MTAJI WA MASIKINI-BANZASTONE
10:43
Пікірлер
@JustineKashililika-tc8sx
@JustineKashililika-tc8sx 5 күн бұрын
Huyu mwamba ni mtu na nusu
@mhinajerome5964
@mhinajerome5964 9 күн бұрын
Nilitamani sana wabakaji hawa wawekwe public ila kuhusu familia yabinti na binti mwenyewe kufichwa nisawa kabisa
@BakarYusuph
@BakarYusuph 12 күн бұрын
Ok
@BakarYusuph
@BakarYusuph 12 күн бұрын
Ok
@Mwana-d1u
@Mwana-d1u 14 күн бұрын
Kama majungu ni mtaji tungetajirika wengi
@Mwana-d1u
@Mwana-d1u 14 күн бұрын
Elimu ya mjinga ni majungu wanasema elimu haina mwisho
@Kilianraymond-c7j
@Kilianraymond-c7j 17 күн бұрын
General😢😢
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 18 күн бұрын
Lilikua dongo asante banza kwa maisha yako
@user-dh8sk8ej1d
@user-dh8sk8ej1d Ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Yaani hata usingizi imekata Za kale ni dhahabu ujumbe unaishi MUNGU amkuze Pahala pema mtunzi
@godlistenmuro9313
@godlistenmuro9313 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@nesto_automobiles6537
@nesto_automobiles6537 Ай бұрын
Moja ya kipaji kiliniuma kusikia banza stone amefariki
@petermahimbo3458
@petermahimbo3458 Ай бұрын
Kimkwete mrisho
@michaelngethe3108
@michaelngethe3108 Ай бұрын
kweli nimezeeka,used to hear this song as nuisance lkn kwa sasa ina bamba,Wao!
@melkisedekkaijage2777
@melkisedekkaijage2777 Ай бұрын
ngoma kama hizi tulikuwa tunazisikiliza kijijini tunatamani kufika Dar
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Ай бұрын
Kabsaa enzi izo ujui utafkaje dr
@user-ci9hx5iy1n
@user-ci9hx5iy1n Ай бұрын
Daha mm nilikuwa darasa la 4 aisee
@user-zv2px7jd1l
@user-zv2px7jd1l Ай бұрын
Habar ya uzma me samahan naweza kupata mawasiliano ya mkurugez
@CornelioMsangi-ui7dq
@CornelioMsangi-ui7dq Ай бұрын
2024 listening good music
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h Ай бұрын
Bado hamjasema watoa comment mtasema yote leoo 😂😂😂
@habarijamiitanzania
@habarijamiitanzania Ай бұрын
Kusema nini?
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@boningassa4302
@boningassa4302 22 күн бұрын
kumbukumbu zao wakiskiliza nyimbo hii​@@habarijamiitanzania
@MatiasiBonfas
@MatiasiBonfas 2 ай бұрын
Kaha
@ErickMillinga-bs4sc
@ErickMillinga-bs4sc 2 ай бұрын
Mauti yanatugawanyisha
@ErickMillinga-bs4sc
@ErickMillinga-bs4sc 2 ай бұрын
Mungu hapangiwi lakini twakuomba waja wako mpokee kiumbe huyu ktk Pepo yako
@SoudVumbi
@SoudVumbi 2 ай бұрын
Tutawakumbuka daima
@Kanga-pu6yl
@Kanga-pu6yl 2 ай бұрын
TR MSIGWA andai kutibu bona msichukue maarifa na dawa zake kama ana ukweli.
@SakaKemanae
@SakaKemanae 2 ай бұрын
Sihitaj😅
@SakaKemanae
@SakaKemanae 2 ай бұрын
Sihitaj😅
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 2 ай бұрын
Mnaweza kumpotezea afya yake kwa kitendo hicho cha kumlisha pilipili. Allah tusamehe makosa yetu.
@MatiasiBonfas
@MatiasiBonfas 2 ай бұрын
Hawa Jamaa Hawanaga Huruma Kabs
@zainabsimbamtoro6790
@zainabsimbamtoro6790 2 ай бұрын
Mungu Akuwekee Mahali Pema peponi AMINA 🤲
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 3 ай бұрын
Jaman mara ya kwanza kuutia masikioni huu wimbo nilikuwa darasa la 5 mwaka 2004 miaka inaenda sana jamn na leo may 20 2024
@user-bs5zn2nj2b
@user-bs5zn2nj2b Ай бұрын
Huu wimbo umetokaaa 2006
@PascalMbughu
@PascalMbughu 3 ай бұрын
Rest in peace
@user-bd1jv7oi3j
@user-bd1jv7oi3j 3 ай бұрын
Kweli wema awaishi
@ferdnandfelix
@ferdnandfelix 3 ай бұрын
Ardhi imehifafhi wamba wengi sana... R.I.P BANZA ,BAMDOGO WANGU. MAREHEMU PIA ALIKUA RAFIKI YAKO FIDELIS FELICIAN,
@Getruda-tb2qe
@Getruda-tb2qe 3 ай бұрын
Mm nilikua ata cjazaliwa jmn lakini nimekua nausikiaa
@NarmanNaruu
@NarmanNaruu 3 ай бұрын
Ys
@katulawadeus8328
@katulawadeus8328 3 ай бұрын
Respect Banza Stone Rip mwamba
@fadhilisule
@fadhilisule 3 ай бұрын
Daaah jamani enzi zetu izo, dongo kwa ally choki ilo mzee wa farasi🤣🤣🤣
@johngama7245
@johngama7245 3 ай бұрын
Much respect banza stone rest in peace
@sophiaCharles-fr9yb
@sophiaCharles-fr9yb 3 ай бұрын
Mwenyez Mungu akuondolee adhabu ya kabur, akupe pumziko la milele banza
@BahatiNtiruhungwa
@BahatiNtiruhungwa 4 ай бұрын
R.I.P Banza hakika unanikumbusha mbali sana nikiwa darasa la 4. Mlikuwa mnatoa nyimbo zakuelimisha sio saizi wanamzuki wa kizazi kipya wamekuwa wehu na mavazi yao ya ukichaa2024
@eliudmkumbwa5681
@eliudmkumbwa5681 3 ай бұрын
Ulikuwa mwaka gani ndugu maana me mwenyewe nilikuwa la tano mwaka 2004
@sabinalipukila1606
@sabinalipukila1606 4 ай бұрын
Ni wimbo wenye ujumbe mzito. RIP Banza Stone
@sabinalipukila1606
@sabinalipukila1606 4 ай бұрын
Ni wimbo wenye ujumbe mzito. RIP Banza Stone
@mussahancy6591
@mussahancy6591 4 ай бұрын
Mwamba umetangulia,ulikuwa mwimbaji haswaaa,nakumbuka sana hii ngoma 2000 class six
@samsonjoram6332
@samsonjoram6332 4 ай бұрын
Maisha kamili kwa mwanadamu. Huu ni ukweli mtupu pongezi kwa hawa malenga wueeeeee
@DeoMgasa
@DeoMgasa 5 ай бұрын
Rest in peace banza stone, one of your great ever song.
@user-mv7nr5ry2k
@user-mv7nr5ry2k 5 ай бұрын
Huu ndo ilikuwa mziki aiseee
@LawrencMbwana-dk7rb
@LawrencMbwana-dk7rb 6 ай бұрын
Hani Hani Hani ndo saizi sisi tuliinjoe
@user-gh4hi2dv7h
@user-gh4hi2dv7h 6 ай бұрын
Daah nakumbuka 2000 kipindi nipo Drs la sita, natoka upanga mtaa wa maweni naenda shule. Magomeni mwembechai shule ya msingi makurumla sasa mwalimu Nyerere. Nilikua nawakuta t.o.t wanampimgia kampeni raisi mstaafu mh. Benjamin mkapa sio Siri nilikua nachelewa sana shule sababu ya banza stone, mungu ampe kauli thabiti huko haliko love brh nyimbo zake mpaka Leo zinaishi.
@SilasiKapela-zb7vb
@SilasiKapela-zb7vb 6 ай бұрын
Sawa mkuu mzee wa nguvu pamoja sana
@user-te3jz2bu4n
@user-te3jz2bu4n 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@crespomaeromajigo1180
@crespomaeromajigo1180 6 ай бұрын
Hapana sio vizuri inatakiwa umuhoji anashida Gani mpaka kuiba msaidieni ili aepukane na hiyo hali
@SmonTangas
@SmonTangas 6 ай бұрын
Sawa kaka ukovizuri sana nirijuwa mm nikopekeyangu ninayoyaonahuku sawa tajiri bamboo kamabamboo