Пікірлер
@SarahAthumani-i9i
@SarahAthumani-i9i Күн бұрын
Uyo niyeye kufanya sajali ilisulayake iwe kama mtoto
@OmanSinaw-i8q
@OmanSinaw-i8q 11 күн бұрын
Uyu mtoto ni mdog san uyu mtoto atakua amezaliwa na mikala
@HadijaHsalehe-z4k
@HadijaHsalehe-z4k 17 күн бұрын
Wazushi siku zote hawakosekani.kazi nzuri lazima ipitie katika upinzani..Songa mbele Mtumishi wa Mungu tunakuamini sana,tunamwona Yesu Kristo ndani yako.
@abbiecox1
@abbiecox1 14 күн бұрын
ULITAKA UWEPO PEMBENI WAKATI WANAFANYA NDIO UJUE KUWA NI KWELI! NI SUALA BINAFSI ILA USISEME KASINGIZIWA YEYE NI MWANAUME TENA NI RIJALI HIVYOO YOTE YA KAWAIDA!
@julianamwamgogwa
@julianamwamgogwa 20 күн бұрын
Sasa kama anahudimowa kwanini amya,gSzs?
@jared.29_
@jared.29_ 22 күн бұрын
amazing boy 🥰🥰🥰😍😍😍😍❤️❤️
@PrincessUrassa-w3w
@PrincessUrassa-w3w Ай бұрын
Towa bas na ww moja yakurap au kuchan
@rithaurassa
@rithaurassa Ай бұрын
Hayo niyenu tunachohitaji sis tunataka uponyaji wa kiroho .yeye ni mwanadam hakuna aliyekamilika.hata wewe hujakamilika usingeyaanika ya watu nayakwako hatutaki kuyajua.
@ShalomShalom-o8h
@ShalomShalom-o8h Ай бұрын
So good ❤❤❤❤❤❤❤
@QueenFetty-s7p
@QueenFetty-s7p Ай бұрын
Mm naona mikala huyu bhan
@DavidPeebles-b5l
@DavidPeebles-b5l Ай бұрын
I Hope That You Are OK Little Darlin'?
@DavidPeebles-b5l
@DavidPeebles-b5l Ай бұрын
Hello Layla.
@DavidPeebles-b5l
@DavidPeebles-b5l Ай бұрын
Nice Layla Lookalike. ❤
@PrettyMathilda
@PrettyMathilda Ай бұрын
Wahou
@NduwayezuFiacre
@NduwayezuFiacre Ай бұрын
Unanimaliza kbx
@TelesiaMbeva
@TelesiaMbeva Ай бұрын
What,,,,,
@MonicaRaila-tn5rb
@MonicaRaila-tn5rb Ай бұрын
Nikweli mmbeya Sana na unoko
@KiraKosarin-e7y
@KiraKosarin-e7y 2 ай бұрын
Nakukubali Nandy l love you ❤
@EuniceOdeagea
@EuniceOdeagea 2 ай бұрын
Sasa kuzaa ni aibu..je angekuwa tasa ingekuaje...malkia zaa mwanao na akue mungu akipenda
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 2 ай бұрын
Nendeni tu kwao mkafanye mahojiano
@sarahkakuba8392
@sarahkakuba8392 2 ай бұрын
azae,asizae,mwqmposa ninacho kijua nilikuwa mfungwa na Sasa ni huru,hata mpakazie vipi sisi tuko nae
@andrewlusambo7123
@andrewlusambo7123 2 ай бұрын
Umbwa kokowewe
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 2 ай бұрын
UNAONGEA KAMA MPUMBAVU KWANI KUZAA KUNA SHIDA GANI
@SarahJoseph-bt2xb
@SarahJoseph-bt2xb 2 ай бұрын
Me naona ni mikala kbs
@Rennyanselim
@Rennyanselim 2 ай бұрын
Catherine endelea kuumbua hiyo mishoga mpaka ipatikane
@Rennyanselim
@Rennyanselim 2 ай бұрын
Acheni kuchafua huyu Dada yatawarudia wenyewe, piga kazi dada ata usiogope media zao za uzushi wajinga nyie mishoga ovyoooo 8:43
@ChachaMarwa-kx3fy
@ChachaMarwa-kx3fy 2 ай бұрын
Mikala alifariki 2009 marekani kwa ajali ya gari na alizikwa kwao moshi huyo ni mdogo wake wamezaliwa wawili kwa baba na mama
@DorcasKyalo-p1q
@DorcasKyalo-p1q 2 ай бұрын
Jamani uzuri wote huo kumbe shonga
@HamisaMkenda-ss2yz
@HamisaMkenda-ss2yz 2 ай бұрын
waoooooh
@CatherineMbatta
@CatherineMbatta 3 ай бұрын
Acheni kuchafua watu ,amezaa,au ameoa au ameanguka sisi hatujui sisi tunachojua ni hiki kuna watu wamepona hapo
@OneherRichard-t5l
@OneherRichard-t5l 3 ай бұрын
unajua imba rapu oneday
@fridahmaingi6025
@fridahmaingi6025 3 ай бұрын
Mmh it seems like you hate zari????
@KhanDjAfroMovies
@KhanDjAfroMovies 3 ай бұрын
Dem akikupenda hujua kila kitu chako
@GraceMsuko
@GraceMsuko Ай бұрын
Kabisa ushasema
@SyliviaKisakye-ye1gk
@SyliviaKisakye-ye1gk 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@MengNeyyoGullakah
@MengNeyyoGullakah 3 ай бұрын
Hakuna kitu Hapo kachizi😅😅😅
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
Mwamposa ni mwanaume kama wanaume wengine. Issue ya mke hiyo tunajua muda mrefu. Mke ndio alimkimbia baada ya mwamposa kuacha biashara na kuanza kufanya kazi ya Mungu. Na wakati anafanya kazi ya Mungu maisha yalikuwa magumu kwenye hiyo safari ndio mke njiani akashindwa akamkimbia mume wake. Hivyo mwamposa alikaa bila mke kwa muda na mwamosa Mungu alipoanza kumwinua mke ndio akaanza kujirejesha. Hata ingekuwa mimi singemkubali mke wa namna hiyo ukiwa kwenye changamoto yeye anakimbia mambo yakiwa mazuri anarudi. Hata mwamposa ingawa ana Mungu lakini na yeye ni mwanadamu ana roho. Issue ya huyu dada wa kwenye massage hiyo tumeisikia muda si unajua hizi sehemu za massage zilivyo? Yeye alienda kupata huduma akakutana na mtego huko. Wanaume wengi tu wanakutana na mitego kama hiyo kama mwanaume ni rijali. Yanatokea. Lakini sasa mchungaji wetu Apostle Mwamposa Mungu anayemtumia ana mke. Kwa sasa ni mume wa mtu. Hivyo ahishimike. Mnaweza kusema mbona mtu wa Mungu anafanya hayo. Ni mitego tu kama mitego iliyompata baba yetu Daudi. Naye aliingia mtegoni akachukua mke wa mtu. Tena akaenda mbali akafanya mpango mume wa huyo mke auwawe vitani. Na ukumbuke daudi alipakwa mafuta na Mungu mwenyewe.
@brianosinde2327
@brianosinde2327 3 ай бұрын
mapenzi nandy unayo Aki nakupenda sna
@brianosinde2327
@brianosinde2327 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@JescaWilliam-mg2vn
@JescaWilliam-mg2vn 3 ай бұрын
Pole sana kwa msiba mdog wang
@ChrisRuganyira
@ChrisRuganyira 3 ай бұрын
asante
@EliasafiEliapenda-px3ss
@EliasafiEliapenda-px3ss 3 ай бұрын
Haya tuu usu . Kwani shida nn Wew mwenyew unamabaya Yako. Usipiteshe kanisa
@omaryissa1821
@omaryissa1821 4 ай бұрын
Wana walamba kibao cyo huyo
@EzrahJoseph
@EzrahJoseph 4 ай бұрын
Kuna interviwe uyo dada alisema mikala kafariki 2009 uko uk
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 4 ай бұрын
Sadaka za wajinga zinapitia pengi
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 4 ай бұрын
Hiyo story 2liisikia chin chin
@CotridaKigwile-d6p
@CotridaKigwile-d6p 4 ай бұрын
Ni kweli nasikia binti mh nimekomea hapo staki
@listonmashon9987
@listonmashon9987 4 ай бұрын
Ee Mungu naomba utuwe mm na hy anaesoma comment hii duniva hii hapana😅
@AdolphinaAlinda
@AdolphinaAlinda 4 ай бұрын
Mungu akusamehe hujui ulifanyalo
@marry123charles
@marry123charles 4 ай бұрын
mungu azid kukuinua baba tunakupentaaa hyo dad hnajpya atafte kikinyinginee
@zeddmedics
@zeddmedics 4 ай бұрын
Nyinyi miungu watu kazi mnayo mungu nilindie mtumishi wako muepushe na Kila vikwazo vinavyo Kuna Kwa ajili ya kuchafua kazi yako
@zeddmedics
@zeddmedics 4 ай бұрын
Ninacho jua nmefanikiwa na nmemiliki vitu nilivyo taka kiurahisi kupitia huyu mtumishi mambo ya nani kafanya nini wapi lini hayanihusuu mungu mlinde mtumishi wako