Пікірлер
@IbrahimShilla
@IbrahimShilla 8 сағат бұрын
Kwani siwezi kudowlond jmn
@IbrahimShilla
@IbrahimShilla 8 сағат бұрын
Mbona inakataaa
@IbrahimShilla
@IbrahimShilla 9 сағат бұрын
Hatuelekeza kusave majina mtaalam
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 8 сағат бұрын
@@IbrahimShilla TAFUTA video Nyingine hapa hii ni ya muda mrefu
@SamwelMisungwi
@SamwelMisungwi 14 сағат бұрын
Hii natumia simu dakika mbili tayari
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 9 сағат бұрын
@@SamwelMisungwi Sawa sawa Hongera
@JohnPaul-d9y
@JohnPaul-d9y 16 сағат бұрын
Joe Media the greatest and powerful one. God bless u
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 9 сағат бұрын
@@JohnPaul-d9y Thanks alot
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 17 сағат бұрын
Kwa Mafunzo ya Video Production na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅: bit.ly/4bYi7OL Nitumie Ujumbe hapa: 0745152680
@nzesetz6485
@nzesetz6485 18 сағат бұрын
You're very talented my designer God bless you❤
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 17 сағат бұрын
Appreciate
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 18 сағат бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅: bit.ly/4bYi7OL Tumas Ujumbe au Tupigie kwa namba: 0745 152 680
@zubbyhussein7886
@zubbyhussein7886 18 сағат бұрын
nakupata kaka
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 17 сағат бұрын
Enjoy
@paulseleman-li6nq
@paulseleman-li6nq 18 сағат бұрын
Good teacher jah blessed
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 18 сағат бұрын
@@paulseleman-li6nq Amin
@CalvinSoela
@CalvinSoela 22 сағат бұрын
Naomba kuuliza unatumia Adobe ya mwaka Gani?
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 21 сағат бұрын
Adobe yoyote ambayo ni Cc unaweza kufuatisha hatua Mimi nimetumia cc 2024
@nzesetz6485
@nzesetz6485 Күн бұрын
Ulianza mda gabi brother
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m Күн бұрын
@@nzesetz6485 Kuanza nini mkuu
@nzesetz6485
@nzesetz6485 Күн бұрын
@MyChannel-x8m hii live brother alafu jioni ndo tutakuwa nayo??? Na vip mbnatuna hiyo AI( Adobe illustrater)
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m Күн бұрын
@@nzesetz6485 Tutasoma Photoshop
@peterelias3366
@peterelias3366 Күн бұрын
🙏🙏
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 2 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅: bit.ly/4bYi7OL Wasiliana nasi kwa Whatsapp: 0745 152 680
@kelvinjohn-j8n
@kelvinjohn-j8n Күн бұрын
tupo live kak
@kelvinjohn-j8n
@kelvinjohn-j8n Күн бұрын
tunakusikia vizur kak
@bataringayafred-gr1ic
@bataringayafred-gr1ic 4 күн бұрын
Inapatikana wapi?
@STEVEOMONDI-w6o
@STEVEOMONDI-w6o 4 күн бұрын
Am interested to learn this from Mr.joel,what are the requirements
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 4 күн бұрын
@STEVEOMONDI-w6o Your welcome let's talk 0745 152 680
@rutwizovideo1369
@rutwizovideo1369 4 күн бұрын
Asante sana mwalimu tangu jana nipo kwenye hii kozi hatimae Leo nime faulu kutengeneza kama hiyo Mungu akubariki sana nataman nijiunge na kozi nijue mengi zaidi by Rutwizo kutoka Kigoma.
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 4 күн бұрын
@@rutwizovideo1369 Karibu sana Na Hongera kwa kufanikisha lengo lako
@rutwizovideo1369
@rutwizovideo1369 4 күн бұрын
@MyChannel-x8m Asante
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 5 күн бұрын
white na blue inabamba sana na njano na blue
@mr.erickmwacha8575
@mr.erickmwacha8575 5 күн бұрын
ukipita hapa naomba unijibu kwa nini mnaweka mistari miwili ya rula??
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
@@mr.erickmwacha8575 Hizo ni defaults ruler zinazowekwa na pressets ya Film and Video unapoanza project
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL Tupigie simu kwa namba: +255 627 150 780
@peterelias3366
@peterelias3366 5 күн бұрын
Thanks sana nazidi kuona matunda from JOEL MEDIA
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
Safi sana Peter Ennjoy
@jumaselestine8498
@jumaselestine8498 5 күн бұрын
Asante kaka 🤝
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL Tupigie simu kwa namba: +255 627 150 780
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL Tupigie simu kwa namba: +255 627 150 780
@peterelias3366
@peterelias3366 5 күн бұрын
Kaka naomba unisaidie hivi project
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
@@peterelias3366 Ipo chini ya video kwenye maelezo au Video description
@peterelias3366
@peterelias3366 5 күн бұрын
Project yake iko wapi
@YusuphAmani-m7l
@YusuphAmani-m7l 5 күн бұрын
Ticha niwe mwanafunzi wako naomba ticha😢😢😢
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 5 күн бұрын
@@YusuphAmani-m7l Karibu namba hii 0745 152 680
@Kamakid
@Kamakid 6 күн бұрын
2
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 7 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅: bit.ly/4bYi7OL
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 7 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Tuma Ujumbe Whatsapp ✅: bit.ly/4bYi7OL
@Aclmedia05
@Aclmedia05 7 күн бұрын
Thank you in advanced
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 7 күн бұрын
@@Aclmedia05 Enjoy
@jeyboymsule-en3yz
@jeyboymsule-en3yz 7 күн бұрын
Mwalimu nakusikiliza
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 7 күн бұрын
enjoy
@nzesetz6485
@nzesetz6485 7 күн бұрын
Kaka auja nitumia li k whatsapp yangu
@suleymanimitty
@suleymanimitty 8 күн бұрын
Ukipiga passport size kwa simu unafanyaje kuitoa ikiwa haijapauka??
@Amographrer
@Amographrer 9 күн бұрын
Nawezaje kupata linki ya material ayooo ulo tumia
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 9 күн бұрын
@@Amographrer Soma Maelezo yaliyopo Chini ya Video utaona Link
@Teacher_01
@Teacher_01 9 күн бұрын
Imeshindikana kukata iko kipande ambacho akina sauti bwana joel
@HafricastMoses
@HafricastMoses 10 күн бұрын
🎉🎉
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 10 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 10 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 10 күн бұрын
Kwa Mafunzo ya Graphics, Video na Digital Marketing wasiliana nasi hapa chini Kutuma Ujumbe Whatsapp Bonyeza Link 👉: bit.ly/4bYi7OL
@AmbariMpulaki
@AmbariMpulaki 10 күн бұрын
tuko pamoja
@AmbariMpulaki
@AmbariMpulaki 10 күн бұрын
ongera sana mkuu
@EliasLukawe-w7f
@EliasLukawe-w7f 11 күн бұрын
Shukurani sana kaka masomo kama haya uwe unatuwekea huku wengine htmatuna uwezo wa kulipia ndio tunajitafuta🙏
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 11 күн бұрын
@@EliasLukawe-w7f Enjoy
@EliasLukawe-w7f
@EliasLukawe-w7f 11 күн бұрын
@MyChannel-x8m nimsaidie link ya adobe illustrator
@Pendo-v7e
@Pendo-v7e 12 күн бұрын
Je Kama unamaik pkeyake yaan Kama hicho Cha kuweka kwenye sim kimepitea
@MyChannel-x8m
@MyChannel-x8m 12 күн бұрын
haitafanya kazi