрын
Bit-changer naipataje mana kila niki search siipati
@JeremiasLupogo-ik9ri
@JeremiasLupogo-ik9ri 4 ай бұрын
Naomba namba ako ya whtusp
@heavencrypto5014
@heavencrypto5014 7 ай бұрын
Khongera sana
@shedracpeter1975
@shedracpeter1975 8 ай бұрын
Grt
@irenekimaro4680
@irenekimaro4680 9 ай бұрын
Hello mimi niko Tanzania nashindwa kutengeneza account
@NaomiRaphael-xf2bv
@NaomiRaphael-xf2bv 10 ай бұрын
Kaka nimesahau namba ya sili name listening sm na emailing nimebafilisha naipataje akaunti ya mwanzo
@footballdesigner7940
@footballdesigner7940 10 ай бұрын
Na hile ya jamii exchange inahitaji Tanzania Mobile Money ni ipi iyo
@footballdesigner7940
@footballdesigner7940 10 ай бұрын
Jinsi ya kuweka hela kwenye perfect money mkuu bado n mchakato
@kimolotv
@kimolotv 10 ай бұрын
Asante kwa somo ila una Sauti nzuli
@hezekiamchuma893
@hezekiamchuma893 Жыл бұрын
Naomba namba zako
@user-jq7lk6dv6l
@user-jq7lk6dv6l Жыл бұрын
Jamani binance nayo sio scam maana mtfe imetulia yasije yakarudia tena
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
Naomba nambayako ya whatsuup unielekeze vizuri
@naahnicky4682
@naahnicky4682 Жыл бұрын
Nikitaka kununua nafanyaje? Wanapokea Tsh?
@noelmgondah4224
@noelmgondah4224 Жыл бұрын
If i want full training on how to use Binance App, ntapata wapi?
@barakanyamafu5937
@barakanyamafu5937 Жыл бұрын
Kaka tuletee madam kuhusu MTFE
@ednantabalwa1118
@ednantabalwa1118 Жыл бұрын
Cjaelewa hizo asilimia unapata kila siku au Kwa mwaka!
@samweligerediusi1794
@samweligerediusi1794 Жыл бұрын
Mfano mwalimu ukituma akawa akitumia unaipataje iyo era asante
@nieyusuph9005
@nieyusuph9005 Жыл бұрын
Keep it up!!..naelewa sana video zako
@DropLife
@DropLife Жыл бұрын
Ahsante sana kaka. Nipe namba yako kuna vitu nahitaji tuongee.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln Жыл бұрын
Safi sana kiongozi nimekuelewa vizuri tunasubiri video nyingne
@rorency8819
@rorency8819 Жыл бұрын
Broo nakuelew sana tayar nimepata mwanga yaan nilikuwa sielew chochote kuhus hii nshu
@suhailtv8826
@suhailtv8826 Жыл бұрын
Kaka naomba namba yako ya simu
@geoffreymurua643
@geoffreymurua643 Жыл бұрын
Bro nataka usaidizi kuhusu funzo la Bitcoin. Would you mind to help please. I am Geoffrey from kenya. Fb unaitwa aje?.
@maishakidigitali
@maishakidigitali Жыл бұрын
Instagram @maishakidigitali
@ali_ford
@ali_ford Жыл бұрын
😂vituko vitupu
@ahmednasser8739
@ahmednasser8739 Жыл бұрын
Asante sana mkuu kwa darasa,ila wabomgo kweli sio view 1.4k lakini like hata 20 hazifiki...wabongo tujifunzeni kitu
@maishakidigitali
@maishakidigitali Жыл бұрын
Acha2 kwa elimu wabongo wanashit...ila udaku wapo juu
@jerytv2289
@jerytv2289 Жыл бұрын
Tunaomba Namba za whatsup kidogo kwa sisi tuliopo vijijini inakuwa nafuu kuliko kusubir strong internet connection za insta
@jerytv2289
@jerytv2289 Жыл бұрын
Hvii mfano mm nikawa na tron wallet ,, nawez mtumia hela anayetumia Bitcoin wallet!?
@maishakidigitali
@maishakidigitali Жыл бұрын
Inategemea lkn kuna kubadilisha sarafu moja kwenda nyingne
@deborajofrey3276
@deborajofrey3276 Жыл бұрын
Naomba namba zako
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Shukrani mzee,nimeanza ku earn kwa ku subscribe baadh ya stable coins
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Hongera sana
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Link ya kufungua akaunti ya PAXFUL ni ; paxful.com/register?r=LrdJzA3ZGdK
@shaushientertainment5460
@shaushientertainment5460 2 жыл бұрын
Nitajuaje kama Bitcoin iko chini ili niweze kununua kwa ajiri ya uwekezaji
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Angalia trend yake kwenye binance
@abasisapi5474
@abasisapi5474 2 жыл бұрын
Nikiwa na usdt nanunuaje Ethereum?
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Angalia video zangu utapata jibu ukipata sarafu yoyote unaweza kuconvert kua sarafu yoyote
@ywuwhufa2147
@ywuwhufa2147 2 жыл бұрын
Habari broh nitaeza VP kuuza bitcoin au kununua
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Angalia kwenye playlist jinsi ya kuuza na kununua pia..lkn kama unaongelea perfect money video itakuja soon
@dodilasmathias5245
@dodilasmathias5245 2 жыл бұрын
Kazi nzuri ila mnaonaje mngekuwa mnaelezea kwa voice ,ni maoni tu
@Mumbi_Hakeem
@Mumbi_Hakeem 2 жыл бұрын
umekuwa verfied si mpk uwe passort au
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Hapana sasahv kua verified nida au cha gari
@hakikamrope7797
@hakikamrope7797 2 жыл бұрын
Mambo vp teacher. Naona Ni mgeni Ila nekuwa nikikufuatilia kwa sasa kupitia baadhi ya video zako za mafunzo hivl karibuni. Sasa naomba kuuliza Mimi tayari nimeshafungua account tayari, Ila kwenye kipengele Cha kununua na kuuza Bitcoin, jina la account na majina nililosajilia laini zangu za sim majina ya mwisho yanatofautiana, vp haitaniletea shida kwenye kununua na kuuza?
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Haina shida mawakala hua wanaangalia namba uliyoiweka kupokea hela sio ulijisajiri
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Link ya kufungua akaunti ya PAXFUL ni hii paxful.com/register?r=LrdJzA3ZGdK
@FaidaHalisi-v2q
@FaidaHalisi-v2q Ай бұрын
Ndio najifunza hii inakaz gani?
@chaseborgia
@chaseborgia 2 жыл бұрын
Wanaofanya biashara Paxful ambao wapo verified wote wana uraia wa Kenya ila wanapokea Tigopesa,Airtel money, M-Pesa imekaaje hii?!!!
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Hawana shida...! Fanya nao kazi
@tumlakimwaitumule
@tumlakimwaitumule 2 жыл бұрын
Thanks bro
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Pamoja
@betramjustine4023
@betramjustine4023 2 жыл бұрын
Unaweza kutuma au kupokea pesa bila kuverify account
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Uwez ndug labda kwa paxful
@betramjustine4023
@betramjustine4023 2 жыл бұрын
@@maishakidigitali tupatie elimu kuhusu hiyo paxful
@kisinzasenga5807
@kisinzasenga5807 2 жыл бұрын
Tunaomb lvideo za kufungua paxful
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Ipo ndug
@mossesmanina1603
@mossesmanina1603 2 жыл бұрын
Nipe no yako, nimejifunza kitu kikubwa
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Unaweza nitafuta insta @maishakidigitsli
@mossesmanina1603
@mossesmanina1603 2 жыл бұрын
Namba pia ni muhimu mkuu
@justincalee4151
@justincalee4151 2 жыл бұрын
Inakata bro ku cloud boost ili niwe start
@juliusjulius4914
@juliusjulius4914 2 жыл бұрын
Asante kwa elimu Lakini Nina swali, kivipi na weza kuona Ile graph ya Bitcoin inavyopanda na kushuka
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Nitatengeneza hizo video usijar
@claraedwardmalingumu3565
@claraedwardmalingumu3565 2 жыл бұрын
No zako nitumie
@youronlinerevenue
@youronlinerevenue 2 жыл бұрын
habari! njia ipi nzuri ya nunua sarafu, kupitia bank? kwa mawakala? au localbitcoin?
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Zote nzuri lkn benki inabagua sana...naona Crdb visa tu ndo inafanya kaz
@mbogomovies3090
@mbogomovies3090 2 жыл бұрын
Sasa kiongozi,ikifika kile kipindi cha kuuza sarafu,utateletea video ya jinsi ya kuuza sarafu upokee kwa njia ya benki?
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Pale pale kwa mawakala wengine wananjia ya benki
@godenyvegula561
@godenyvegula561 2 жыл бұрын
Kwahio ni bora nikanunua usdt then nkaichange kwenda kwenye sarafu ya bitcoin au litecoin. Au kununua bitcoin moja kwa moja kutoka kwa wakala. Ipi ni njia bora mkuu?
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Zote njia nzuri hapo ni wewe tu...kama unaharaka toa tu kupitia benki...ila kwa kutoa njia nzuri kwa mawakala
@dasmilertz4602
@dasmilertz4602 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana nilikuwa sielewi maana Kuna mtu alikuwa Kenya aliniambia kabla sijamtumia nibadilishe kuwa usdt/busd leo nimeelewa kaka shukrani sana
@maishakidigitali
@maishakidigitali 2 жыл бұрын
Pamoja sana ndug...sambaza upendo wengi wajifunze zaid