Jumakhan kweli unaweza Kaka Congo tunakukubali Sana
@Dominickmatare2 ай бұрын
Huy dj mafuvu yuko radio gan now yaaan namuelew san
@GoddyNdush2 ай бұрын
Afro always hao wengine n upcoming
@sanchodybala45803 ай бұрын
Lufufu lufufuuuu
@luckynoah4 ай бұрын
Zamani ni Moto sana
@IsiakaBandula-km1ok4 ай бұрын
Wa zamani
@stephenmasha86235 ай бұрын
Biti ya Tk2 hii 💥
@Josamjosam87 ай бұрын
Zaman ilikuwa noma
@SikudhaniSaidi7 ай бұрын
Zamani aisee
@MJB-Africa10 ай бұрын
Big up brooh mchomvuu
@MuniraChilangokai10 ай бұрын
For real like this song too much now am 28 yrs but is so sweet ❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@Mr.shaban_I511 ай бұрын
Mzee ni best yani.
@user-Digalar Жыл бұрын
Zaman alikuwa yupo vzur
@FabienNinganza Жыл бұрын
Rufufu moto wa kuotea mbali
@MsaudiaShabani Жыл бұрын
Zamani ilikuwa bomba
@ramadhanimrungu5806 Жыл бұрын
Mkandala lufufu ndio kabali yao
@ramadhanimrungu5806 Жыл бұрын
Mkandala lufufu ndio master wa wote
@BarakaMwitta-zj4pl Жыл бұрын
Mwamba nakukubaligi Sana ulisababishaga nikaacha Shure Kwa sauti yako nzuri kwenye move pingezi Sana mzeee nakukubali mno
@sophiabakari-ot6ip Жыл бұрын
Mpare gan unatutia aibu ungenikta kama mm ungeadithia walahi
@mkamariamstaarabu4931 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@ayubuissayakiliza-kg3lh Жыл бұрын
hahahahhhhh mchomv umetisha sana
@Bintimrembo-y1v Жыл бұрын
Haya kiko wapi, kumbe wewe ndio shoga mkuu
@jesusiscoming237 Жыл бұрын
Juma Khan, afro, mack
@dayvanny_graphics2172 Жыл бұрын
juma khan 🔥🔥
@ahmedysalim5984 Жыл бұрын
tunaitaka saut ya zaman
@ahmedysalim5984 Жыл бұрын
bora wa zaman
@queenandchill91 Жыл бұрын
❤❤❤❤My favorite 2022
@lengoyamangoindakeni893 Жыл бұрын
Wote wako fit
@christophertarimo6324 Жыл бұрын
The best song and romantic..niliutumia dedication Kwa my love wakati huo💤💫
@musabkassimu6039 Жыл бұрын
Juma Khan hahaha😂🤣 wew ndo mkalu
@sarahomary36152 жыл бұрын
Mimi wote nawakubali maana kila mmoja anakava kwenye nafasi yake 😍😍😍japo mpenzi WA nyimbo za kihindi
@raynaeafrica94642 жыл бұрын
Number one:kwa single movie za kihindi ni #JUMA KHAN Number one: kwa single movie za kizungu,kichina,kitailendi na zulu ni #DJ_MACK Number one: kwa series za kihindi kizungu,kikorea,kichina na kitailendi ni #DJ_MUPHY✍🥰📺
@abubakarymaulidy56812 жыл бұрын
Sielewi vois ipi ndo zamani na ipi ndo sasa
@selebaba47942 жыл бұрын
Niunge
@salumkani15122 жыл бұрын
Koyla picha yangu bora kuwah kuingalia dah
@salumkani15122 жыл бұрын
Zamani alikua hatar ila hata picha zenyewe zilikua kali
@jacksonhaggai67712 жыл бұрын
Dj Mack na afr
@oledokoratelombashi98712 жыл бұрын
Juma Khan ndio mwalimi wa wote akifuatiwa a mwanafunzi wake dj make
@fredysanga3310 Жыл бұрын
We hamna unachokijua
@difakilossa55252 жыл бұрын
Zamani ni hatar sana
@rajabmartojr33022 жыл бұрын
Acheche
@sharoniamiri31142 жыл бұрын
Lufufu
@bashirishamata91992 жыл бұрын
Namkubali zaidi ya wote juma khan
@sakayonsakihunga34962 жыл бұрын
Lufufu alikua noma wewe
@ambaluweabdul11072 жыл бұрын
M sjapenda
@fredmwenda25412 жыл бұрын
Intro yake tyu inatosha kuelewa jamaa anajua
@yassinmuniry66562 жыл бұрын
rudisha mapigo na sauti ya zamani saiv huna dili
@samsonjoseph73202 жыл бұрын
Kila mmoja na ladha yake, mack Sauti imeshiba ktk mic, afro uongo mwingi ndani comed sana hata movie mbaya inakua tamu, lufufu mkongwe wala sina shaka nae chombeza zake utamu kolea Msafiri baki Nigeria umefiti Sauti ya hisia